kmbwembwe
JF-Expert Member
- Aug 16, 2012
- 10,829
- 7,713
Katba iliyopo ingekua haifai lissu asingekua anaiquote kama biblia kila siku na kulalama kizushi haifuatwi. Ukweli wananchi hawajakua tayari kukabidhi madaraka kwa upinzani hivyo wajitahidi kua wapinzani wenye tija kwa taifa kulingo kuombea njaa nchi kama mkakati wa kuindoa ccm madarakani.Pamoja na kuwa sio mfuasi wa chama chochote lakini nimekuwa sifurahishwi na namna Uchaguzi unavyoendeshwa katika nchi hii Chini ya Katiba iliyopo na Tume ya Uchaguzi iliyopo.
Naamini Wapinzani wamejionea chaguzi za marudio zilivyofanyika hivi karibuni na kuwafanya Wagombea wa CCM kushinda Chaguzi zote kirahisi kabisa.
Wasimamizi wa Uchaguzi ambao ni Wakurugenzi wamefanya walivyotaka. Mbinu zilizotumika kuwafanya Wagombea wa CCM kushinda ndio hizo hizo zitatumika 2020 tena kwa nguvu zaidi kwani Katiba ni ile ile na Tume ya Uchaguzi ni ile ile.
Kama Vyama vya Upinzani vitashindwa Kudai Katiba Mpya na Tume Huru ya Uchaguzi ni bora visishiriki Uchaguzi huo kwani kitakachofanyika ili ionekane CCM inakubalika hamtaamini Macho na Masikio yenu na Wanachama wafuasi na wapenda mabadiliko mtawakatisha tamaa.
Sent using Jamii Forums mobile app