Stop ur nonsense atleast jaribu siku mojamoja kuficha ujinga wako.Watu wanataka maendeleo sio katiba mpya.
Magufuli hakuahidi katiba mpya.
Unaweza kukumbuka ni bilioni ngapi zilitumika kuandaa mapendekezo ya katiba mpya ?Vipi kama fedha hizo zingesambaza maji vijijini?