Hardbody
JF-Expert Member
- Jan 25, 2017
- 4,057
- 4,547
Hivi Mkuu mfano mimi nina akaunt yangu ya benki haina kitu ama ina vipesa kiduchu tu siku ya siku kwenye mishe zangu nazojua mimi nimetusua mil 100 nikaenda sasa kudeposit kwenye hiyo akaunti yangu ya benk hawa jamaa watanihoji kwamba nimeipata vipi hiyo hela? 😂Sio Kila kitu unawaza negative,kumbuka Kuna sheria ya money loundering hakuna banks zinakubali kupokea Mabilioni bila source.
Pili banks zimetanua uwezo wa branches na banking agents hivyo kuwafikia watu Hadi Vijijini huko na Kwa nature ya Watanzania wengi sio aggressive sana kwenye biashara ndio maana wanaona fahari kutunza pesa kuliko kuiweka kwenye biashara Moja kwa Moja.
Mwisho unashangaa hii wakati pension funds Zina matrilioni yamekaa tuu na machache sana kwenye vitega uchumi.