CCM Mnapeleka wapi Fedha mnazopata kwenye Makaa ya Mawe Ruvuma? Wananchi tunataka kujua mnalipa kodi kiasi gani? Mmefanya Mradi upi wa CSR?

Umeacha kujibu hoja ,umeenda kwenye kejeri na kashifa Nyie Lissu uwa anawapiga chenga hapo weupe kichwani,
Amini maneno yangu. Uzi huu utafikia page ya 3000 ila kamwe hutoona jibu lolote la maana kutoka kwa CCM.
 
We kajibwa kweli, una mchukuliaje lissu. Yule ni mwanasheria na unaelew vizuri sheria imelala pale na huwa anaongea anachokielewa kwa manufaaa ya watanzania
Achana nao hawa. Wanajibu fyongo kupoteza majadala kwenye hoja ya msingi.
 
Na kama Wana hati ya kuongoza nchi hii waseme, reform ni muhimu
Wanatumia mabavu kwa kuwa wamewaona Watanzania ni mazuzu na hamuwezi kuwafanya vyovyote.

Miradi ya makaa ya mawe mkoani Ruvuma ni sehemu ndogo sana ya namna chama hiki wanavyowafisadi Watanzania huku Watanzania wakizidi kuwa masikini na kuishi maisha ya kusikitisha kila siku.
 
Makaa ya mawe yanachimbwa na kubebwa haraka haraka utadhani hayatakiwi kuwepo nchini:
Hi ni kwanini nchi nyingine zinunue na kutumia makaa ya mawe wakati katika nchi yenu yanaoneshwa kama vile hayana maana yoyote ?
Na pamoja na kutolipa kodi na tozo zote stahiki. Unaambiwa fedha hizo wanazitumia Wakubwa tu.

Amos Makalla kajenga nyumba mbili Morogoro na Mbweni Dsm ndani ya miezi miwili tu zimakamilika tena za ghorofa. Fedha zingine wanatumia kufugua mamiradi na accounts nje ya nchi. Ni balaa.
 
Na pamoja na kutolipa kodi na tozo zote stahiki. Unaambiwa fedha hizo wanazitumia Wakubwa tu.

Amos Makalla kajenga nyumba mbili Morogoro na Mbweni Dsm ndani ya miezi miwili tu zimakamilika tena za ghorofa. Fedha zingine wanatumia kufugua mamiradi na accounts nje ya nchi. Ni balaa.
Huko nje wanajipendekeza wakizima moto zinarudi,Nina wasiwasi na TIS,huenda wako on full kaputi.
 
Tatizo ushahidi. Lisu vitu vyake vingi huongea bila ushahidi.

Mahakamani vyote alivyosema kavikana kuwa hakusema.Na hayo ya makaa mawe.yamo humo kwenye kukana kuwa hakusema

Utapiteza muda wako kutafakari mambo ya uongo yasiyo na ushahidi ya Lisu

Tafuta hela achana na Lisu
Angekuwa hana ushahidi nadhani angekuwa na track record mbaya kwneye kesi zake, but record zinambeba mara nyingi anashinda.
 
Hoja ya mawe haijawahi kuongelewa na mwanasiasa yoyote kabla ya Lissu. Huenda imekaa vibaya sana
Kule Kampuni Zinazochimba Ni Mbili Tu
Jitegemee (CCM)
Ruvuma Coal



Hao Wakikuchimbia Wanauza Tani Kuanzia Sabini Na Wana Lori Zao Kuubeba Mzigo Mpaka Unapotaka Ufikishwe. Endapo Unanunua Tani Chache Utazipata Kwa Wachuuzi Wadogo



Ruvuma Barabara Zake Zimechakazwa Sana Na Lori Za Makaa Zinatembea 24/7
 
Sijui maana sijawahi kuwaona CCM wakichimba makaa ya mawe we uliwaona?
Screenshot_20250412_110342_Google.jpg

Mwezi January ,2023 Waziri Mkuu alifanya ziara hapo kukaguza shughuli za Uchimbaji wa Makaa ya Mawe kwenye huo Mgodi wenu CCM.

Ni vizuri kutoa majibu kwenye maswali yaliyoulizwa kwenye uzi ila kutufanya wote humu hatunazo huwezi.
 
Back
Top Bottom