CHADEMA kulitikisa taifa kwa mkutano wa kihistoria tarehe 24/07/2016 Jangwani

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kinatarajia kufanya mkutano wa kihistoria ambao haujawahi kufanyika kwenye ardhi ya Tanzania. Mkutano huo mahsusi kumtambulisha katibu mkuu na kurungenzi zake, kutambulisha wabunge wao wapya waliochaguliwa nchi nzima, kutambulisha viongozi zaidi ya 300 waliokuwa Ccm kabla ya uchaguzi mkuu wa mwaka jana (2015) na kupokea wabunge 12 waliopewa adhabu za kinyama bungeni.

Mazungumzo yanaendelea kumkaribisha Julius Malema mbunge ambaye amepata misukosuko mingi bunge la Afrika ya Kusini ambayo inafananishwa na misukosuko wanayopata sasa wabunge wa upinzani Tanzania. Pia watahudhuria wawakilishi wa vyama vya upinzani wa nchi za Kenya na Uganda.

Mambo yakienda kama yalivyopangwa watapokelewa vigogo wengine kadhaa toka Ccm ambao watatangaza kumfuata rafiki yao Lowassa siku chache kabla ya mkutano mkuu wa Ccm uliopangwa kufanyika tarehe 23 mwezi huu.

Vituo karibu vyote vya TV vitakuwa live siku nzima na kwa kuwa matukio ni mengi ratiba itaanza asubuhi.

eti mkutano wa kihistoria!!!!!!hahahahaha!!!!hata wa uzinduzi wa kampeni za ukawa mwaka jana kumbe haukua wa kihistoria? vyama vinne aginst chama kimoja!!!!!!duh
 
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kinatarajia kufanya mkutano wa kihistoria ambao haujawahi kufanyika kwenye ardhi ya Tanzania. Mkutano huo mahsusi kumtambulisha katibu mkuu na kurungenzi zake, kutambulisha wabunge wao wapya waliochaguliwa nchi nzima, kutambulisha viongozi zaidi ya 300 waliokuwa Ccm kabla ya uchaguzi mkuu wa mwaka jana (2015) na kupokea wabunge 12 waliopewa adhabu za kinyama bungeni.

Mazungumzo yanaendelea kumkaribisha Julius Malema mbunge ambaye amepata misukosuko mingi bunge la Afrika ya Kusini ambayo inafananishwa na misukosuko wanayopata sasa wabunge wa upinzani Tanzania. Pia watahudhuria wawakilishi wa vyama vya upinzani wa nchi za Kenya na Uganda.

Mambo yakienda kama yalivyopangwa watapokelewa vigogo wengine kadhaa toka Ccm ambao watatangaza kumfuata rafiki yao Lowassa siku chache kabla ya mkutano mkuu wa Ccm uliopangwa kufanyika tarehe 23 mwezi huu.

Vituo karibu vyote vya TV vitakuwa live siku nzima na kwa kuwa matukio ni mengi ratiba itaanza asubuhi.

Wanepewa ruhusa?
 
Kwa utaratibu wa uongozi tulionao Uhuru wa mikutano ya siasa sidhani kama upo labda kama mkutano ni wa CCM
 
Kama wanamfuata Lowassa, na wala siyo kuja kutekeleza/kufuata /kutii sera, katiba, kanuni, mipango ya Chadema ambayo imejikita kumkwamua mtanzania kutoka kwenye lindi la umasikini, utegemezi na mengine kama hayo!!! Hao kwa kweli ni 'liabilities' kwa chama wala si "assets ". Tutafakari!!
Serikali yenu imeshindwa kuyatekeleza hayo kwa miaka 54,nani hapo mwenye aibu?
 
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kinatarajia kufanya mkutano wa kihistoria ambao haujawahi kufanyika kwenye ardhi ya Tanzania. Mkutano huo mahsusi kumtambulisha katibu mkuu na kurungenzi zake, kutambulisha wabunge wao wapya waliochaguliwa nchi nzima, kutambulisha viongozi zaidi ya 300 waliokuwa Ccm kabla ya uchaguzi mkuu wa mwaka jana (2015) na kupokea wabunge 12 waliopewa adhabu za kinyama bungeni.

Mazungumzo yanaendelea kumkaribisha Julius Malema mbunge ambaye amepata misukosuko mingi bunge la Afrika ya Kusini ambayo inafananishwa na misukosuko wanayopata sasa wabunge wa upinzani Tanzania. Pia watahudhuria wawakilishi wa vyama vya upinzani wa nchi za Kenya na Uganda.

Mambo yakienda kama yalivyopangwa watapokelewa vigogo wengine kadhaa toka Ccm ambao watatangaza kumfuata rafiki yao Lowassa siku chache kabla ya mkutano mkuu wa Ccm uliopangwa kufanyika tarehe 23 mwezi huu.

Vituo karibu vyote vya TV vitakuwa live siku nzima na kwa kuwa matukio ni mengi ratiba itaanza asubuhi.

Julius Malema si alikuwa aje ACT?
 
hahahaha basi msisahau kumwalika na David Trumph ili tamasha linoge.
 
Eti kutambulisha viongozi WALIOKUWA CCM...hivi mpka sasa nani asiye jua ya kuwa HAO VIONGOZI WOTE WAALIOTOKA CCM waliondoka tu kwa chuki zao BINAFSI baada ya kukosa MADARAKA au maslai yao binafsi kuguswa????Na je mna uhakika gani ya KUWA HAO VIONGOZI WOTE WANA NIA NJEMA NA NYIE?????Ndio maana tunasema CDM hakuna THINK TANK WA MAANA HATA KIDOGO.......NA MTASUBIRI SANA KUSHIKA MADARAKA NDANI YA NCHI.........
 
kamanda wa Polisi mkoa wa Dar hajawahi kuniangusha na hakika lazima atawashughulikia kikamilifu pindi mkijaribu kuvunja amani.
 
Back
Top Bottom