Elections 2010 Breaking News: CCM wanamuandaa KINANA kuwa spika wa bunge

sioni ubaya wa kinana kuwa spika tofauti ya kinana na SITA na msekwa ni ipi, CCM wanatoa fomu kwani wao ndo wenye haki kisheria kutoa spika basi nasi chadema tupeleke wetu akapigiwe kura na CCM awe spika ajibu hiyo. Mr II au Mdee wawe ma spika au TOZI wetu wa Arusha? mambo hayo
Join Date:Wed Nov 2010
Posts:31
Thanks:0
Thanked 1 Time in 1 Post

HUYU NI MWANASISIEM ALIKUJA HUKU AKIDHANI ANAWEZA CHAKACHUA MAWAZO YA WANA JF
 
kati ya chenge na kinana

mmoja wao ni spika

sita hana lake, wamemuona kuwa tishio kwa mafisadi anawaandama sana
Sawa kabisa. Sisiem hawawezi kumpitisha Sitta manake keshawaumbua na wanajua atazidi kuwaumbua.... Ni kati ya kinana au chenge nakubaliana nawe. Ila nitafurahi sana manake hawa wanaoshangilia ushindi pengine wataamka na kujua Usanii wa CCM kwa kasi zaidi Ari zaidi na nguvu zaidi.
 
Back
Top Bottom