BAKWATA yataka CASINO ya Palm Village ifungwe, inaleta Usumbufu kwa Viongozi Wastaafu

This makes sense kiusalama ingawa sidhani kama BAKWATA waliwaza hivi. Hapo foreign agents watakuwa active
Foreign agents? Sisi watanzania ambao karibu kila kitu tunategemea kutoka nje, kweli kabisa watu wa huko wakitaka kuleta agents kwa mambo yao wanayojua yao ni mpaka wasubiri casino mpya ifunguliwe? Ni mpumbavu tu anayeweza kuwaza hivyo
 
Mpumbavu haswa ndo atafikiria hivyo mkuu
 
KWENYE UZI HUU NDIO UTAWEZA UKAHESABU MASHOGA KUPITIA COMMENT MASHOGA KIBAO HUMU KAMA UNABISHA HESABU COMMENT ZA WANAOPINGA HILO CASINO KUFUNGWA

MASHOGA NYOMI YAANI
TANZANIA KWA WINGI HUU WA MASHOGA USHOGA HAUWEZI KUISHA- HAYA WANAUME KAMA MABINTI ENDELEENI NA JITIHADA ZENU ZA KUENDELEZA USHOGA
Haha... tatizo mkisikia mtu hakubaliani na dini yenu hio ya shari mnamuita shoga. Sasa hapo kuna sababu ya msingi ya kufunga casino? Casino kwanza hazina fujo, zinakua na ukimya. Misikiti yenu sasa... kelele kibao na hizo vipaza sauti. Mbona watu hawaombi ifungiwe, japo inakuaga kero

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wachungaji hawana muda wa kukemea dhambi wao mahubili yao ni kufanikiwa tu katika maisha hya, so hawawezi kulalamika.
Wachungaji wa makanisa yaliyoanzishwa kwenye makazi ya watu hasa kule Mbezi Beach hawawezi kulalamika kwani wao pia wanavunja sheria!!
Surprisingly, hata Kiwanja cha familia ya hayati Mwalimu Nyerere kilichopo Mbezi Beach katikati ya makazi ya watu pamejengwa kanisa!😂😂
 
Huu sasa ni upuuzi,hao bakwata wana tumia sheria gani kutoa tamko? Hizi dini zifanye kazi ya ibada huko kwingine ni kuanza kuleta chokochoko.
hata kukemea upuuzi wa kuweka majumba ya kamari na starehe kila mahali na yanapiga makelele ni ibada pia. Lazima kuwa order katika kupangilia mji.
 
Hivi hawajaona matangazo ya kamari waziwazi mpaka katika redio na televishen ya taifa mpaka wakakemee kitu ambacho hakibugudhi umma zaidi ys watu wachache wa eneo hilo,waache kudeal na vitu vidogovidogo vya kushughulikiwa na serikali za mitaa!
 
Wanaosapoti hilo CASINO lisifungwe wote mnasapoti USHOGA yaani mnasapoti UPINDE WA MVUA bila wenyewe kujijua; alaf mkiona watoto wa kiume wamekuwa wabovu mnalalamika hamtakiwi kulalamika basi kwani humo panakuwa makazi ya USHOGA, wafurahieni MASHOGA sio kutwa kuanzisha nyuzi za MASHOGA wakati mnawasapoti, MASHOGA NYIE
Shida nyie elimu dunia inawasumbua sana ndiyo maana China haiwataki kuwasikia. Mkifika China mkiwa wengi mnaanza kuleta vurugu kwa watu wanaokula nyoka na kuabudu dragon na misanamu.
Hii nchi siyo ya dini kwahiyo kila mtu akae kwa kutulia. Ukipita sehemu wanakula nguruwe inabidi ukae kimya na uendelee na mambo yako na siyo kuleta vurugu.
Mbona mnapiga kelele kila siku na vipaza sauti zenu tena watu wakiwa wamelala?
Itakubidi uahamie Macca, Zanzibar au nchi za kidini
 
Foreign agents? Sisi watanzania ambao karibu kila kitu tunategemea kutoka nje, kweli kabisa watu wa huko wakitaka kuleta agents kwa mambo yao wanayojua yao ni mpaka wasubiri casino mpya ifunguliwe? Ni mpumbavu tu anayeweza kuwaza hivyo
Mkuu kwani haya mambo yanayofanyika kitambaa cheupe,sjui k kidmbwi wavuvi camp ,huko matabata
Si kuna ushoga na mashoga kote wamejZana huko tena wako hadharani

Ova
 
Baraza kuu la Waislam Tanzania, limetaka mfanyabiashara wa Casino Gaming kufunga mara moja kwani wanaleta Uaumbufu kwa makazi ya Viongozi. Casino ipo Palm Village Mikocheni.

Tatizo ni kwamba Casino ipo eneo lenye Wananchi wengi na hasa Viongozi Wastaafu kuanzia Familia ya BABA WA TAIFA NA RAIS WA AWAMU YA PILI

....kuwawekea Biashara ya Kamali kwenye Milango ya makazi yao ni ukosefu wa Nidhamu na Maadili. BAKWATA iliwafahamisha mapema kabla ya kujengwa na kufunguliwa kwa Biashara hiyo ya Kamali maana pia eneo hilo linakaliwa pia na Viongozi wengi wa Dini Wastaafu.

Inashangaza kwamba Mkurugenzi muhusika wa utoaji wa Vibali vya Kamali akaamua kuziba Masikio na kuruhusu Biashara hiyo inayokera sana kutokana na Wingi wa Watu kuingia na kutoka ndani ya jengo hilo Usiku kucha na kuwasumbua majirani na hasa Viongozi Wastaafu.

Ni muhimu sana Serikali ikaingilia sasa suala hili na kulitafutia ufumbuzi maana Biashara ya Kamali haifai kuwa kwenye maeneo ya makazi ya Wananchi.
View attachment 2504192View attachment 2504193
Hii barua mbona ya zamani (12 May 2022)? Sasa hivi wanataka kuongeza casino ya pili hapo Palm Village.
 
Haha... tatizo mkisikia mtu hakubaliani na dini yenu hio ya shari mnamuita shoga. Sasa hapo kuna sababu ya msingi ya kufunga casino? Casino kwanza hazina fujo, zinakua na ukimya. Misikiti yenu sasa... kelele kibao na hizo vipaza sauti. Mbona watu hawaombi ifungiwe, japo inakuaga kero

Sent using Jamii Forums mobile app
kwani ni kosa mtu kutoa isia zake? hapa dini inatoka wapi kama kigezo ni dini wangeogelea tz nzima sababu kamali zipo kila pahara bwaka hapa wanawasemea wasitafu sio waisilamu mbona mnachekesha?
 
Mkuu kwani haya mambo yanayofanyika kitambaa cheupe,sjui k kidmbwi wavuvi camp ,huko matabata
Si kuna ushoga na mashoga kote wamejZana huko tena wako hadharani

Ova
mashoga washenzi sana dawa yao kuwamwagia pilipili huko nyuma wawashwe mpaka wakome kumanina zao
 
Back
Top Bottom