Replica
JF-Expert Member
- Aug 28, 2017
- 1,681
- 8,887
Mhandisi Ezra Chiwelesa amewasilisha azimio la Bunge kumpongeza Rais wa Tanzania, Samia Suluhu kwa kuimarisha demokrasia nchini na kuimarisha diplomasia ya Uchumi.
Mhandisi Ezra pia amemshukuru Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson kwa kuruhusu na kumpa fursa ya kuwasilisha hoja ya azimio.
Mhandisi amesema mambo muhimu yaliyochangia kuimarisha demokrasia ni
Mhandisi Ezra pia amemshukuru Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson kwa kuruhusu na kumpa fursa ya kuwasilisha hoja ya azimio.
Mhandisi amesema mambo muhimu yaliyochangia kuimarisha demokrasia ni
- Uamuzi wa kuruhusu shughuli za siasa hasa mikutano ya hadhara
- Kuanzisha vikao vya maridhiano ya kisiasa miongoni mwa vyama vya kisiasa nchini
- Marekebisho ya kimfumona kisheria yanayoongoza shughuli za kisiasa
- Kuundwa kikosi kazi masuala yanayohusu demokrasia