Bilionea Gautam Adani ambaye Kafulila anataka kumpa shirika la TANESCO ashitakiwa kwa utapeli huko Marekani

Kama haulipwi kutetea kila unachokitetea hapa basi dishi litakuwa limeyumba ndugu yangu. Mtu timamu hawezi kuwa hivi.

Kama unalipwa basi hongera na ongeza juhudi, propaganda ni kazi kama kazi nyingine. No hard feelings.
Kwa kwelu umempa za uso hata kichwa chake ni kigumu namna gani lazima aelewe tu.
 
ADANI amezua taharuki Nchi Jirani baada ya Utapeli wake kubainika huko New York Marekani

Wananchi wamechachamaa wakitaka Jommo Kenyatta International Airport irejeshwe Serikalini

Je, kiendacho kwa Mganga kinarudi?

Credit: Citizen TV
ndiyo umwambie tumbili sasa aache kushupaza shingo.....huyo adani ni tapeli na tumbili ataingiza nchi kwenye matatizo...!
 
Kama haulipwi kutetea kila unachokitetea hapa basi dishi litakuwa limeyumba ndugu yangu. Mtu timamu hawezi kuwa hivi.

Kama unalipwa basi hongera na ongeza juhudi, propaganda ni kazi kama kazi nyingine. No hard feelings.
Kwa kwelu umempa za uso hata kichwa chake ni kigumu namna gani lazima aelewe tu.
ndiyo umwambie tumbili sasa aache kushupaza shingo.....huyo adani ni tapeli na tumbili ataingiza nchi kwenye matatizo...!
Hakika,
 
Back
Top Bottom