Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,494
- 96,063
Hao ndiyo wanaongozwa na mihemuko hawana ABC za building.Ujenzi unakanuni zake.
Last week RC songwe aliagiza ndani ya siku 7daraja liwe limekamilika
Hao ndiyo wanaongozwa na mihemuko hawana ABC za building.Ujenzi unakanuni zake.
Last week RC songwe aliagiza ndani ya siku 7daraja liwe limekamilika
Wanakeeeraaaa sana kama Haji Manara anavyo wakeeeeraaaa wana msimbaziAnatafuta kiki ngoja CAG aje amuumbue
Haji asiporopoka atapata wapi mlo?Wanakeeeraaaa sana kama Haji Manara anavyo wakeeeeraaaa wana msimbazi
Ndiyo kama hao viongoziHaji asiporopoka atapata wapi mlo?
Haraka haraka ya nini,kama ni kuchelewa,mtani umeshachelewa.Hizo fedha sio za mama Samia, ni kodi au mkopo kwa wananchi.Kuna mtu kasema acha kupotosha.Fedha ni za Watanzania.na sio zinagawanywa kwa hisani tu.Nadhani huyu mtani anadhani mama katoa kwenye pochi halafu akampa.Hata kama ni dharura ni lazima watu wa procurements wafuate procurement procedures, hivi muende tuu kununua simenti, mabati, nondo etc kama unajenga nyumba yako si mtapigwa au hamuwajui vizuri maafisa manunuzi? Mfano kama hamjakubaliana kupata quotations ili muamue mtanunua kwa bei ipi si mtu ataenda kununua kwenye bei nafuu halafu makaratasi akaongeza cha juu?
Yupo smart kwa kiwango gani kiongozi anayetaka kuvunja taratibu za manunuzi akitaka akanunue yeye.Kama yeye ni smart afuate taratibu zote za manunuzi.Safar baaaado kabisa.Huyu Dada yuko smart sana kichwani
hapa naona Rais Samia amelamba
penyewe Shinyanga itasogea sana
Mwisho watoto wanangukiwa na jengo wakiwa ndani.Huu pia ni ujinga, yaani jengo kama linatakiwa lijengwe miezi miwili nyie mtalazimisha eti kwa sababu ya deadline ya shule? Kama issue ni deadline ya kufungua shule je hilo mlikuwa hamlijui?
Kweli nimeamini sasa kuwa moja ya sifa ya kuteuliwa kuwa DC au RC ni kujua "kusoma na kuandika" tu basi ( Na si habari ya kufika sijui darasa la ngapi, diploma au degree kama wengine wanavyofikiri).Mkuu mpya wa Mkoa wa Shinyanga Bi Sophia Edward Mjema amefanya maamuzi magumu ya kumsimamisha kazi afisa manunuzi mzembe wa Wilaya ya Kishapu Ili kupisha Ujenzi wa madarasa kwa dharula kama ilivyoelekezwa na Rais Samia Suluhu Hassan.
Haiwezekani kufuata sheria katika kuliendea jambo la dharura. Lakini ikumbukwe kuwa Mh. Rais alishasema utekelezaji usicheleweshwe kwasababu ya masharti ya PPRA.Mkuu laid down procedures za uendeshaji nchi ni pamoja na kugawa kazi kwa haki, na kulipa kwa haki, n bado kusudi lililo tazamiwa litekelezwe.
Hapo ni project planning na execution.
Soyo kwenda tu kununua sementi kwa Mangi.
Wacha tuone mwisho wa hadithi!Hata kama ni dharura ni lazima watu wa procurements wafuate procurement procedures, hivi muende tuu kununua simenti, mabati, nondo etc kama unajenga nyumba yako si mtapigwa au hamuwajui vizuri maafisa manunuzi? Mfano kama hamjakubaliana kupata quotations ili muamue mtanunua kwa bei ipi si mtu ataenda kununua kwenye bei nafuu halafu makaratasi akaongeza cha juu?
Mawazo mgando, Samia hana fedha hizo ni fedha za serikaliMkuu huyo wa Mkoa amemshangaa afisa huyo mzembe kwa kuendeleza urasimu kwenye fedha za Rais Samia
Tatizo si tamko la mama Samia, tatizo ni jinsi tamko hilo linavyoweza kuwa blank cheque kwa wapigaji.Haiwezekani kufuata sheria katika kuliendea jambo la dharura. Lakini ikumbukwe kuwa Mh. Rais alishasema utekelezaji usicheleweshwe kwasababu ya masharti ya PPRA.
😍😍 Ndio nikweli yuko vizuri,Huyu Dada yuko smart sana kichwani
hapa naona Rais Samia amelamba
penyewe Shinyanga itasogea sana
Miezi miwili ujenzi wa madarasa inatosha mkuu, RC yuko sahihi😍Angalizo hiyo dharura isije ikaleta maafa!