mlima wa mizeituni
JF-Expert Member
- Sep 7, 2019
- 1,387
- 2,445
J120Wabongo mna majina.
Prado diamond ndo naisikia leo.
Ipoje hiyo?
J120Wabongo mna majina.
Prado diamond ndo naisikia leo.
Ipoje hiyo?
Third generation Prado....from 2005 I guessWabongo mna majina.
Prado diamond ndo naisikia leo.
Ipoje hiyo?
Kweli anaenunua v12 BMW mpya si mtu mwenye njaa. Hawa ndio wanaonunua hizi zikiwa mpya wakilia bata zikiwa ndani ya warranty, ikimharibikia hana stress anarudisha inatengezwa bure. Ikiisha warranty inarudishwa kwa dealer mtu anavuta nyingine.na sidhani mtu anae nunua V12 akawa na njaa ya shekeli
BMW zinaharibika sana au mie sijakuelewa ? Nachojua gari kuharibika au kutokuharibika inategemea na mkono wa mtu ( utunzaji ) kuna Lexus ni vimeo kuliko BMW hii inatokana na utunzajiKweli anaenunua v12 BMW mpya si mtu mwenye njaa. Hawa ndio wanaonunua hizi zikiwa mpya wakilia bata zikiwa ndani ya warranty, ikimharibikia hana stress anarudisha inatengezwa bure. Ikiisha warranty inarudishwa kwa dealer mtu anavuta nyingine.
Unaweza ukawa tajiri na spea bei wala isikusumbue, ila gari kuharibika ovyo inakera mno, na mara nyingi ni vitu vya umeme ndo vinaleta shida. Halafu kitu ukikinununa ghali, hata kama spea zake ni ghali nazo basi walau kiwe madhubuti. Hapa ndo inapokuja Lexus, unanunua dola laki moja huna stress. Gari isipokuwa madhubuti halafu spea zake bado ghali na labour cost iko juu, ita depreciate haraka sana. Ndio maana unakuta Toyota na Lexus zina good resale value compared to german cars, kwa sababu maintainance cost is reasonable na inadumu mda mrefu compared to BMW
Na pia kuna Bmw ni vimeo kuliko LexusBMW zinaharibika sana au mie sijakuelewa ? Nachojua gari kuharibika au kutokuharibika inategemea na mkono wa mtu ( utunzaji ) kuna Lexus ni vimeo kuliko BMW hii inatokana na utunzaji
Basi vyote vimeo tuNa pia kuna Bmw ni vimeo kuliko Lexus
Mkono wa mtu unachangia katika utunzaji wa gari kweli. Kuna vitu havihitaji mkono wa mtu wala wa nani. Kuharibika kwa Oxygen sensor hakuhitaji mkono wa mtu, au spark plug ama coils etc, ni vitu tu ambavyo lifetime yake ikifika ujitaarishe tu. Lakini kuendelea kutofix hayo matatizo na kusababisha mengine ndio itakuwa mkono wa mtu umechangia.BMW zinaharibika sana au mie sijakuelewa ? Nachojua gari kuharibika au kutokuharibika inategemea na mkono wa mtu ( utunzaji ) kuna Lexus ni vimeo kuliko BMW hii inatokana na utunzaji
Lexus huwa hazi haribiki ?Mkono wa mtu unachangia katika utunzaji wa gari kweli. Kuna vitu havihitaji mkono wa mtu wala wa nani. Kuharibika kwa Oxygen sensor hakuhitaji mkono wa mtu, au spark plug ama coils etc, ni vitu tu ambavyo lifetime yake ikifika ujitaarishe tu. Lakini kuendelea kutofix hayo matatizo na kusababisha mengine ndio itakuwa mkono wa mtu umechangia.
Lexus ipi ni kimeo kuliko BMW? Inawezekana ipo model kimeo in reliability, mimi siijui, kama wewe unaijua let me know na nambie ume compare na bmw ipi
ndugu! nina Wajapani wawili na nusu na wote wako hoi kwa pamoja. sembuse Wajerumani!Inaweza isiwe toyota, unaweza ukamiliki wajerumani hata wanne.
Wote hawawezi kuharibika pamoja.
Mwisho watasema posche 911 iko class moja na impreza kisa bodyNope siyo ushabiki, kwamba Golf iko class moja na Runx?
Gari mbili na nusu zote ziko hoi kwa pamoja?ndugu! nina Wajapani wawili na nusu na wote wako hoi kwa pamoja. sembuse Wajerumani!
Ziliharibika siku moja? Inawezekana iliharibika moja ukaiacha ukahamia ingine nayo ikaharibika. Au unalea magonjwa.ndugu! nina Wajapani wawili na nusu na wote wako hoi kwa pamoja. sembuse Wajerumani!
Pesa mzee, namalizia leo kuuza Audi , juzi kama nilikuwa naiaga.. crown imeisha enda na maji 😀😀Ziliharibika siku moja? Inawezekana iliharibika moja ukaiacha ukahamia ingine nayo ikaharibika. Au unalea magonjwa.
Kuna mtu kafika bei?Pesa mzee, namalizia leo kuuza Audi , juzi kama nilikuwa naiaga.. crown imeisha enda na maji 😀😀
Gari zote zinaharibika. Lakini ukinunua gari A ambayo ikifika 100,000km inaanza kukuletea major issues na Gari B imekuletea major issues ikiwa 300,000KM, We unaona ipi kati ya hizo ni imara?Lexus huwa hazi haribiki ?
Ni gari gani hiyo ikifika 100,000km inaleta major issue ? Kuna ist zikifika hapo 100,000 kwao ni garage na kuna BMW au benz zinavuka 100,000km kama mpya. Matunzo ya gari yanakupa picha kamili utaishi nayo mda gani haijalishi ni gari gani..Gari zote zinaharibika. Lakini ukinunua gari A ambayo ikifika 100,000km inaanza kukuletea major issues na Gari B imekuletea major issues ikiwa 300,000KM, We unaona ipi kati ya hizo ni imara?
Nimepata mtu tayariKuna mtu kafika bei?
Kwanini BMW zina depreciate sana kuliko Toyota na Lexus?Ni gari gani hiyo ikifika 100,000km inaleta major issue ? Kuna ist zikifika hapo 100,000 kwao ni garage na kuna BMW au benz zinavuka 100,000km kama mpya. Matunzo ya gari yanakupa picha kamili utaishi nayo mda gani haijalishi ni gari gani..
Safi. Upgrade chukua Audi A4 B8, ile ni B6Nimepata mtu tayari