Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 93,260
- 113,113
Fanya kazi acha upuuziHujitambui kabisa dogo
Fanya kazi acha upuuziHujitambui kabisa dogo
Ipo siku Katibu Mkuu wao ataingia choo napo ataleta uzi humu kusifia kuwa Katibu Mkuu ameingia chooniFanya kazi acha upuuzi
Nafanya uhabarishaji na siyo uchawa.mbona unafanya uchawa sasa
Yaani wewe MUNGU akusaidie snUtakufa wewe na ujinga wako
Naona moyo unakuuma sana unapoona mafuriko ya watuWananchi gani tena!?? Mbona yebo yebo ndo wamejaa hapo!?? 😃 mapambio kama kawa
Hawa wajinga hawashindwiIpo siku Katibu Mkuu wao ataingia choo napo ataleta uzi humu kusifia kuwa Katibu Mkuu ameingia chooni
Akusaidie wewe kupata akili TimamuYaani wewe MUNGU akusaidie sn
Moderators wana kazi sana kupitisha uzi za namna hii!Hawa wajinga hawashindwi
Nitajihita sn kukusaidia lakini imeshindikanaAkusaidie wewe kupata akili Timamu
tutaenda naye sako kwa bako mpaka tuhakikishe tumemkamua uchawa wote awe raia safi.Ni jitu la hovyo haswa
Yanakuja kujaza server ya watu ujinga tupuModerators wana kazi sana kupitisha uzi za namna hii!
Tupo naye barabara 😃tutaenda naye sako kwa bako mpaka tuhakikishe tumemkamua uchawa wote awe raia safi.
Itabidi waanzishe jukwaa la mapambio 😃Yanakuja kujaza server ya watu ujinga tupu
Nilijinga sn, huwa nikienda ofisi za UWT naongea nalo vizuri nikitoka tu linaanza ujinga wake.tutaenda naye sako kwa bako mpaka tuhakikishe tumemkamua uchawa wote awe raia safi.
Mwashambwa, usiupake uchawa mafuta kwa kuuita uhabarishaji. Huu ni uchawa na ww unayefanya haya ni chawa. Acha uchawa haraka sana.Nafanya uhabarishaji na siyo uchawa.
Kwanini msingewahi nafasi Mirembe.tutaenda naye sako kwa bako mpaka tuhakikishe tumemkamua uchawa wote awe raia safi.
Ukijifukiza mimoshi yako kichwani akili zote zinakuruka.Nilijinga sn, huwa nikienda ofisi za UWT naongea nalo vizuri nikitoka tu linaanza ujinga wake.
Tupo naye barabara