Paul Makonda Special Thread: Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Paul Makonda; Make Arusha Great Again

Siku namuona Paul ,pale Escape one nilimuuliza Ruge huyu ni nani akasema ni DC wa Kinondoni..nikamwambia huyu hana akili ila anapenda sifa..hamna kitu humu ....alikuja kunielewaa baadae sana alipozingua mjengoni
 
Wakati tetesi za Uteuzi wa Paul Makonda kwenye nafasi ya Ukatibu Mwenezi wa CCM zilipoibuka na uzi wake kuwekwa humu JF, Nakumbuka Mimi nilitoa comment kwamba "Naomba Mungu habari hii iwe kweli ili kuharakisha Anguko." Nafikiri wahusika walikuwa hawajanielewa, matokeo yake kweli Makonda aliteuliwa, na hatimaye ndani ya kipindi kifupi kabisa akasababisha mtikisiko mkubwa sana kwenye Chama Chao hadi kupelekea Katibu mkuu wao kujiudhuru.

Wananchi wenzangu tukubali ukweli mchungu kwamba Paul Makonda ni mtu asiyefaa kuongoza binadamu, hana hata sifa moja ya kuongoza watu.

Isitoshe, kwa Sasa hapa nchini Tanzania amekuwa ndiye Mkuu wa Mkoa mbumbumbu zaidi kuliko wenzake wote, Rais anapaswa kuondokana naye kwa kumuweka kando.

Kama Rais anaona kwamba haitawezekana kabisa kumuweka kando kutoka ktk Serikali yake, basi amteue Paul Makonda kuwa Balozi na amtume kwenda kuiwakilisha Tanzania kwenye mataifa ambayo Sera zake ziko against na nchi ya Marekani pamoja na washirika wake, kama vile nchi ya Korea ya Kaskazini, Myanmar (Burma), Belarus, n.k.
Lucas Mwashambwa chawa mwandamizi
 
Siku namuona Paul ,pale Escape one nilimuuliza Ruge huyu ni nani akasema ni DC wa Kinondoni..nikamwambia huyu hana akili ila anapenda sifa..hamna kitu humu ....alikuja kunielewaa baadae sana alipozingua mjengoni
Wewe mtu ana mpaka Meza yake Beach Kidimbwi ambayo hukaa na wale Malaya wa pale huku akiwa Kawakumbatia wakati anajua ni Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam unaona hapo kuna Mtu kweli mwenye Akili timamu? Na kuna Demu mmoja pale Jina lake linaanzia na herufi H ana Moto ( Dally Kimoko ) na alikuwa akimzoea sana sasa sijui kama Kapona.
 
Hivi kama Mwenyekiti CCM Taifa na Rais wa JMT Samia angesikia Ushauri wa Watu makini tena hadi wale waliompelekea dossiers za Paul Christian Makonda na kumtaka asimtumie kokote kwani ni Mtu asiyebadilika na ana Kiburi cha Asili na Mjeuri leo hii CCM ingefikia hapa hadi Kumkalia Vikao na Kumuonya?

Kama tu aliyekuwa Godfather wake Hayati Magufuli alifika mwisho na Kumchoka na Kumuacha kabisa katika Serikali yake hivi ilihitaji Akili gani / ipi Kubwa tena Kuthibitisha kuwa Makonda hafai hata kwa Kalumangia katika Utendaji iwe wa Serikalini na Chamani CCM?

Halafu wenye Akili Kubwa hapa JamiiForums kila Siku tu tukiwa tunawashauri na kuwakosoa Mnatuchukia ile mbaya.
bado wanafanya trial and errors, even after 60 years za kuwa madarakani
 
Back
Top Bottom