mpimamstaafu
JF-Expert Member
- Jul 18, 2018
- 4,445
- 4,706
Ni rahisi kusema kuliko kutenda. Ukipewa hata kisu ushike, utakimbia maili mia.hivi lissu awezi kuongea na mabebelu,yatufadhiri silaa hata mapanga tu tuwatie adabu sisiem myb tutaheshimiana.haiwezekani kila cku wanatuonea tu eboh.
Uvumilivu unakikomo.Ni rahisi kusema kuliko kutenda. Ukipewa hata kisu ushike, utakimbia maili mia.
Watu wanataka maendeleo sio katiba mpya.
Magufuli hakuahidi katiba mpya.
Unaweza kukumbuka ni bilioni ngapi zilitumika kuandaa mapendekezo ya katiba mpya ?Vipi kama fedha hizo zingesambaza maji vijijini?
na wapinzani 2020 watapoteza sana majimbo kwakutoonewa na tume ya uchaguzi, kwanza wameshapoteza mvuto na wameonekana ni wababaishaji tu na matapeli tu.
Mtu mpuuzi na mjinga kama huyu ana faida gani humu ?!.Watu wanataka maendeleo sio katiba mpya.
Magufuli hakuahidi katiba mpya.
Unaweza kukumbuka ni bilioni ngapi zilitumika kuandaa mapendekezo ya katiba mpya ?Vipi kama fedha hizo zingesambaza maji vijijini?
Kama hakuahidi basi zirudi zile 2.4 trillion zitumike kwenye katiba mpyaWatu wanataka maendeleo sio katiba mpya.
Magufuli hakuahidi katiba mpya.
Unaweza kukumbuka ni bilioni ngapi zilitumika kuandaa mapendekezo ya katiba mpya ?Vipi kama fedha hizo zingesambaza maji vijijini?
Haya ni mawazo yakona wapinzani 2020 watapoteza sana majimbo kwakutoonewa na tume ya uchaguzi, kwanza wameshapoteza mvuto na wameonekana ni wababaishaji tu na matapeli tu.
Nadhani nia yako ni kuwaongezea muda tena hawa walioko. Katiba mpya sio kitu cha siku 1. Upinzani wasiposhiriki ni kuwapa ushindi mezani hao ccm. Acha waharibiwe uchaguzi wao kwa kuibiwa kura au kutangazwa ndivyo sivyo ila hata huyo atakayeingizwa kinyume na matakwa ya wananchi atajua HAPENDWI.Kama Vyama vya Upinzani vitashindwa Kudai Katiba Mpya na Tume Huru ya Uchaguzi ni bora visishiriki Uchaguzi huo kwani kitakachofanyika ili ionekane CCM inakubalika hamtaamini Macho na Masikio yenu na Wanachama wafuasi na wapenda mabadiliko mtawakatisha tamaa.
Hilo ling'ombe akili zake ziko toboni kama jiwe anajiita jingalaoHapo ndio Lisu anaposema haichafui nchi bali serekali. Suala la katiba ni la nchi sio la serikali. Katiba iko juu ya utashi wa rais, yeye rais ana haki ya kukataa katiba mpya kwani sio mtu anayeitii katiba, hivyo anajua katiba mpya haitampa fursa ya kufanya kila atakacho ikiwemo kuwalinda watu wasiojulikana. Katiba mpya inazuiaje maji kupelekwa vijijini?
Ukizidiwa na hoja unaanza matusi?Mtu mpuuzi na mjinga kama huyu ana faida gani humu ?!.
Maghufuli si mwamba akaishi milele, katiba mpya muhimu na tume huru pia.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kipi usichokipata leo utakipata kwenye katiba mpya?Hata 77 Iliwekwa katiba mpya je imeleta nini kwa mwananchi wa kawaida?Hapo ndio Lisu anaposema haichafui nchi bali serekali. Suala la katiba ni la nchi sio la serikali. Katiba iko juu ya utashi wa rais, yeye rais ana haki ya kukataa katiba mpya kwani sio mtu anayeitii katiba, hivyo anajua katiba mpya haitampa fursa ya kufanya kila atakacho ikiwemo kuwalinda watu wasiojulikana. Katiba mpya inazuiaje maji kupelekwa vijijini?
Chini ya Magufuli Majimbo yote yatarudi CCM.. Alisha waagiza wakurugenzi kuwa kama wanatumia usafiri wa serikali, nyumba ya serikali.. Iliyo chini ya CCM.Huyo mkurugenzi atahatarisha kibarua chake.Tjidanganye kwani waliopo walipita na tume na katiba IPI,shida ni awareness ambapo ccm imechangia sana kujidhoofisha sababu ya matendo maovu iliyowafanyia watu
Shida ni pale mgombea mojawapo, anapokuwa na mamlaka ya kuchagua marefarii , na kuwaapisha kuwa atakayemtangaza mpinzani hana kazi !!Ukizidiwa na hoja unaanza matusi?
Awamu hakuna sitting allowance za bure bure ...ni wapi katiba iliyopo kuna shida?