jebs2002
JF-Expert Member
- Sep 3, 2008
- 9,386
- 8,564
Tamaa na uroho mbaya sana!View attachment 3065672
Bunge la Iraqi linataka kuruhusu wasichana wa miaka 9 kuolewa kihalali, kwa sasa umri unauruhusiwa na katiba ili binti aolewe ni miaka 15, bunge linataka umri huo upunguzwe hadi miaka 9.
Muongozo unaofatwa ni Sharia Law ambayo ni mkusanyiko wa sheria kadhaa za dini.
View attachment 3065675
Dodo hata halijaiva?! Hata halina utamu?! Chachu kama shubiri?!
Ukatili wa ajabu kabisa!