Lord denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 16,871
- 35,993
- Thread starter
-
- #61
Amini maneno yangu. Uzi huu utafikia page ya 3000 ila kamwe hutoona jibu lolote la maana kutoka kwa CCM.Umeacha kujibu hoja ,umeenda kwenye kejeri na kashifa Nyie Lissu uwa anawapiga chenga hapo weupe kichwani,
Achana nao hawa. Wanajibu fyongo kupoteza majadala kwenye hoja ya msingi.We kajibwa kweli, una mchukuliaje lissu. Yule ni mwanasheria na unaelew vizuri sheria imelala pale na huwa anaongea anachokielewa kwa manufaaa ya watanzania
Wanatumia mabavu kwa kuwa wamewaona Watanzania ni mazuzu na hamuwezi kuwafanya vyovyote.Na kama Wana hati ya kuongoza nchi hii waseme, reform ni muhimu
Hawana hoja hawa. Uzi huu ni mchungu sana na wanatamani modes waufute Watanzania msiusome.Kwani amekuambia amepoteza pesa? Una mawazo ya kimasikini sana ndiyo maana umeishia kuwa chawa wa mafisadi ya CCM.
Umasikini wa Tanzania sio wa Mungu. Umasikini wa Tanzania chanzo ni Wizi, Kukosa akili. Ufisadi na Ujinga wa CCMMiongoni mwa watu wanao tuhujumu km nchi ni ma fisiemu
Mungu yupo kazini.CCM itapata pigo kubwa sana mwaka huu,pigo moja tu, pigo lililonyooka, pigo takatifu.
Na pamoja na kutolipa kodi na tozo zote stahiki. Unaambiwa fedha hizo wanazitumia Wakubwa tu.Makaa ya mawe yanachimbwa na kubebwa haraka haraka utadhani hayatakiwi kuwepo nchini:
Hi ni kwanini nchi nyingine zinunue na kutumia makaa ya mawe wakati katika nchi yenu yanaoneshwa kama vile hayana maana yoyote ?
Mtumwa wa fikra katika ubora wako.Gentleman,
huyo kibaka na tapeli anaesota korokoroni ndie anaejua vizuri,
nadhani ataijibu hiyo swali mahakamani baada ya Pasaka kuanzia tar.24.5.2025.🐒
Huko nje wanajipendekeza wakizima moto zinarudi,Nina wasiwasi na TIS,huenda wako on full kaputi.Na pamoja na kutolipa kodi na tozo zote stahiki. Unaambiwa fedha hizo wanazitumia Wakubwa tu.
Amos Makalla kajenga nyumba mbili Morogoro na Mbweni Dsm ndani ya miezi miwili tu zimakamilika tena za ghorofa. Fedha zingine wanatumia kufugua mamiradi na accounts nje ya nchi. Ni balaa.
Hatuna watu TISS. Tungekuwa na TISS imara hakika CCM isingekuwa mabarakani leo hii.Huko nje wanajipendekeza wakizima moto zinarudi,Nina wasiwasi na TIS,huenda wako on full kaputi.
Angekuwa hana ushahidi nadhani angekuwa na track record mbaya kwneye kesi zake, but record zinambeba mara nyingi anashinda.Tatizo ushahidi. Lisu vitu vyake vingi huongea bila ushahidi.
Mahakamani vyote alivyosema kavikana kuwa hakusema.Na hayo ya makaa mawe.yamo humo kwenye kukana kuwa hakusema
Utapiteza muda wako kutafakari mambo ya uongo yasiyo na ushahidi ya Lisu
Tafuta hela achana na Lisu
Hii ni scandal kubwa kuliko ESCROW, EPA na nyinginezo zote uliziwahi kuzisikia nchi hii ila kamwe hutokuja kuisikia bungeni maana Bunge lote ni wao wamezibwa midomodampa zaido ya 1000 aiseehh
Sijui maana sijawahi kuwaona CCM wakichimba makaa ya mawe we uliwaona?Hujui?
Kule Kampuni Zinazochimba Ni Mbili TuHoja ya mawe haijawahi kuongelewa na mwanasiasa yoyote kabla ya Lissu. Huenda imekaa vibaya sana
Hajitambua Anatetea Chama Badala Ya UkweliUmeacha kujibu hoja ,umeenda kwenye kejeri na kashifa Nyie Lissu uwa anawapiga chenga hapo weupe kichwani,
Sijui maana sijawahi kuwaona CCM wakichimba makaa ya mawe we uliwaona?
Nakwambiaje ufisadi unaofanyika kwenye suala hili EPA, Escrow ni cha mtoto.Hajitambua Anatetea Chama Badala Ya Ukweli