chuma cha mjerumani
JF-Expert Member
- Dec 4, 2013
- 11,464
- 23,826
Mikataba mingi tumepigwa na tunaendelea kupigwa ni swala la muda tutashuhudia mengi.
Tena media, (vyombo vya habari), vitatangaza mbashara mwanzo mwishoKwanza fahamu mijadala hufanywa na wenye akili, ukishaona watu mijadala mikubwa ni mwenge, kumbukizi za Vifo, may mosi, siku ya ukimwi, siku ya wanawake hapo ujue Pana tatizo kubwa sana
Mikataba hiyo ni ya kibiashara , mfanyabiashara husaka faida hawezi kua na huruma na weweMikataba mingi tumepigwa na tunaendelea kupigwa ni swala la muda tutashuhudia mengi.
Mpigie KafulilaHuyu Adani si alifurumushwa kenya baada ya kuwa ameingia mkataba wa kuendesha airport sijui na kitu gani. Sema pale airport alikuwa anaweka mpunga mrefu sana kuliko ambao hawa emirates wameweka pale bandarini.
Halafu mwaka jana, alipata scandal ya kumanipulate taarifa zilizofanya hisa za kampuni zake kupaa mwisho kuna whistleblower akaonyesha dalili za kuwa kuna kitu hakiko sawa ndipo hisa zikaanza kushuka thamani.
Ipo siku miaka kadhaa mbele tutakuwa tunaulizana nani aliingia mikataba hii kama ambavyo tuliulizana kipindi cha dowans na uzuri Tanzania kuwajibika ni kujiuzuru kama bado uko madarakani napo si lazima, na ukaendelea na maisha yako ukitumbua kile ulichochuma kama kawaida.
Machawa walisema anafaa kuwa rais ajaye hapahapa tukasema tusubiri tutaona! Eti msafi alikataa mambo ya escrow, hahahaha! Wabongo tulivyo walafi hivi tukatae mpunga??Kafulila sio mtu smart kama wengi wanavodhani, muda ukifika yake mengi tutayaanika
Bilionea wa kihindi Gautam Adani ameshitakiwa kwa utapeli na rushwa katika mahakama ya New York. Yeye na wenzake wanatuhumia kuahidi rushwa za mamiliono ya dola kwa maafisa wa serikali ili kupewa mikataba na tenda kimagumashi ikiwemo ya umeme wa solar.
Itakumbukwa kuwa moja ya makampuni ya bilionea huyo liitwalo Adani Group ya India imekuwa ikipigiwa chapuo "kuwekeza" katika shirika la TANESCO kwa njia ya PPP na dalali wa taifa David Kafulila.
Kwenye dunia hii hakuna wajomba, kila nchi inaangalia maslahi yake kwanza na wajinga ndio waliwao. Tuendelee kuweka watu wajinga kwenye nafasi nyeti ili tuendelee kupigwa mpaka siku Yesu anarudi.
Miaka ya nyuma nilimchukulia David Kafulila kama kijana smart sana kichwani! Ila tangu alipohamia CCM, tena baada ya kudhulumiwa ushindi wake wa ubunge! Ndiyo nikagundua kumbe na yeye yupo kwenye lile kundi maarufu la wachumia tumbo.
Wahindi ni no. 1 Kwa kutoa Rushwa Duniani...!Bilionea wa kihindi Gautam Adani ameshitakiwa kwa utapeli na rushwa katika mahakama ya New York. Yeye na wenzake wanatuhumia kuahidi rushwa za mamiliono ya dola kwa maafisa wa serikali ili kupewa mikataba na tenda kimagumashi ikiwemo ya umeme wa solar.
Itakumbukwa kuwa moja ya makampuni ya bilionea huyo liitwalo Adani Group ya India imekuwa ikipigiwa chapuo "kuwekeza" katika shirika la TANESCO kwa njia ya PPP na dalali wa taifa David Kafulila.
Kwenye dunia hii hakuna wajomba, kila nchi inaangalia maslahi yake kwanza na wajinga ndio waliwao. Tuendelee kuweka watu wajinga kwenye nafasi nyeti ili tuendelee kupigwa mpaka siku Yesu anarudi.
Wavivu wa kufikiri tunapenda mihemuko hatuna subira, yaani kujua kama yaliyomo yamo?, tuseme hatufikiri nje ya sanduku tunapenda matokeo makubwa sasa, (Big results now)Machawa walisema anafaa kuwa rais ajaye hapahapa tukasema tusubiri tutaona! Eti msafi alikataa mambo ya escrow, hahahaha! Wabongo tulivyo walafi hivi tukatae mpunga??
Yaani jamaa hawana aibu. Tofauti na Marekani, huku kwetu ndio kwanza kiongozi mkuu wa nchi angekuwa anawatetea.Kama mtu anathubutu kuhonga Marekani, aisee huyo Tanzania anafaa sana CCM, yani ni malaria, Ccm na rushwa ni sawa na ( ke na me )
Utawala wa madalali wa rasilimali za nchi.Tayari ana Bandari. I believe the USA is going to prove that they are corrupt. Sasa utakuta kwenye mikataba hatuweki disclaimer kama ikithibitika kampuni yako imebeba rushwa mkataba unasitishwa bila refund yeyote.
By the time this regime will be over all the interested assets of the country will be at the hads of either MBZ, Indians or MBS. Just wait and see.
Red flags everywhere. Lakini bado watu wanampigia chapuo aje apige na hapa kwetu ili wao wapate % zao.Kwa wenye akili...hebi tujikumushe
On Friday, October 25, the High Court halted the government's KSh 95.68 billion Adani-KETRACO electricity transmission deal, citing constitutional concerns.
Justice Bahati Mwamuye issued a conservatory order suspending the deal’s implementation pending further legal examination.
The Law Society of Kenya (LSK) challenged the deal, claiming it lacked transparency, public participation, and accountability.
Azimio La Umoja One Kenya Coalition parties also filed a lawsuit to challenge Indian firm Adani Group's leasing of Jomo Kenyatta International Airport (JKIA).
Sio tu they dont care,they dont have exposure to deal with unscrupulous, pathetic conmen.Wenzetu wako serious sana lakin hapa nyumbani they dont care, madhara huwa yanaonekana baadae sana halaf watakaa kimyankama hawajui kilichotokea
Kundi la.kujizima data, a.k.a kuahirisha kufikiri kizalendoMiaka ya nyuma nilimchukulia David Kafulila kama kijana smart sana kichwani! Ila tangu alipohamia CCM, tena baada ya kudhulumiwa ushindi wake wa ubunge! Ndiyo nikagundua kumbe na yeye yupo kwenye lile kundi maarufu la wachumia tumbo.
Tatizo hawa wakiamua wameamua, (wanajizima data), mambo makubwa kama haya yanahitaji mijadala ya wazi kwakutumia wabobezi tulionaoSio tu they dont care,they dont have exposure to deal with unscrupulous, pathetic conmen.
Huyo gwiji la Kihindi Adani lina wajuzi wa mikataba kibao, ujanja mwingi,uzoefu wa kupambana na nchi za wajuaji,watoaji hongo kubwa kubwa kwa mpangilio.Waje eti wapambane na Bwana Mdogo Kafulila aliyevishwa Ukurugenzi kama kilemba cha ukoko?Nada!!
Huyo Adani sio mgeni ndio mmliki mpya wa TPA Berth no 8,9,10,11 zilizokuwa zinamilikuwa na akina Karamagi.
Bado anataka kujisogeza kwenye umeme wa TANESCO,Reli ya TRC.Bila kumungunya maneno serikali ya Tanzania haina uwezo wa kumdhibiti kigogo huyo wa kihindi,ni bora kiustaarabu kumwambia NO THANK YOU.
Lucas Mwashambwa njoo unyooshe maelezo hapaBilionea wa kihindi Gautam Adani ameshitakiwa kwa utapeli na rushwa katika mahakama ya New York. Yeye na wenzake wanatuhumia kuahidi rushwa za mamiliono ya dola kwa maafisa wa serikali ili kupewa mikataba na tenda kimagumashi ikiwemo ya umeme wa solar.
Itakumbukwa kuwa moja ya makampuni ya bilionea huyo liitwalo Adani Group ya India imekuwa ikipigiwa chapuo "kuwekeza" katika shirika la TANESCO kwa njia ya PPP na dalali wa taifa David Kafulila.
Kwenye dunia hii hakuna wajomba, kila nchi inaangalia maslahi yake kwanza na wajinga ndio waliwao. Tuendelee kuweka watu wajinga kwenye nafasi nyeti ili tuendelee kupigwa mpaka siku Yesu anarudi.