Behind the curtain: September 11

Kwa hiyo unakubaliana na the bold kwamba mjapani aliekufa kwenye jaribio la bojinka plot alikuwa ni pilot?
Ndugu mm huwa ni mbishi sana mtu anapoleta vitu au story za uongo hapa jukwaani hasa jukwaa la kutumia akili kama hili la Intellgence jukwaa ambalo ni tofauti sana na majukwaa mengine lakini kwa hili naomba nikufahamishe vizuri ndugu yangu

Philippine Airlines Flight 434 aina ya Boeing 747-400 hii ndege iliyohusika na tukio na ilikuwa imebeba watu 273 waliojeruhiwa ni abiria 10 na aliyekufa ni mmoja raia wa Japani ajulikanae kama Haruki Ikegami ambapo wikipedia imemtambua kama A Japanese businessman lakini Haruki Ikegami alikuwa
Business consultant at Uniqlo Corporation lakini alikuja kuacha na kwenda kusomea Urubani ktk chuo cha Japan Aviation Academy na kupata leseni yake mwaka 1987
Ramzi_yousef_ap.jpg
huyu ndie gaidi bwana Ramzi Yousef

LiqBom3.gif
Hii ndio fake id aliyotumia bwana Ramzi Yousef kuingilia uwanjani

DU1ERV.jpg
Huyu wa kushoto ndie aliyekufa kwenye tukio lile anaitwa Haruki ikegami
170px-Ramzi_Yousef.gif
Ramzi Yousef
 
Ndugu mm huwa ni mbishi sana mtu anapoleta vitu au story za uongo hapa jukwaani hasa jukwaa la kutumia akili kama hili la Intellgence jukwaa ambalo ni tofauti sana na majukwaa mengine lakini kwa hili naomba nikufahamishe vizuri ndugu yangu

Philippine Airlines Flight 434 aina ya Boeing 747-400 hii ndege iliyohusika na tukio na ilikuwa imebeba watu 273 waliojeruhiwa ni abiria 10 na aliyekufa ni mmoja raia wa Japani ajulikanae kama Haruki Ikegami ambapo wikipedia imemtambua kama A Japanese businessman lakini Haruki Ikegami alikuwa
Business consultant at Uniqlo Corporation lakini alikuja kuacha na kwenda kusomea Urubani ktk chuo cha Japan Aviation Academy na kupata leseni yake mwaka 1987View attachment 473010 huyu ndie gaidi bwana Ramzi Yousef

View attachment 473012 Hii ndio fake id aliyotumia bwana Ramzi Yousef kuingilia uwanjani

View attachment 473013 Huyu wa kushoto ndie aliyekufa kwenye tukio lile anaitwa Haruki ikegami
View attachment 473015 Ramzi Yousef
Bado unakubaliana na bold kuwa hiyo ni ndege binafsi
 
Huyu mwana anaitwa izzo nae yupo nondo kimbe

Nafwatilia unavyo tema cheche za. Fact kwa bwana.Gogle
 
Bado unakubaliana na bold kuwa hiyo ni ndege binafsi
Ndugu yangu faida ya JF ni kujifunza na kuelimishana ktk majukwaa yote watu tunatofautiana kwenye jukwaa la siasa peke yake kwa maana kule ni mapenzi binafsi si akili au ufahamu bali ni mapenzi mubashara tu

Hoja yangu ilijikita kwenye tukio la Bojinka plot lakini bwana Khalid Shaikh Mohammed (KSM) amekuwapo ndani ya Philippines kwa vipindi tofauti kati ya mwaka 1991-1995 akileteleza matukio ya Suicide attack , bombing , aircraft hijacking kwa vipindi tofauti zaidi ya matukio 7 bwana KSM ameyafanya ndani ya Philippines na Al-Qaeda walichagua Philippines kwa kujua mahusiano kati ya US na Phillippines ni makubwa sana kwa nchi za Asia kwa kipindi hicho

Ndani ya US fillipino ndio jamii namba tatu kwa ukubwa kwa jamii ya wahamiaji ndani ya USA huku idadi ya wahamiaji ndani ya US wakiwa 41.3 milion huku filipino wakiwa ni 3,416,840 na kuifanya ni jamii ya tatu kwa ukubwa ya wahamiaji hawa tayali wana uraia wa US hii ni kwa mujibu wa US department of homeland security

Us nazobase Air base 5 ndani ya Philippines na Phillippines kuwa nchi ambayo US amewekeza sana kijeshi ktk nchi za ASIA

1 Antonio Baustista Air base
2 Basa Air base
3 Fort mogsaysay Air base
4 Lumbia Air base
5 Mactano- Benito ebuen Air base

So Al-Qaeda walikuwa wanajua nini wanachokifanya na mashambulizi Bojinka plot yalikuwa phase 3

ktk kitabu hicho kinaelezea vizuri sana juu ya huyu jamaa nanukuu uk 106

""KSM will return with Yousef to the Philippines in 1994 to exploit the network they built and develop the Bojinka plot (see January 6, 1995)
Khalid Shaikh Mohammed (KSM) and his nephew Ramzi Yousef have high-level protection in Pakistan around 1993, at least. This is according to Rehman Malik, who is head of Pakistan’s Federal Investigation Agency (FIA) at the time. In July 1993, KSM and Yousef are unsuccessful in an attempt to assassinate Pakistani Prime Minister Benazir Bhutto (July 1993)

Huyu bwana KSM ameshiriki matukio ya kigaidi tena kama mastermind kama matukio 43 alikuwa analindwa r (with Government Protection ) na nchi tatu Bosnia , Qatar , Pakistan

Tukio la ndege binafsi analolizungumzia The bold ni kweli lakini si tukio la Bojinka plot na tukio hilo halikufanywa na Ramzi Yousef bali lilifanywa na Moro Islamic Liberation Front (MILF) chini ya ukufunzi wa KSM lakini ilikuwa ni failed mission kwani walitegemea kuua watu zaidi ya 3000 lakini alikufa mtu mmoja tu .
ksm2.jpg
Khalid Shaikh Mohammed
 
Aisee kumbe zile story kuwa osama alikua mwanzo kibaraka wa marekani kabda hawajageukana ni uongo. Ngoja nitie pozi hapa.
 
Ndugu yangu faida ya JF ni kujifunza na kuelimishana ktk majukwaa yote watu tunatofautiana kwenye jukwaa la siasa peke yake kwa maana kule ni mapenzi binafsi si akili au ufahamu bali ni mapenzi mubashara tu

Hoja yangu ilijikita kwenye tukio la Bojinka plot lakini bwana Khalid Shaikh Mohammed (KSM) amekuwapo ndani ya Philippines kwa vipindi tofauti kati ya mwaka 1991-1995 akileteleza matukio ya Suicide attack , bombing , aircraft hijacking kwa vipindi tofauti zaidi ya matukio 7 bwana KSM ameyafanya ndani ya Philippines na Al-Qaeda walichagua Philippines kwa kujua mahusiano kati ya US na Phillippines ni makubwa sana kwa nchi za Asia kwa kipindi hicho

Ndani ya US fillipino ndio jamii namba tatu kwa ukubwa kwa jamii ya wahamiaji ndani ya USA huku idadi ya wahamiaji ndani ya US wakiwa 41.3 milion huku filipino wakiwa ni 3,416,840 na kuifanya ni jamii ya tatu kwa ukubwa ya wahamiaji hawa tayali wana uraia wa US hii ni kwa mujibu wa US department of homeland security

Us nazobase Air base 5 ndani ya Philippines na Phillippines kuwa nchi ambayo US amewekeza sana kijeshi ktk nchi za ASIA

1 Antonio Baustista Air base
2 Basa Air base
3 Fort mogsaysay Air base
4 Lumbia Air base
5 Mactano- Benito ebuen Air base

So Al-Qaeda walikuwa wanajua nini wanachokifanya na mashambulizi Bojinka plot yalikuwa phase 3

ktk kitabu hicho kinaelezea vizuri sana juu ya huyu jamaa nanukuu uk 106

""KSM will return with Yousef to the Philippines in 1994 to exploit the network they built and develop the Bojinka plot (see January 6, 1995)
Khalid Shaikh Mohammed (KSM) and his nephew Ramzi Yousef have high-level protection in Pakistan around 1993, at least. This is according to Rehman Malik, who is head of Pakistan’s Federal Investigation Agency (FIA) at the time. In July 1993, KSM and Yousef are unsuccessful in an attempt to assassinate Pakistani Prime Minister Benazir Bhutto (July 1993)

Huyu bwana KSM ameshiriki matukio ya kigaidi tena kama mastermind kama matukio 43 alikuwa analindwa r (with Government Protection ) na nchi tatu Bosnia , Qatar , Pakistan

Tukio la ndege binafsi analolizungumzia The bold ni kweli lakini si tukio la Bojinka plot na tukio hilo halikufanywa na Ramzi Yousef bali lilifanya na Moro Islamic Liberation Front (MILF) chini ya ukufunzi wa KSM lakini ilikuwa ni failed mission kwani walitegemea kuua watu zaidi ya 3000 lakini alikufa mtu mmoja tu .View attachment 473077Khalid Shaikh Mohammed
Mkuu umapenda sana longolongo, bora tu nikuwache
 
Mkuu the bold ukweli we unaweza najaribu kutafakari ni jinsi gani makala zako zilivyo na uchambuzi makini daa! sina mengi mkuu hongera... unikumbuke na mm kwenye ufalme wako wa tag.
 
thanx mkuu unajua watu wengine wanavyolala na kuamkia humu jamii forum wanafikri wote wako hivyo. kuna wa kwanza nimemjibu kistarabu nikiamini haitatokea tena akaja tena na huyu with the same thing nafikiri lilikuwa ni jibu sahihi kwake...!!!!
Bahati mbaya nimechelewa kupata notification yako Dah, nahisi ningepigwa ban ya maisha,.

Ila poa nadhani yamekwisha, Tuendelee kulijenga Taifa.
 
Dah sori kiongozi wangu ni ile mood disorder tu, nisamehe sana mkuu wangu sipo hivyo bwana, japo nawe kidogo ulitumia lugha kali sana...!!!!
 
Back
Top Bottom