Boss wangu ananizidi miaka 7 na nasikia ana ngoma lakin anataka nimuoe

Kama ana ngoma we nenda na zeze na filimbi
Mnapenda vya mteremko sana
Sio mteremko mwenzako sina kaz na hapo ndo napopategemea, kama vp unaweza kunisaidia japo kunitafutia kaz ili niepuke hii mitego
 
Ni boss wako katika kazi gani?

Hapo kazini kwenu sijui nani anajiweza maana hata kuandika tuu lazima boss akuambukize kwa lazima
 
Back
Top Bottom