Hammaz
JF-Expert Member
- May 16, 2018
- 6,352
- 13,367
Hizi ni fikra zako ambazo hazina ushahidi wowote wa kiakili wala ushahidi wa kiintelijensia wala ushahidi wa hali halisi za kwenye uwanja wa vita.Kwenye mdahalo Urusi ishashinda vita lakini kwenye uwanja wa vita Russia inakodi askari kutoka North Korea wakivalia uniform za russia na zaid ya elfu10 wametumwa urusi kwenye maeneo ya mpakani na Russia kuikomboa Kurks, haya yote tunaita wamekuja kupata mafunzo eti?
Kama unapinga uchambuzi wa watu ambao wapo kwenye system watu kama Douglas Macgregor na think tank kama Prof Jeffrey Sachs ambao ni watu wenye access ya kupata taarifa muhimu kuliko mimi na wewe nikusaidiaje?
Hii ndiyo kawaida ya Mtanzania huwa anazungumzia kitu hata kama hakijui. Kwa ufupi umeandika ujinga, ni vizuri kujieleimisha zaidi. Ukiwajua watu huwezi kuwazungumzia hovyo hovyo! Angalia interview za Prof Jeffrey Sachs na kwenye mijadala tofauti tofauti. Jielimishe usije ukaonekana kituko mbele za watu.Professor aliekaa kwa kiti na meza ambaye ni pro-russia anakuaminisha ww uliye huko ufipa na umejifungia hujui na hutaki kujua chochote kwenye uwanja wa vita.,
Sijajua kama ni kawaida yako kujitoa ufahamu au una uwezo mdogo. Hii kauli umeitoa mara nyingi kwenye uzi wa Vita ya Ukraine na Russia, ulitoa madai haya na uliombwa utoe ushahidi mpaka sasa haujautoa. Na kama ninachokisema ni uongo basi weka ushahidi hapa!Vita haipimwi kwa maneno matupu mdomoni ata kabla ya vita russia alijiita super power na kwamba atamaliza operation yake na ukrean kwa saa 72 tu.
Nukta yako ya mwisho siwezi kuijibu kwa sababu nitapoteza muda wangu.