mwalimu kwanini usitafute kazi ya kufundisha kiswahili hapo lumumba?= ngonjera
Vya sukari au?Bajeti ya viwanda
Elimu bure elimu bure elimu burekama mtoto wa ndesamburo alivyozawadiwa ubunge na chadema
Mbowe ana hubiri democrasia wakati yeye ni mwenyekiti Wa kudumu.Kumbe kuwa na majengo mazuri ndio uwezo wa kuongoza?ama kweli ****** mmejazana ndani ya lumumba
Kweli wewe ni zaidi ya kituko yaani kuwa na ofisi mzuri ndio maendeleo kwa watanzania?Mbowe ana hubiri democrasia wakati yeye ni mwenyekiti Wa kudumu.
Mbowe ana hubiri atakomboa wananchi wakati yeye ameshindwa kukiletea maendeleo chama chake kwa kujenga ofisi nzuri
Umenikumbusha kisa cha wanywa gongo maana huwezi kuimeza bila kukunja uso lkn utakuta hadi chupa tatu unazimaliza!Baba na mwana wote hawajielewi wamebaki kumsifia mfalme wapate tonge hata kama ni chungu.
Tiyari umekasirikaHawa Watu Wanatuongezea Hasira Tu
Tiyari tumeelewa.Hapa nitahitaji Maelezo ya kina
Mkuu ulitegemea neno gani la msingi kutoka kwa mtu kama huyo ambaye ccm kwake ndio kila kitu maishani mwake?Jamaa mweupe kabisa kichwani, hajui wakati wa kampeni na porojo ulishapita...
Kwanza anaanza kwa kuipongeza bajeti. Anasema bajeti hii ni chereko chereko kwa wananchi wote. Namnukuu "Tiyari(sio tayari) milioni 50 kila kijiji,tiyari mahakama ya mafisadi".
Akiongea na ITV ofisini kwake Bulembo anasema ahadi zitatekelezwa.
MY TAKE:Wana CCM jikiteni kwenye uchambuzi badala ya kuongea mambo jumla jumla tena juu juu.
Ulitegemea apate uteuzi wa ukatibu mkuu au uwaziri?huko kuandika kwake ni soooKwanza huyo ni boya kabisa na ndio maana ad eo hajapata uteuzi hata mo1 kwavle kichwani hamna kitu zaid wanasifia tu hata ujinga wao wanasifia tu
Hamna mpya mkuu..Mkuu ulitegemea neno gani la msingi kutoka kwa mtu kama huyo ambaye ccm kwake ndio kila kitu maishani mwake?
Kumbe ndio maana tunahitaji kubishana kwa hoja na so matusi kwani wengine ni "wakwe"Tiyari tumeelewa.