SALOK
JF-Expert Member
- Sep 20, 2011
- 3,348
- 1,992
Bei ya kiwandani ni Sh. 11600 kiwandani.Kuna mdau alifafanua kuwa kiwanda kinauza Tsh elfu nane. Ukiweka na VAT inakuwa Tsh 9440. Hiyo ndiyo bei ya kiwandani. Lakini ukiinunua kwa distributa ina maana naye ataongeza faida yake, na huenda akakulipisha na VAT. So in the end bei ndio inakuwa hiyo hapo...