BMW 3 Series vs Crown Athlete

na sidhani mtu anae nunua V12 akawa na njaa ya shekeli
Kweli anaenunua v12 BMW mpya si mtu mwenye njaa. Hawa ndio wanaonunua hizi zikiwa mpya wakilia bata zikiwa ndani ya warranty, ikimharibikia hana stress anarudisha inatengezwa bure. Ikiisha warranty inarudishwa kwa dealer mtu anavuta nyingine.

Unaweza ukawa tajiri na spea bei wala isikusumbue, ila gari kuharibika ovyo inakera mno, na mara nyingi ni vitu vya umeme ndo vinaleta shida. Halafu kitu ukikinununa ghali, hata kama spea zake ni ghali nazo basi walau kiwe madhubuti. Hapa ndo inapokuja Lexus, unanunua dola laki moja huna stress. Gari isipokuwa madhubuti halafu spea zake bado ghali na labour cost iko juu, ita depreciate haraka sana. Ndio maana unakuta Toyota na Lexus zina good resale value compared to german cars, kwa sababu maintainance cost is reasonable na inadumu mda mrefu compared to BMW
 
BMW zinaharibika sana au mie sijakuelewa ? Nachojua gari kuharibika au kutokuharibika inategemea na mkono wa mtu ( utunzaji ) kuna Lexus ni vimeo kuliko BMW hii inatokana na utunzaji
 
Mkono wa mtu unachangia katika utunzaji wa gari kweli. Kuna vitu havihitaji mkono wa mtu wala wa nani. Kuharibika kwa Oxygen sensor hakuhitaji mkono wa mtu, au spark plug ama coils etc, ni vitu tu ambavyo lifetime yake ikifika ujitaarishe tu. Lakini kuendelea kutofix hayo matatizo na kusababisha mengine ndio itakuwa mkono wa mtu umechangia.

Lexus ipi ni kimeo kuliko BMW? Inawezekana ipo model kimeo in reliability, mimi siijui, kama wewe unaijua let me know na nambie ume compare na bmw ipi
 
Out of topic.

Zile air suspension za crown majesta zinafunga kwenye Crown Athlete?
 
Mkono wa mtu unachangia katika utunzaji wa gari kweli. Kuna vitu havihitaji mkono wa mtu wala wa nani. Kuharibika kwa Oxygen sensor hakuhitaji mkono wa mtu, au spark plug ama coils etc, ni vitu tu ambavyo lifetime yake ikifika ujitaarishe tu. Lakini kuendelea kutofix hayo matatizo na kusababisha mengine ndio itakuwa mkono wa mtu umechangia.

Lexus ipi ni kimeo kuliko BMW? Inawezekana ipo model kimeo in reliability, mimi siijui, kama wewe unaijua let me know na nambie ume compare na bmw ipi
Lexus huwa hazi haribiki ?
 
Lexus huwa hazi haribiki ?
Gari zote zinaharibika. Lakini ukinunua gari A ambayo ikifika 100,000km inaanza kukuletea major issues na Gari B imekuletea major issues ikiwa 300,000KM, We unaona ipi kati ya hizo ni imara?
 
  • Thanks
Reactions: Cyb
Gari zote zinaharibika. Lakini ukinunua gari A ambayo ikifika 100,000km inaanza kukuletea major issues na Gari B imekuletea major issues ikiwa 300,000KM, We unaona ipi kati ya hizo ni imara?
Ni gari gani hiyo ikifika 100,000km inaleta major issue ? Kuna ist zikifika hapo 100,000 kwao ni garage na kuna BMW au benz zinavuka 100,000km kama mpya. Matunzo ya gari yanakupa picha kamili utaishi nayo mda gani haijalishi ni gari gani..
 
Kwanini BMW zina depreciate sana kuliko Toyota na Lexus?
 
Back
Top Bottom