BBC: Korea Kaskazini kupata tani 700,000 za mchele kwa kupeleka silaha na wanajeshi Urusi

Hizi ni fikra zako ambazo hazina ushahidi wowote wa kiakili wala ushahidi wa kiintelijensia wala ushahidi wa hali halisi za kwenye uwanja wa vita.

Kama unapinga uchambuzi wa watu ambao wapo kwenye system watu kama Douglas Macgregor na think tank kama Prof Jeffrey Sachs ambao ni watu wenye access ya kupata taarifa muhimu kuliko mimi na wewe nikusaidiaje?

Professor aliekaa kwa kiti na meza ambaye ni pro-russia anakuaminisha ww uliye huko ufipa na umejifungia hujui na hutaki kujua chochote kwenye uwanja wa vita.,
Hii ndiyo kawaida ya Mtanzania huwa anazungumzia kitu hata kama hakijui. Kwa ufupi umeandika ujinga, ni vizuri kujieleimisha zaidi. Ukiwajua watu huwezi kuwazungumzia hovyo hovyo! Angalia interview za Prof Jeffrey Sachs na kwenye mijadala tofauti tofauti. Jielimishe usije ukaonekana kituko mbele za watu.
Vita haipimwi kwa maneno matupu mdomoni ata kabla ya vita russia alijiita super power na kwamba atamaliza operation yake na ukrean kwa saa 72 tu.
Sijajua kama ni kawaida yako kujitoa ufahamu au una uwezo mdogo. Hii kauli umeitoa mara nyingi kwenye uzi wa Vita ya Ukraine na Russia, ulitoa madai haya na uliombwa utoe ushahidi mpaka sasa haujautoa. Na kama ninachokisema ni uongo basi weka ushahidi hapa!

Nukta yako ya mwisho siwezi kuijibu kwa sababu nitapoteza muda wangu.
 
Je una habari kwamba Ukraine wanalazimisha wanaume RAIA waliokimbia vita warudi wapigane LA sivyo pesheni zao zitafutwa Kwa sababu pale Ukraine wote wamekufa pesa za misaada za west Watu wanazikimbia
 
Korea kaskazini wana siasa za hovyo sana. Yaani wanatengeneza silaha lakini wanashindwa kuzalisha chakula? Ni aibu.
 
Mkuu miaka yote tunasikia NK kuna njaa,hivi hilo Taifa lisingekuwa limefutika duniani? Wangekuwa wanatengeneza silaha mpaka leo?
Kipi cha ajabu kwa Washirika wa Russia walioingia mikataba ya ulinzi kuungana na Russia katika vita vyake na Ukraine?
Ukraine inasaidiwa na US na NATO silaha,fedha,intelligensia! Vipi tofauti yake ni nini hapo?
Russia inasonga mbele kwenye Frontline zote pamoja na propaganda za west kwamba inashindwa! Wanajeshi wa Ukraine waliovamia Kursk wamezingirwa ni swala la muda tu.
Huoni hapo kuna balance ya Vita hapo?
US na NATO (Ukraine) vs NK,Iran,China (Russia)
 
sasa kama NK kuna neema ya chakula kwa nini wana exchange wanajeshi wake wakapigane upande wa russia na pengine woote wauliwe kwa tani laki 700, 000 za mchele?

Nashangaa sana kauli zenu ata huyo putin mwanzo mukiita operation sasa nyoote munaita vita., ule mpango wa operation umeishia wapi?

sasa kama Russia yasonga mbele mwaka 3 sasa kwa mafanikio hayo usemayo kwanini wamekodi wanajeshi kutoka North Korea na kuwavisha gwanda za kirusi na kupelekwa huko Kurks mpakani na Ukraine ambako mnadai washazingira? ukiambiwa jiambie
 
Je una habari kwamba Ukraine wanalazimisha wanaume RAIA waliokimbia vita warudi wapigane LA sivyo pesheni zao zitafutwa Kwa sababu pale Ukraine wote wamekufa pesa za misaada za west Watu wanazikimbia
Kwanza ukumbuke Ukraine sio walioanza vita wao walivamiwa hivyo walikuwa na wajibu wa ku-defend, umelala usiku ukavamiwa na majambaz hivyo unaamka na kutaka msaada ata kwa majirani,

Sasa ukraine haikujitangaza kwamba wao ni wafalme wa vita, kuna wajibu kila raia wa ukraine kupigania nchi yao, awe ni mwanajeshi au mwananchi wa kawaida aibu ipo kwa russia alieanzisha vita makusudi akijua atamaliza muda mfupi malengo yake atayafikia na kwamba yeye ni superpower lakini sasa mwaka wa 3 bado anakodi askari kutoka North Korea.
 
if thats a case. kwa maelezo haya bas nchi wanachama inawezekana wakaomba kupeleka mapot wao ili wakapate uzoefu. na ukiangalia ni kweli ukrain imekua sehem ya uwanja wa mazoez kwanza urban war hii vita ngum sana na hapa ndio masniper wanapochkuagq point.nq hiv vinapiganwa sana ukiskia kursk sijui inatekwa ujue jamaa wameingia nyumba kwa nyumba
 
Hizi ni fikra zako ambazo hazina ushahidi wowote wa kiakili wala ushahidi wa kiintelijensia wala ushahidi wa hali halisi za kwenye uwanja wa vita.
wewe ulisema hutaki hoja za kwenye uwanja wa vita bali uko busy kuwasikiliza Prof Jeffery Sachs na Douglas macgrgor, wew ulileta ushahidi gani askari elfu10 walioletwa kutoka North Korea kwenda urusi kujifunza vita tu na Ukraine, hii hoja ulikuja nayo wewe professor
Kama unapinga uchambuzi wa watu ambao wapo kwenye system watu kama Douglas Macgregor na think tank kama Prof Jeffrey Sachs ambao ni watu wenye access ya kupata taarifa muhimu kuliko mimi na wewe nikusaidiaje?
Wewe jifungie ndani kusikiliza uchambuzi wa hao maprofesa wako wenzako wako Kurks wanajaribu kukomboa ardhi ya russia ambayo imemegwa na jeshi la Ukraine.
Wewe si mtanzania et? unaandika ukiwa comoro.,
Umeshindwa kutueleza ile operation ambayo russia iliita "operation maalum" kule Ukraine imeishia wapi?, sasa ni mwaka wa 3, putin mwenyewe sasa hasemi tena kama ni operation anaita vita, ivi unafahamu wewe maana ya neno operation?? muulize prof wako nini maana ya operation, halafu uje hapa
 
China ilipeleka watu wake!

Baada ya muda wakaanza kufanyia mazoezi urban warfare kwenye jeshi lao, CTGN walionyesha mazoezi yao. Wadau wengine wakasema anajiandaa kuchukua uzoefu wa incase akiivamia Taiwan.

South Korea ukimfuatilia kwa sasa hivi anapiga sana kelele kuhusu North Korea kupeleka wanajeshi wake Russia kwa sababu mwenzake anapata a live battle experience. Ikitokea wakitwangana mwenzake ana faida zaidi kuliko yeye na ukizingatia vita ya sasa hivi ni ya kisasa zaidi!
 
Hii ishu ya njaa North Korea iko exaggerate,
Mleta mada, huwezi kutegemea adui wa mtu alete taarifa nzuri za adui yake.
North korea hakuna njaa, na west wanaweka propaganda kwa sababu hawataki kuongezeka kwa formiable enemy.
Kama kungekuwa na njaa, inamaana North Korea kusingekuwa na-:
1.kusingekuwa na watu competent
2. Level ya maendelea yao ingekuwa kam Eritrea au Sudan kwenye njaa ya ukweli
kungekuwa na vifo vingi na demographic yao ingekuwa inashuka siku hadi siku
Pamoja na taarifa tunazopewa na media, ila pia tujaribu kufikiria nje ya box
 
Urusi hana jeshi ila Ukraine analo na hizo habari umezipata kutoka wapi unategemea kabisa kwamba balozi wa Korea kusini ainenee mema Ukraine kweli kama wanajeshi hata wa NATO wapo pia pale Ukraine kwa mgongo wa mercenaries
 
Naona umeamua sasa kuonesha sura yako halisi hemu leta sehemu Russia alisema kwamba op itakua ni ya siku tatu pia kama kuchukua mercenaries ndio kushindwa vita hata Iraq kule walikuwepo mercenaries pia israhell nae ana mercenaries kushinda vita tunaangalia mwenendo wa field na huko field anajulikana nani anateseka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…