Bulembo ametia fora

Tuwaheshimu watu.Kumlinganisha Bulembo na Sumaye ni sawa na kulinganisha mlima na kichuguu.Bulembo ni darasa la saba failure sumaye ni diploma holder na Bachelor holder tena kutoka the best university in the world ambako bulembo hawezi pata hata kibarua cha kufagia kwa kuwa wafanya usafi wa havard qualification zao ni sawa na form six wa hapa Tz.Manake ili bulembo awe na qualification ya kuwa mfanya usafi wa chuo alichosoma Sumaye anatakiwa afanye QT miaka miwili then QT ya a level miaka miwili tena so asome miaka minne aweze kuwa na qualification ya kufanya usafi chuo alichosoma sumaye.Sitaki kuingia kiundani kuhusu nini Sumaye amewahi kulifanyia taifa na wala sitaki kuwatofautisha kwa legacy zao ila hichi kidogo tu naona umeona niaje hawa watu wawili hawawezi fananishwa.
Una uhakika kama Bulembo darasa la saba?
 
BULEMBO NI MUHAYA.USIDHANI MAGUFURI ANAMARAFIKI WASUKUMA TU.HATA KWENYE TEUZI ZAKE ANAANGALIA ELIMU SIYO UKABILA
Achana na mp.umbavu huyo, Nilitaka kuijibu comment yake ila Nikaona Nimpuuze tu maana wenye mawazo kama yake huwa wana asili ya ujinga fulani.
 
Na tuna mpango wa kujitenga tuwe nchi hatuwezi kukaa na mazuzu

Mjitenge tu hata kesho, kwani ni nani amewakataza,, sasa sijui kati yetu nani nyie nani ni mazuzu, mtawaliwa au mtawala, maana mnahitaji kujitenga halafu hamuwezi, mnautaka urais mnashindwa kuupata.. sasa nani boya..
 
Akihojiwa na mwandishi wa habari pale ikulu wakati wa kuapishwa kwa makatibu wakuu Bulembo amesifia uteuzi.Amenichekesha aliposema Magufuli kachagua vichwa eti kwa kuwa kuna katibu mkuu mteule amekula kiapo bila kusoma karatasi.Haaah haah kumbe ambao wanasoma kiapo sio vichwa

Ndio mana mnaambiwa tz bado sana, sasa kama kiongoz mkubwa wa chama ana mtazamo huu unategemea nn kwa walioko chini... na je unategemea nn akili ya mwananch wa kawaida itakuweje..
Poor tz.. Haya maigizo yataisha pind wananchi wakielimika vya kutosha
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom