Bunge la Iraq lapokea muswada wa kupunguza umri wa kuolewa kutoka miaka 15 mpaka miaka 9

Siijui hiyo umeitoa wapi labda kwenye Quran.
ujinga wa waafrika.jpeg
 
Hujanijibu swali langu wewe Jagina, watu wanakuuliza wewe Mwanamume au Mwanamke ?
Mimi ni Mwanamume.

Ili wakuchukulie jinsi ulivyo
Maana unapenda sana kuzungumzia mambo ya chupi, uchi na yanayo fanana nayo bila kuweka chanzo cha hizo habari.

Wewe hukunijibu , huyo uliyemfanya kuwa mungu alikuwa Me au Ke?
 
Hayati Saddam Hussein alikua Msuni; baada ya kuruhusu demokrasia, mashia wa Iran wame take over Iraqi, badala ya kufikiria mambo ya maana, wao ni NGONO tu. Najiulizaga sana; hivi mtu mzima wa miaka say 25 unawezaje kulala na mtoto wa miaka 9? Bado tunajiuliza shetani ni kitu gani? Only devil worshippers can practice this
 

1. Kwanza, alichosema jamaa kwenye hiyo video yuko sahihi, anachokieleza kipo katika kitabu cha "Commentaries on the Laws of England", Book the First : Chapter the Seventeenth : Of Guardian and Ward kilichoandikwa na bwana Blackstone, page 448, kifungu cha 2.

Specifically Bwana Stone anaeleza kuwa kwa mujibu wa sheria za England (ya wakati huo)
"A female alfo at feven years of age may be betrothed or given in marriage "

Kitabu kiko online unaweza kusoma hiyo chapter hapa:

NOTE: Kwenye maandishi ya kiingereza cha zamani herufi "f" sometimes ilikuwa inasimama badala ya herufi "s" katika matamshi.

2. Pili, Mafunzo ya dini ya kiyahudi yanafundisha kuwa mtoto wa miaka 3 anaweza kuolewa na kuingiliwa!. Hii unaweza kuipata katika Mishna ya kiyahudi, iitwayo Niddah 44b (Unaweza kuigoogle hiyo Niddah 44b)

1732013494257.png


Kwa hiyo tunaona Uingereza ambayo ilikuwa ni Taifa la kikristo kindakindaki enzi hizo, na pia tunaona mafunzo ya dini ya Kiyahudi yanaruhusu mtoto wa miaka 3 kuolewa na kuingiliwa, BASI HII INAONYESHA kuwa JUDEO CHRISTIAN VALUES ZINARUHUSU NDOA ZA WATOTO!
 
Back
Top Bottom