Boss wangu ananizidi miaka 7 na nasikia ana ngoma lakin anataka nimuoe

Kufa utakufa tu mkuu hata bila huo ukimwi, embu acha upuuzi maisha yenyewe haya magumu sasahivi.
 
Habalin wakuu wangu wa jukwaa bwana awe nanyi

Naandika hapa nikiwa na majonz na mawazo mengi sana juu ya hatima ya maisha yangu

Niko nafanya kaz na bos wangu ambaye ni mwanamke na hana mtoto hata mmoja lakin ananizid miaka saba tena nasikia maneno kutoka kwa watu ya kwamba ana ngoma, kaniganda kinoma kitu kilichonifanya na kupelekea kumugegeda yaan kufanya naye mapenz au watoto wengi wa humu wanaita kupiga papuch yaan tiari papuch yake naijua

Na juzi kanifokea kama sitaki kuish naye bas niache kazi mara moja nami nategemea hiyo kaz na hiyo kaz ndo inaniweka mjini

Naomba ushauri wenu wakuu wangu lakin kumbuken nishamugegeda tiar na alinikuta nikiwa na maisha magumu sana

Ahuitaji ushauri wa mtu uamuzi ni wako jiulize je ninataka kazi au sitaki?
 
Kitakacho kusaidia hapo usithubutu kupima kabisa.

Wewe kula chakula vizuri na ushiriki mazoezi mengine muachie Mungu.
 
Ulisha kula sumu unauliza unywe maziwa au usinywe... Mimi kwa ushauri wangu kunywa tena sumu... Ukikaribia kukata roho... Ndo uombe maziwa
 
Life is full of second chances usipoteze potential, kama unadhani bila uyo bosi au io kazi utakufa endelea, otherwise usiindelee kuchimba ilihali unajijua upo ndani ya shimo.
 
"....kanifokea kama sitaki kuish naye bas niache kazi mara moja nami nategemea hiyo kaz na hiyo kaz ndo inaniweka mjini...."

Fikra za namna hii ni zaidi ya gereza
 
Back
Top Bottom