Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 93,260
- 113,113
CCM hawana akili hiyo wao waambie kuiba mali za umma, kuteka watu na ujinga mwingineItabidi waanzishe jukwaa la mapambio 😃
CCM hawana akili hiyo wao waambie kuiba mali za umma, kuteka watu na ujinga mwingineItabidi waanzishe jukwaa la mapambio 😃
Yaani wewe mjinga snUkijifukiza mimoshi yako kichwani akili zote zinakuruka.
So wakijaza Chadema hawakusanyi watu kwa malori ila kwa CCM ndio wanakusanya watu kwa malori au sioHizo hadaa zenu za kukusanya watu kwa malori ni sawa na kupiga punyeto tu, mnajidanganya wenyewe ndiyo maana kule Itilima kauziwa mbuzi kwenye sandarusi.
hahahahah sasa kama lina akili mbona huku linaleta uharo?Nilijinga sn, huwa nikienda ofisi za UWT naongea nalo vizuri nikitoka tu linaanza ujinga wake.
Ni maagizo ya Katibu, ukilikuta pale ofisini nilikarimu sn sijui huku JF akili huwa zinaenda wapi? mwenyewe sina jibuhahahahah sasa kama lina akili mbona huku linaleta uharo?
Jibu zuri sana...kuna kitu kinaitwa hiyari watu wanashindwa kufaham. Mwenye hiyari ni rahisi kumuwezesha na akakubali kufanya kile atakacho.Embu Nenda tuone ukawakusanye watu kwenye hayo malori kama unaweza fanikisha kupata maelfu kwa maelfu ya watu wanaohudhuria mikutano ya CCM.
tutakupeleka tu nafasi zipo, hapa tunakupa huduma ya kwanza.Kwanini msingewahi nafasi Mirembe.
Umeyapa jiwe zito sana haya ma CHADEMAJibu zuri sana...kuna kitu kinaitwa hiyari watu wanashindwa kufaham. Mwenye hiyari ni rahisi kumuwezesha na akakubali kufanya kile atakacho.
Kwenye hiyari kuna mapenzi na utayari wa kutenda. Hata upeleke ndege pasipo na hiyari watu hawatokwenda. Ndio maana wazee wa zamani walisema, "hiyari yashinda utumwa"...
Bebaneni Ninyi mliowagonjwatutakupeleka tu nafasi zipo, hapa tunakupa huduma ya kwanza.
ukute hizi nyuzi huwa anaandikiwa na mkewe, maana hii mipasho ni ya kisimbe kabisa.Ni maagizo ya Katibu, ukilikuta pale ofisini nilikarimu sn sijui huku JF akili huwa zinaenda wapi? mwenyewe sina jibu
ugonjwa wako ni mkubwa zaidi, unahtaj huduma haraka sana.Bebaneni Ninyi mliowagonjwa
Yeye mwenyewe ni mdadaukute hizi nyuzi huwa anaandikiwa na mkewe, maana hii mipasho ni ya kisimbe kabisa.
hapa kuna vimelea vya uchawa, kaa mbali na Mwashambwa asije akakufundisha.Jibu zuri sana...kuna kitu kinaitwa hiyari watu wanashindwa kufaham. Mwenye hiyari ni rahisi kumuwezesha na akakubali kufanya kile atakacho.
Kwenye hiyari kuna mapenzi na utayari wa kutenda. Hata upeleke ndege pasipo na hiyari watu hawatokwenda. Ndio maana wazee wa zamani walisema, "hiyari yashinda utumwa"...
Ana rasilimali? Au ni hopelessYeye mwenyewe ni mdada
Acha ujinga wako hapa ewe usiyejitambuaYeye mwenyewe ni mdada
Tofautisha uchawa na ukwelimbona unafanya uchawa sasa
CCM ndio agenda ya Taifa hivi sasa kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa November 27 2024, na ule uchaguzi mkuu ujao 2025..Ndugu zangu Watanzania,
Huwezi kuzuia Upendo wa watu kwa CCM,huwezi kuzuia mahaba waliyonayo watanzania kwa CCM,huwezi kuficha hisia za upendo walizonazo watanzania kwa CCM.hiki chama kinapendwa kuliko asali.hiki chama kinakubalika kuliko pesa ya mmarekani, hiki chama kimebeba matumaini ya watanzania.
CCM inapendwa utafikiri watanzania wote wamenyonya na kunywa maji ya bendera ya CCM.ni furaha ,shangwe, tabasamu, nderemo, vifijo,hoihoi , chereko chereko kila viongozi wake watuapo mahali fulani.
Sasa leo ilikuwa ni zamu ya mkoa wa Shinyanga ambapo bingwa na nguli wa Diplomasia na jasusi Mbobevu aliongoza wajumbe wa Secretarieti kukanyaga ardhi ya Mkoa wa shinyanga.ambapo yeye na wajumbe hao akiwepo Mwenezi Taifa Mheshimiwa CPA Amos Gabriel Makalla bingwa wa mahesabu na uhasibu na wenye kufanya siasa za kisayansi walipata mapokezi ya kifalme na mazito sana kuwahi kushuhudiwa mkoani hapo.
Ambapo watu walifurika na kumiminika kwa wingi Utafikiri kama mchanga wa bahari,ambapo hata sisiminzi asingeweza kupata nafasi ya kupenya na kupita.
Hii maana yake nini ndugu zanguni? Hii maana yake ni kuwa watu na watanzania wote wana imani na matumaini Makubwa sana na chama cha Mapinduzi. Wana matarajio makubwa kutoka CCM na wanaamini ndio chama pekee chenye uwezo wa kuwaongoza na kuwakwamua kiuchumi pamoja na kuwaletea maendeleo.ndio maana wana furika kwa wingi kusikiliza nini kimebebwa na viongozi wao kutoka makao makuu ya chama.View attachment 3119885View attachment 3119887
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Upumbavu huo uko CCM tuSo wakijaza Chadema hawakusanyi watu kwa malori ila kwa CCM ndio wanakusanya watu kwa malori au sio