Utaula wa chuya
JF-Expert Member
- Sep 19, 2022
- 477
- 1,311
Hawa wavaa sendo kweli hamnazo, wanaona mtaji ulio wekezwa hapo ni kama wa wale ndugu zao wauza alkasusu?
Unaijua cassino ndugu yangu? Umewahi kuingia kwenye cassino ukajionea yanayofanyika?TUNAANZA KUHESABU MASHOGA KWA KUPITIA COMMENT- KILA ALIYEPINGA KASINO KUFUNGIWA NI ANASAPOTI UPINDE WA MVUA
NA TUNAFUNGUA UZI WA KUWATAMBULISHA HAO MASHOGA KWA KUWAHOROTHESHA MAJINA; WOTE MLIOPINGA KASINO KUFUNGIWA NI SO KAMA UNAJIJUA UTAKUWEPO KWENYE UZI HUO TENA KWA KUANDIKWA JINA LAKO LOTE
NCHI YETU HAINA UTAMADUNI WA UPINDE WA MVUA NA TUNAPINGA VIKALI USHOGA
Ni kupoteza welekeo kama chimbo cha dini.Baraza kuu la Waislam Tanzania, limetaka mfanyabiashara wa Casino Gaming kufunga mara moja kwani wanaleta Uaumbufu kwa makazi ya Viongozi. Casino ipo Palm Village Mikocheni.
Tatizo ni kwamba Casino ipo eneo lenye Wananchi wengi na hasa Viongozi Wastaafu kuanzia Familia ya BABA WA TAIFA NA RAIS WA AWAMU YA PILI
....kuwawekea Biashara ya Kamali kwenye Milango ya makazi yao ni ukosefu wa Nidhamu na Maadili. BAKWATA iliwafahamisha mapema kabla ya kujengwa na kufunguliwa kwa Biashara hiyo ya Kamali maana pia eneo hilo linakaliwa pia na Viongozi wengi wa Dini Wastaafu.
Inashangaza kwamba Mkurugenzi muhusika wa utoaji wa Vibali vya Kamali akaamua kuziba Masikio na kuruhusu Biashara hiyo inayokera sana kutokana na Wingi wa Watu kuingia na kutoka ndani ya jengo hilo Usiku kucha na kuwasumbua majirani na hasa Viongozi Wastaafu.
Ni muhimu sana Serikali ikaingilia sasa suala hili na kulitafutia ufumbuzi maana Biashara ya Kamali haifai kuwa kwenye maeneo ya makazi ya Wananchi.
View attachment 2504192View attachment 2504193
wewe umri wako mbona bado mdogo kusoma unajua lakini kilicho andikwa ukijui hapo bakwata awakuongelea dini bali wame wasemea wasotafu sasa wewe unakuja na habari za vipaza sauti mala wahamie zanzibar au chuki inakusumbua? kwa sababu ukitaka kuona chuki ya watu waka hoja inayohusu waisilamu hata kama niaya msigi baadhi yenu wakirisito chuki mnayo bwana he he heShida nyie elimu dunia inawasumbua sana ndiyo maana China haiwataki kuwasikia. Mkifika China mkiwa wengi mnaanza kuleta vurugu kwa watu wanaokula nyoka na kuabudu dragon na misanamu.
Hii nchi siyo ya dini kwahiyo kila mtu akae kwa kutulia. Ukipita sehemu wanakula nguruwe inabidi ukae kimya na uendelee na mambo yako na siyo kuleta vurugu.
Mbona mnapiga kelele kila siku na vipaza sauti zenu tena watu wakiwa wamelala?
Itakubidi uahamie Macca, Zanzibar au nchi za kidini
Mashekh wanapata kero gani ndugu yangu? Cassino ni sehemu iliyotulia unaweza kupita na usijue kama kuna cassino,hao bakwata itakuwa wana bifu na hiyo cassinonchi hii lini watu mtabadilika na kuelimika hao masheikh wametoa kelo yao mawazo yao nyiyi kwa ushenzi wenu mnaaza kuwashutumu mala vipaza sauti kwenini msiheshimu mtazamo yao?
wewe kama unakeleka na vipaza sauti nenda mahakamani au kwenye viombo via habari ukaoe kelo yako mtazamo wako kuhusu vipaza sauti mtazomo wako mawazo yako tutayaheshimu kuheshimu mawazo mtazamo wa mtu huo ndio utu vinginevio ni ushezi
kama wameenda serikali za mtaa bila kusikizwa wafanyeje?mfano huko serikali za mitaa kama wewe ndie mwenyekiti kwa hiyo roho yako ilivio mbona ugewapuuza tu kisa masheikhHivi hawajaona matangazo ya kamari waziwazi mpaka katika redio na televishen ya taifa mpaka wakakemee kitu ambacho hakibugudhi umma zaidi ys watu wachache wa eneo hilo,waache kudeal na vitu vidogovidogo vya kushughulikiwa na serikali za mitaa!
Kwanini wastaafu wasizungumze wenyewe mpaka wasemewe na Bakwata?wewe umri wako mbona bado mdogo kusoma unajua lakini kilicho andikwa ukijui hapo bakwata awakuongelea dini bali wame wasemea wasotafu sasa wewe unakuja na habari za vipaza sauti mala wahamie zanzibar au chuki inakusumbua? kwa sababu ukitaka kuona chuki ya watu waka hoja inayohusu waisilamu hata kama niaya msigi baadhi yenu wakirisito chuki mnayo bwana he he he
Nchi za kiislamu hizo..so zinafuata sheria za kiislamu.kwani oman kuna nn?
Baraza kuu la Waislam Tanzania, limetaka mfanyabiashara wa Casino Gaming kufunga mara moja kwani wanaleta Uaumbufu kwa makazi ya Viongozi. Casino ipo Palm Village Mikocheni.
Tatizo ni kwamba Casino ipo eneo lenye Wananchi wengi na hasa Viongozi Wastaafu kuanzia Familia ya BABA WA TAIFA NA RAIS WA AWAMU YA PILI
....kuwawekea Biashara ya Kamali kwenye Milango ya makazi yao ni ukosefu wa Nidhamu na Maadili. BAKWATA iliwafahamisha mapema kabla ya kujengwa na kufunguliwa kwa Biashara hiyo ya Kamali maana pia eneo hilo linakaliwa pia na Viongozi wengi wa Dini Wastaafu.
Inashangaza kwamba Mkurugenzi muhusika wa utoaji wa Vibali vya Kamali akaamua kuziba Masikio na kuruhusu Biashara hiyo inayokera sana kutokana na Wingi wa Watu kuingia na kutoka ndani ya jengo hilo Usiku kucha na kuwasumbua majirani na hasa Viongozi Wastaafu.
Ni muhimu sana Serikali ikaingilia sasa suala hili na kulitafutia ufumbuzi maana Biashara ya Kamali haifai kuwa kwenye maeneo ya makazi ya Wananchi.
View attachment 2504192View attachment 2504193
Nina hofu kuwa huko ndiko wanakoelekeaWanaanza hawa Mujaahadeen, sasa hivi watataka pia nyumba ya Nyerere igeuzwe kuwa msikiti kwa sababu ni kubwa mno!
banghe za kuvutia chooniNina hofu kuwa huko ndiko wanakoelekea
Je, viongozi wenyewe ama familia zao wamelalamika au ni kule kujikosha tu, wanataka wahame wao ili waweke msikiti na kuwapigia viongozi hao hao na familia zao kelele usiku wa manane kwa kuwaamsha na kuwaambia "sala ni muhimu zaidi kuliko usingizi wao?"
AISEE HATA MIMI WAMENIACHA NA BUTWAAA KABISA HAWA BAKWATA.Usumbufu gani!? Aliyewahi kusikia casino lolote hapa Tanzania linaleta usumbufu kwa watu wanaozunguka eneo hilo atuambie hapa..usumbufu uwe either mziki mkubwa au fujo za walevi...
We mkazi wa Mbagala kwa nyoka mmeshaozoea kelele na ukahaba kwenye makazi yenuHuu sasa ni upuuzi,hao bakwata wana tumia sheria gani kutoa tamko? Hizi dini zifanye kazi ya ibada huko kwingine ni kuanza kuleta chokochoko.
kama angesema baba asikofu usigelaumuWe mkazi wa Mbagala kwa nyoka mmeshaozoea kelele na ukahaba kwenye makazi yenu