ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 61,400
- 71,847
- Thread starter
-
- #101
Wewe una akili nzuri? Biggest bank inapimwa Kwa assets au profits?Inawezekana nabishana na mtu usiyejua vizur numbers... we unaniwekea data za growth za assets ambazo unasema zinajustify Crdb kuwa juu ya Nmb wakati ukienda kwenye profits Nmb kampiga gap crdb katibu 100 billion halafu, we ni analyst wa aina gani vitu vidogo kama hivi unafeli??
Wewe una akili nzuri? Biggest bank inapimwa Kwa assets au profits?Inawezekana nabishana na mtu usiyejua vizur numbers... we unaniwekea data za growth za assets ambazo unasema zinajustify Crdb kuwa juu ya Nmb wakati ukienda kwenye profits Nmb kampiga gap crdb katibu 100 billion halafu, we ni analyst wa aina gani vitu vidogo kama hivi unafeli??
Mnaufahamu na financial analysis au mnabishana tu😀😀cap / net worth ya kampuni A kuwa kubwa kuliko kampuni B sio kigezo Cha kuwa Bora ,kibiashara kwa sahivi NMB yupo vizuri kwa kumake profit kuliko Crdb,Ufalme wa NMB umefutwa rasmi na CRDB.
---
Benki kubwa zaidi Tanzania kwa thamani ya mali (Tsh):
1. CRDB-Trilioni 11.6
2. NMB-Trilioni 10.2
3. NBC-Trilioni 2.8
4. Stanbic-Trilioni 2.1
5. Standard Chartered-Trilioni 2
6. DTB-Trilioni 1.6
7. Exim-Trilioni 1.6
8. Azania-Trilioni 1.4
9. PBZ-Trilioni 1.4
10. TCB-Trilioni 1.2
11. ABSA-Trilioni 1.2
12. KCB-Trilioni 1.1
13. Citibank-Trilioni 1.1
14. Equity-Bilioni 877
15. BOA-Bilioni 784
View attachment 2786474
We mama kwa iyo pesa yako ikiwa bank sio assets?😀😀jamii forum Kila mtu ni financial expert aisee😀😀Kwenye hii list, ni lazima uchunguzi wa kina wa kiuchumi ufanyike, kwanini wateja wana pesa nyingi sana zipo Benki badala ya kuwa kwenye "assets" zao wenyewe?
Hapo kuna kitu hakipo sawa kabisa.
Siamini kama mfanya biashara yeyote anaweza kuwacha pesa nyingi benki asizizungushe sokoni. Kuna kitu hapa hakipo sawa kabisa kiuchumi.
Kama hiyo haitoshi, huwezi kusema benki ina "assets" nyingi ikiwa hizo pesa asilimia nyingi ni pesa za "wateja".
Unless mnambie list nyekundu haijajumuisha na pesa zilizopo list nyeusi.
Wawekezaji huwa wanaangalia profitable business. Kwa biashara kama benki ukiwa na assets nyingi na una generate profit ndogo hizo assets hazina maana. Unakuwa mgumu sana kuelewa concepts ndogo kama hizi.. napata mashaka na uelewa wako wa masuala ya bishara na fedha... Unaonesha low thinking ya hali ya juu mkuuWewe una akili nzuri? Biggest bank inapimwa Kwa assets au profits?
CRDB
-Big assets
-Many employees
-Many branches
Sina mashaka na akili yangu... unabisha vitu vya kijinga sana...... kwahiyo wewe nyumba ya bilioni 10 yenye cash flow ya 100 million na nyumba ya bilioni 8 yenye income ya 300 million, unadhani ipi kati ya hiyo ina thamani zaidi? Usibishe tu kwasababu una bando use common sense, japokuwa inaonesha common sense is not common to youWewe una akili nzuri? Biggest bank inapimwa Kwa assets au profits?
Huduma mbovu!Ufalme wa NMB umefutwa rasmi na CRDB.
---
Benki kubwa zaidi Tanzania kwa thamani ya mali (Tsh):
1. CRDB-Trilioni 11.6
2. NMB-Trilioni 10.2
3. NBC-Trilioni 2.8
4. Stanbic-Trilioni 2.1
5. Standard Chartered-Trilioni 2
6. DTB-Trilioni 1.6
7. Exim-Trilioni 1.6
8. Azania-Trilioni 1.4
9. PBZ-Trilioni 1.4
10. TCB-Trilioni 1.2
11. ABSA-Trilioni 1.2
12. KCB-Trilioni 1.1
13. Citibank-Trilioni 1.1
14. Equity-Bilioni 877
15. BOA-Bilioni 784
View attachment 2786474
Duh! Ni wote mkuu wako hivyo?, maana ndiyo benki inayotengeneza faida kubwa sana kuliko zote nchini.Wana nyodo sana wale wahudumu wa NMB kwanza wako slow sana na pia hiyo Benki imekuwa kero maana mtu ana buku eti anaenda kupanga foleni 😆😆
Mifano ya kufikirika usio akisi uhalisia , uzuri umeshasema NMB inazidi CRDB Kwa Bil.100 only.Sina mashaka na akili yangu... unabisha vitu vya kijinga sana...... kwahiyo wewe nyumba ya bilioni 10 yenye cash flow ya 100 million na nyumba ya bilioni 8 yenye income ya 300 million, unadhani ipi kati ya hiyo ina thamani zaidi? Usibishe tu kwasababu una bando use common sense, japokuwa inaonesha common sense is not common to you
Sio tuu profitability Bali trend of profitability ndio Cha muhimu na ndio sababu Kijani Bond Imepata over subscription ya zaidi ya Bil.172 Kwa first offer against target ya 40 bln.Wawekezaji huwa wanaangalia profitable business. Kwa biashara kama benki ukiwa na assets nyingi na una generate profit ndogo hizo assets hazina maana. Unakuwa mgumu sana kuelewa concepts ndogo kama hizi.. napata mashaka na uelewa wako wa masuala ya bishara na fedha... Unaonesha low thinking ya hali ya juu mkuu
Ndo maana nakuambia haya mambo huyajui vizuri rudi tena darasani.Sio tuu profitability Bali trend of profitability ndio Cha muhimu na ndio sababu Kijani Bond Imepata over subscription ya zaidi ya Bil.172 Kwa first offer against target ya 40 bln.
Sasa Uliza NMB wamepata ngapi Kwa Jamii bond Yao.
Huna unalojua... unasema 100 billion only as if ni ka hela kadogo...Mifano ya kufikirika usio akisi uhalisia , uzuri umeshasema NMB inazidi CRDB Kwa Bil.100 only.
Pili lengo la faida ni kukuza assets ambazo ndio zinapima Ukubwa wa kampuni.Itachukua miaka na miaka Kwa NMB kuja kuwa na assets za kuifikia CRDB na sioni hulo Kwa nia future maana Kwa profit difference hiyo inatakiwa CRDB isipate faida hata mia na NMB I maintain hiyo faida Kwa miaka 10 ndio ifikie assets za crdb something which is impossible.
Utajiri wako tunaupima Kwa assets sio Kwa cash ulizotunza bank au faida ,we dingi una shida mahala
Huna hoja wewe,Benki Yako imeshapitwa hamna kituHuna unalojua... unasema 100 billion only as if ni ka hela kadogo...
Narudia tena, huna unalojua mkuu... nlikuwa nakuheshimu kumbe huna akili
Bado tuko mbali sanaBenki zote hizo utajiri ni kama usd 20bil duuuh uchumi wa buluu huu wacha watu wakakope tu huko nje
Kuna wanasiasa wana fedha kama hizo wameficha kwenye visiwa mbalimbali duniani, tunapishana nao humu jumu barabarani.Bado tuko mbali sana