Bungeni Dodoma: Hotuba Ya Waziri Mpango, Akiwasilisha Bajeti kuu Ya Mwaka 2020/2021 kiasi cha Tsh.Trilioni 34.88

Nakubaliana nawe mkuu.

Jamaa ni muadilifu,mtiifu na mzalendo.
Pamoja na mapungufu ya huu utawala wangemtumia vzr waziri mpango tungeenda mbali. nimesikiliza hotuba yake ya budget kama Magufuli angemtumia vizuri angeipeleka mbali sana wizara ya fedha. Hofu yangu tu nahisi anaingiliwa. ila all in all nikichwa sana jamaa.
 
Naamini nchi hii inawatu wengi ambao ni vichwa sana tena sanaa. Tatizo linakuja Bashite anakuwa na nguvu kuliko wao. Hivyo wanachukuliwa mateka wa kiakili wanarudishiwa wanapoondoka huko.
 
Wabena huwa hawana unafiki unafiki na kujipendekeza, watu wa Iringa ni very strong, akina Msigwa! kuna muda alililiwekea ngumu toto la baba kuhusu kontena la fanicha za waalimu, ikamkubali.

CCM ina watu makini wachache!! Achana na hawa badala ya kufikiri matatizo ya wananchi wao wanafikiri kubadili katiba.
 
Pamoja na mapungufu ya huu utawala wangemtumia vzr waziri mpango tungeenda mbali. nimesikiliza hotuba yake ya budget kama Magufuli angemtumia vizuri angeipeleka mbali sana wizara ya fedha.hofu yangu tu nahisi anaingiliwa. ila all in all nikichwa sana jamaa.

Wew umejuaje kama ni kichwa wakat hizo hutuba wanaandikiwa wao kaz yao ni kusoma tu
 
Unafuu kidogo sana..
Ni kidogo but afadhari mkuu...Kuna mda nikiangalia slip yangu huwa naumia sana unakuta 700k wanachukua serikali Kama Kodi, 96k NHIF, 150+k inaenda LAPF ...Kama Million hivi inabaki kwao bado kwenye biashara zangu tena nakutana na milolongo ya Kodi.
 
Yaa jamaa yuko vizuri. Japo amemalizia hotuba yake ya bajeti kwa kupiga kampeni kidizain ili apete next time.
 
Wabena huwa hawana unafiki unafiki na kujipendekeza, watu wa Iringa ni very strong....akina Msigwa!!
..kuna muda alililiwekea ngumu toto la baba kuhusu kontena la fanicha za waalimu. ..nikamkubali.

CCM ina watu makini wachache!! Achana na hawa badala ya kufikiri matatizo ya wananchi wao wanafikiri kubadili katiba.

sio mbena ni muha huyo
 
Back
Top Bottom