habari ya hapa
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 12,791
- 8,743
Kumbe CCM hawakukosea kumtosa 2010,
Usikanushe bila kusema ukweli unaoujuaMleta mada acha kupotosha Nimemsikiliza vizuri Bashe hayo uliyoyaleta hapa ni uongo dhahiri na sijui malengo yako ni yapi....dhambi ya uongo ni mbaya sana
Jibu unalo mimi sichagui watu wanaoungwa mkono na nyumbu kama weweWewe umemchagua nani mnafiki mkubwa wewe!?
Wanataka wamulikwe na ving'amuzi utadhani majimboni mwao wanamulikwa na hivyo ''ving'amuzi'' kwa mara ya kwanza ndio nasikia mbunge anashindwa kushiriki kwenye mijadala kisa hamulikwi na ''king'amuzi'' sijui kuchangia hoja na king'amuzi vina uhusiano ganiYES, Hoja hii naiunga mkono - haiwezekani watu wachache waende dodoma kususia vikao (ni aibu) huu si upiganaji bali ni kushindwa na kukoswa hoja za msingi
Kutafuta cheap populality
Kule Lumumba wanadanganywa sana. Wanaambiwa kinyume chake. Tatizo lao kubwa hawasomi katiba wala kanuni za bunge, ili kuthibitisha wanayohubiriwa na wapotoshaji wazoefu. Ni kazi lakini ili kuikomboa democracy Tz, hakuna kuchoka.Kususia vikao vya bunge ni sehemu ya kufanya kaxi za kibunge. Mfano km wabunge wakisusia wakishinikiza bajeti ilenge zaidi maskini. Au kodi xinazowakandamiza maskini Au hoja binafsi kuhusu ufisafi fulani kuminywa hapo bado wanafanya kazi za kibunge na huwezi kuwanyima posho. Kufanya hivyo ni sawa na kuwalzimisha wakubaliane na kila linaloletwa na serikali!
Ukijipa muda, ukajisomea katiba na kanuni za bunge, itakusaidia sana kuelewa. Na utawasaidia na wenzio waliopotoshwa kama wewe.KWA HIYO WALIPWE BILA KUFANYA KAZI? WALE KODI ZETU BILA KUWAJIBIKA? WATAKUWA NA TOFAUTI GANI NA MAKUPE? WABUNGE WA UPINZANI WANAGEUKA KUWA WANYONYAJI
Usiulize kasome katiba, kanuni itakusaidia usipotoshwe tena. Utaacha kushabikia mambo ya kulishwa hapo lumumba, na pia utaweza kuwasaidia wengine huko lumumba.Siasa ina mambo yake....lakini nikuulize bro...kwani bungeni wameenda kufanya nini? Wanalipwa kwa activities gani? Tunaskia tu kususia hoja,mada...mijadala....mbona hatuwaskii wakikataa kulipwa hizo siku ambazo hawakueatumikia wananchi? Kiukweli hata kama ni wewe uko na genge lako la nyanya na muuzaji analeta mbwembwe....utafanyaje? Tuache ushabiki...ifike mahali tuseme ukweli...hata kama utatuumiza....Kususia kwenye siasa za Tanzania hakufanikishi jambo.
Sasa wamemuokota tena.Kumbe CCM hawakukosea kumtosa 2010,
Usiulize kasome katiba, kanuni itakusaidia usipotoshwe tena. Utaacha kushabikia mambo ya kulishwa hapo lumumba, na pia utaweza kuwasaidia wengine huko lumumba.
Piga kimya basi!? Waachie waliowachagua walalamike unless wawe wamekutuma ulalamike kwa niaba yao.Jibu unalo mimi sichagui watu wanaoungwa mkono na nyumbu kama wewe
Ukijipa muda, ukajisomea katiba na kanuni za bunge, itakusaidia sana kuelewa. Na utawasaidia na wenzio waliopotoshwa kama wewe.
Pole sana, ndio maana umejisalimisha. Unyonge huo siuhitaji.Hahahaah.......Haya boss.......siku moja utaelewa....we nenda kawaze faida unayoipata mbunge wako anaposusia kikao....ukigundua hata moja then uje tuongee.....ufuasi tumbo ni mbaya sana......na ninasisitiza.....Kususia kwenye siasa za Tanzania hakufanikishi jambo.....
Soma magazeti ya leo. AG ametoa taarifa kuwa Rais amejibu hoja ya Mbowe. Ametoa instruments kwenye gazeti la serikali namba 143, tarehe 22/4/2016. Sasa hayo maswali yako peleka lumumba mlikodanganyana. Ungekuwa unajisomea usingehitaji tuition na ungewapunguzia lumumba wenzio, kutoa povuMBOWE KATUMIA KANUNI IPI? NI KANUNI IPI NA NI IBARA IPI YA KATIBA IMEVUNJWA. HAYA NI MATATIZO YA KUONGOZWA NA FORM SIX.
NAhisi umeunga mkono msimamo wangu na wa Bashe!?Wanaosusia vikao wanaingia kusaini na kutafuta sababu watoke mwisho wa kikao wanafata posho zao