ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 61,360
- 71,836
- Thread starter
- #101
Wewe una akili nzuri? Biggest bank inapimwa Kwa assets au profits?Inawezekana nabishana na mtu usiyejua vizur numbers... we unaniwekea data za growth za assets ambazo unasema zinajustify Crdb kuwa juu ya Nmb wakati ukienda kwenye profits Nmb kampiga gap crdb katibu 100 billion halafu, we ni analyst wa aina gani vitu vidogo kama hivi unafeli??