Bashe aanza kuwa kituko

Mkuu wewe unaangalia wapi hilo Bunge? ''Si unajua tumenyimwa haki ya uhuru wa kupata habari.''
 
Bashe yuko sahihi kabisa japo ni kijana wa fisadi lowassa lakini kwa hili namuunga mkono.Sasa wabunge wa UKAWA mnataka kuchukuwa fedha ambayo hamjaifanyia kazi..vikao msihuzulie na posho mchukue huo ni wizi,kuchukua fedha ambayoa hujaifanyia kazi ni ufisadi..Nakumbuka hata kwenye bunge la katiba walisusa halafu baadaye wakarudi kuchukua posho hahaha.Duh UKAWA lageuka genge la kutetea mafisadi rasmi.
 
Dah sasa kama unagoma halafu unataka posho!...mbowe ni janga,asiyefanya kazi na asile.
hahahaha Mkuu UKAWA wamegeuka kuwa Ze comedy,wanasusia vikao huku posho wakichukuwa ..by the way Bashe ni mbunge wa cdm kupitia CCM..aka kijana wa fisadi lowassa.
 
Huwezi kutegemea chochote.kwa hawa Wabongo'aji...
Kila ukibongo'a na kusifia unapewa cheo..
Ndomana imeamua kujifungia Gizani/bungeni
 
Kama wanasusa basi wasuse na posho ,wasiishie kususa mijadala tu,hatukuwachagua kwenda kufuata matakwa binfsi ya Mbowe na timu yake,wakumbuke hawakuchaguliwa na Mbowe huko majimboni
 
Namuunga mkono Bashe kwenye hili, pamoja na kwamba sijamsikia lakini kupitia maandishi yako nadhani Bashe ana point. Kuna wabunge wameenda bungeni kwa ajili ya posho tu na wapo ambao wameingia ili kuishauri na kuisimamia serikali na Kwangu Mimi hawa ndio wanao stahili hizo PODHO kwasababu wanaitendea haki kazi na wajibu wao. Imeandikwa asiefanya kazi na asile.

..bashe amewalenga cdm ambao wamegoma/"wamesusa". Lakini wamefikia uamuzi baada ya kuchangia na hoja zao kupuuzwa-- pamoja na kwamba zilikuwa na uzito.

..sasa wapo wabunge, wengi wao kutoka ccm, ambao huwa hawachangii kabisa. Hawajasusa, lakini hawana mchango wowote ule bungeni.

..Mh.Bashe hajaeleza wabunge wa ccm niliowaelezea hapo juu wachukuliwe hatua gani. Je hao wanastahili kulipwa posho?
 
Namuunga mkono Bashe kwenye hili, pamoja na kwamba sijamsikia lakini kupitia maandishi yako nadhani Bashe ana point. Kuna wabunge wameenda bungeni kwa ajili ya posho tu na wapo ambao wameingia ili kuishauri na kuisimamia serikali na Kwangu Mimi hawa ndio wanao stahili hizo PODHO kwasababu wanaitendea haki kazi na wajibu wao. Imeandikwa asiefanya kazi na asile.
Umgemuona kama unavyotamani, usingechangia kwa kutegemea mawazo ya mtu mwingine
 
Kwani kuchangia hoja ndio unalipwa? Mbona wabunge walio wengi wa CCM has a viti maalumu Na wale wa Zanzibar wao ni kusinzia tu hakuna hata Siku moja wakachangia lakini wanalipwa posho? Kuchangia sio lazima
Ndio maana wanaogopa mwanga.
 
Mleta mada acha kupotosha Nimemsikiliza vizuri Bashe hayo uliyoyaleta hapa ni uongo dhahiri na sijui malengo yako ni yapi....dhambi ya uongo ni mbaya sana
Twambie basi hayo uliyoyasikia wewe ambayo ni ya ukweli
 
Kama una " QUOTE" HABARI ama kilichosemwa kwenye hadhara, ni vizuri ukaweka hiyo habari kikamilifu kama ilvyosemwa na sio tafsiri ya mleta mada, hi itatusaidi kuchangia vizuri.

Mode nadhani itakuwa rahisi sana kwenu just verify publicly release information kama hii ya Bashe, na kama mkiona mleta mada amefanya kosa ama ana mis inform Jukwaa , ningeshauri uzi wake uondolewe na apewa warning.

JF SIO JUKWAA LA KUCHAFUANA
 
Kila mbunge huchaguliwa na wananchi wa jimbo lake wakiwemo wa chama chake, wa vyama vingine na wasiokuwa na chama cho chote ili akawawakilishe bungeni. Sasa anaposusa bunge kwa sababu ya amri ya mwenyekiti wa chama chake unadhani uchaguzi ujao atapita kweli? Si mtabaki tu kusingizia kuwa kura zenu zimeibiwa wakati mnayakoroga wenyewe.
 
Kususia vikao vya bunge ni sehemu ya kufanya kaxi za kibunge. Mfano km wabunge wakisusia wakishinikiza bajeti ilenge zaidi maskini. Au kodi xinazowakandamiza maskini Au hoja binafsi kuhusu ufisafi fulani kuminywa hapo bado wanafanya kazi za kibunge na huwezi kuwanyima posho. Kufanya hivyo ni sawa na kuwalzimisha wakubaliane na kila linaloletwa na serikali!
 
Kususa ni sehemu ya kufikisha ujumbe kwa watawala juu ya jambo usilokubaliana nalo...jamii imeshajua tatizo ni nini kimepelekea wapinzani wametoka bungeni...wachache mnao jitoa ufahamu ndo mnaona bunge kutokuwa live ni sawa tu
 
Namuunga mkono Bashe kwenye hili, pamoja na kwamba sijamsikia lakini kupitia maandishi yako nadhani Bashe ana point. Kuna wabunge wameenda bungeni kwa ajili ya posho tu na wapo ambao wameingia ili kuishauri na kuisimamia serikali na Kwangu Mimi hawa ndio wanao stahili hizo PODHO kwasababu wanaitendea haki kazi na wajibu wao. Imeandikwa asiefanya kazi na asile.

Wanaosusia vikao wanaingia kusaini na kutafuta sababu watoke mwisho wa kikao wanafata posho zao
 
Njia nzuri ya kususia ni kuto onekana sehem ya bunge kabsaa, siyo una sain pesa ndo una susa
 
Back
Top Bottom