CCM Mnapeleka wapi Fedha mnazopata kwenye Makaa ya Mawe Ruvuma? Wananchi tunataka kujua mnalipa kodi kiasi gani? Mmefanya Mradi upi wa CSR?

CCM wanamiliki mgodi mkubwa sana wa Makaa ya Mawe Mkoani Ruvuma. Haifahamiki pia ni kwa namna gani na kwa taratibu zipi za manunuzi walipata leseni na haki ya kufanya mradi huu mkoani humo?

Kwenye mgodi huo ambao wanafanya uchimbaji kwa ubia na Kampuni moja ya nje ya Nchi, Makaa ya Mawe yanachimbwa kwa Masaa 24 na kuuzwa nje ya Nchi kwa kusafirishwa na maroli muda wote kuelekea Bandari ya Mtwara (Kwenda Bara la Asia) pamoja na nchi za Rwanda, Uganda na Kenya.

Mwaka 2017 Nchi yetu ilipitisha Sheria za Ulinzi wa Maliasili za Nchi na Utajiri Asilia.

Moja ya vifungu katika Sheria hizo yanazitaka Kampuni za Madini kuweka fedha zao nchini na kulipa kodi stahiki.

Pia Sheria zile ziliwataka wawekezaji kufanya miradi ya huduma kwa Jamii kwa lazima.

Jambo linalosikitisha, Katika Mgodi wanaohodhi CCM huko Ruvuma, hakuna mwananchi anayejua wanalipa kodi kiasi gani? Hakuna taarifa za Wazi za Mapato yanayopatikana kutokana na Biashara hiyo wanayofanya ya Maliasli za Taifa.

Hakuna mradi wowote wa kijamii waliofanya. Hili likiwa ni takwa la kisheria kama zilivyopitishwa na Bunge. Vijiji vinavyozunguka mradi huo na Mkoa wa Ruvuma kwa pamoja wananchi wana umaskini wa kutisha.

CCM watoke hadharani waseme. Kwa nini wanawabia Wananchi wa Tanzania Maliasili zao? Kwa nini Wanachimba Madini ya Wananchi alafu hawalipi kodi Stahiki wakati wanauza madini hayo Nchi za Nje ikiwemo Kenya, Uganda, Rwanda na Bara la Asia na kupata fedha nyingi sana? Fedha hizo wanapeleka wapi?

CCM watoke waseme hadharani. Je kukamatwa kwa Tundu Lissu Mkoani Ruvuma ni kwa sababu aliongelea suala la Wizi wa Maliasili za Taifa ambazo ni mali za Wananchi kunakofanywa na CCM na wabia wao huko Ruvuma?

Tunasuburi majibu.

Mods. Naomba msifute huu uzi. Huu uzi ni very sensitive maana unahusu namna CCM wanavyowaibia Watanzania na kulifisadi hili Taifa.

Let's bring back JF ya 2000's
Sisi watumishi tunaotoa psssf tunataka kuwekeza kwenye gesi na sementi hayo mengine hatujui,mnaita wawekezaji kumbe ni marofa tuu
 
Halafu kuna watu wanajiita TISS na eti ni wazalendo.
Uhuni mtupu.
Walaaniwe na familia zao wale wote wanaooba fedha za nchi.
Hata kama warakuwa na vyeo vikubwa kiasi gani walaaniwe tu.
 
Hii nchi inanajisiwa na kuibiwa kwa kiwango cha kutisha na haya ma CCM alafu eti tuna watu wanajiita Usalama wa Taifa, TAKUKURU na wengine Jeshi la Wananchi.

Inasikitisha kwa kweli. Badala ya kuwashughulikia CCM wawatoe kabisa madarakani wanatumika vibaya kuwaonea CHADEMA ambao wanawapigania wao na vizazi vyao.
 
CCM wanamiliki mgodi mkubwa sana wa Makaa ya Mawe Mkoani Ruvuma. Haifahamiki pia ni kwa namna gani na kwa taratibu zipi za manunuzi walipata leseni na haki ya kufanya mradi huu mkoani humo?

Kwenye mgodi huo ambao wanafanya uchimbaji kwa ubia na Kampuni moja ya nje ya Nchi, Makaa ya Mawe yanachimbwa kwa Masaa 24 na kuuzwa nje ya Nchi kwa kusafirishwa na maroli muda wote kuelekea Bandari ya Mtwara (Kwenda Bara la Asia) pamoja na nchi za Rwanda, Uganda na Kenya.

Mwaka 2017 Nchi yetu ilipitisha Sheria za Ulinzi wa Maliasili za Nchi na Utajiri Asilia.

Moja ya vifungu katika Sheria hizo yanazitaka Kampuni za Madini kuweka fedha zao nchini na kulipa kodi stahiki.

Pia Sheria zile ziliwataka wawekezaji kufanya miradi ya huduma kwa Jamii kwa lazima.

Jambo linalosikitisha, Katika Mgodi wanaohodhi CCM huko Ruvuma, hakuna mwananchi anayejua wanalipa kodi kiasi gani? Hakuna taarifa za Wazi za Mapato yanayopatikana kutokana na Biashara hiyo wanayofanya ya Maliasli za Taifa.

Hakuna mradi wowote wa kijamii waliofanya. Hili likiwa ni takwa la kisheria kama zilivyopitishwa na Bunge. Vijiji vinavyozunguka mradi huo na Mkoa wa Ruvuma kwa pamoja wananchi wana umaskini wa kutisha.

CCM watoke hadharani waseme. Kwa nini wanawabia Wananchi wa Tanzania Maliasili zao? Kwa nini Wanachimba Madini ya Wananchi alafu hawalipi kodi Stahiki wakati wanauza madini hayo Nchi za Nje ikiwemo Kenya, Uganda, Rwanda na Bara la Asia na kupata fedha nyingi sana? Fedha hizo wanapeleka wapi?

CCM watoke waseme hadharani. Je kukamatwa kwa Tundu Lissu Mkoani Ruvuma ni kwa sababu aliongelea suala la Wizi wa Maliasili za Taifa ambazo ni mali za Wananchi kunakofanywa na CCM na wabia wao huko Ruvuma?

Tunasuburi majibu.

Mods. Naomba msifute huu uzi. Huu uzi ni very sensitive maana unahusu namna CCM wanavyowaibia Watanzania na kulifisadi hili Taifa.

Let's bring back JF ya 2000's
CCM ndio wanachimba makaa ya mawe?
 
Na hii ndiyo imepelekea Lissu kubambikiwa kesi ya uhaini kwani ilikuwa alipue bomu hili kwenye mkutano wa kuhitimisha ziara ya Kanda ya Kusini mjini Songea.
 
Back
Top Bottom