Hiyo inaitwa ukiona manyoya tu juwa watu washakunywa supu1KWIKWIKWIKWI! WAJINGA NDIO WADANGANYWAO! MKUU, HAWAKUJUA KUWA ZILE NI PROPAGANDA TU ZA ILE TIMU YA WATU 32 WA SAIDIA FICM ISHINDE
Hiyo inaitwa ukiona manyoya tu juwa watu washakunywa supu1KWIKWIKWIKWI! WAJINGA NDIO WADANGANYWAO! MKUU, HAWAKUJUA KUWA ZILE NI PROPAGANDA TU ZA ILE TIMU YA WATU 32 WA SAIDIA FICM ISHINDE
Mtwara Lindi bado cement elf 15000 hadi 16000 hii ya Elfu nane au Kumi na Mbili mmetoa wapi??Kama Mtwara ni shs 13,000/= Ikifika huku mjini kati itauzwa shs ngapi? maana kwa sasa cement inauzwa bei hiyo hiyo hapa Dar!
Shida ni kwamba kwanini huyu anayejiita rais wa tz alituahidi uongo???sasa tatizo lipo wapi? tafuta kampuni nyengine za bei rahisi ununue,hili ni soko huria hata hvy.
Mtu fafanulie wataalamu ksomi zaid sabab inayofany wakala wa mtwara auziwe bei kubw na usafr juu yake wakt wskala wa dsm ni 10600 na nauliKuna sababu nyingi zinazopelekea cement kuwa na hiyo bei
Na tukumbuke watanzania dangote hajaja tanzania kama mfadhili amekuja kama muwekezaji
Kwaiyo analipa kodi
Ukiangalia mifumo ya uzalishaji ilioko hapo kiwandani kwake ni mifumo ya gesi,umeme,na makaa ya mawe
Yaani hatumii tanesco kuzalishia cement anatumia makaa ya mawee ni maana gesi nayo kanyimwa na tpdc kwa kupandishiwa bei
So hatumii gesi kuendesha kiwanda
Kitukingine dangote wametoa bei ambayo kila zone inabei Yake na sababu kubwa ya kuuza cement dar 10500 as derivery price na mtwara ni hiyo bei ni sababu mifumo ya Soko
Sasa kaa ukijua dangote alikuja kutusaidia utajuta
Kalibuni kigoma cement ni 20 elfu
What?Lakini Dangote bado hajaanza kuzalisha cement. anasubilia mpaka vinu vyote viwe tayari ndio azalishe. hiyo cement wanaitoa nje ya Tanzania.
Ninaandaa nyumba ya miti bila wasiwasi wangu ni kuwa iwapo nitakata miti nitazuiwa.mmmmmmm hakuna haja ya saruji.Hapa Kazi tu! Simenti zina umuhimu au ulazima gani kujengea? Kuna nyumba zimejengwa kwa kutumia udongo na bado zipo zimesimama imara wakati majengo ya madarasa yaliyojengwa kwa matofali ya simenti yana nyufa kibao. Boresheni ujenzi wa kutumia udongo na kuezekea nyasi!! Habari ya mjini ni kutumbua na kutumbua majipu na kawaachia harufu ya usaha!!