CHADEMA kulitikisa taifa kwa mkutano wa kihistoria tarehe 24/07/2016 Jangwani

lkn baada ya mkutano mtarudi home kulala...maana nchi tayari washachukua
 
NAWASHAURI BAVICHA KAMA KWELI HILI LIMETOKA KWENYE MAAZIMIO YAO WAACHANE NALO. HILI LA KUZUIA MKUTANO WA CCM. HIYO ITAONESHA JINSI WASIVOKUWA MACHUADI. IKO OBVIOUS KUWA HILO LITAVURUGA AMANI. KILA JAMBO LINA WAKATI WAKE INCLUDING OPPOSITION PARTIES KUSHIKA DOLA. BY THE WAY TUNAHITAJI MAENDELEO AU VYAMA?
UNATAKA WAfanyeje labda ili wawe matured?
 
Usidhani CDM ni Ccm ambako kuna wabunge kama Lusinde, yule aliyeomba sanamu la Diamond, yule wa uwanja push up, yule wa Ulanga, aliyemshukuru mke wake kulifanyia kazi kubwa taifa kwa kujifungua mtoto wa kike na yule wa kilimo cha bangi (Msukuma). Ccm ni chaka la vila.za
Hivi nchi hii kuna ki.la.z kuliko Mbowe
 
Mangu anasema hakumbuki polisi kuzuia mikutano ya kisiasa na kwamba mwenye ushaidi wa zuio hilo ampelekee
 
ninachojua ni mikutano ya hadhara imezuiliwa ila si mikutano ya ndani.pia nawaomba ukawa mtumie mbinu za tanu km mnaweza lakini mbinu hii,mechi itawashinda mapema,km hujapata kibali ukiumizwa unazan nani atakutetea,wahurumieni maskini
 
Back
Top Bottom