Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 35,373
- 57,036
Kweli eeenh!?🤔mwandiko au yy mwenyewe kujitambulisha
Kweli eeenh!?🤔mwandiko au yy mwenyewe kujitambulisha
Puuh mpaka chini
Waliochomwa moto 🔥 je?Huyu siku ya ufufuo atakua wa kwanza kufufuka, waliozikwa mpaka waje watoke makaburini sio leo.. 🤔
Acha uchoyo Chifu, funza watakula nini sasa au ndiyo kujitoa ufahamu juu ya ecosystems?Mimi nikifariki munichome moto
Jumlisha uzito wa udongo.Hakika watafufuka kwa kuchelewa.Huyu siku ya ufufuo atakua wa kwanza kufufuka, waliozikwa mpaka waje watoke makaburini sio leo.. 🤔
Huyu siku ya ufufuo atakua wa kwanza kufufuka, waliozikwa mpaka waje watoke makaburini sio leo..
Source.Fix tu hizo na wanazitumia kuingiza mapato ya nchi pamoja na malengo yao mengine! Mfano mzuri ni huyo Firauni ambapo wamecheza vizuri na akili za waumini mpaka leo kuna waislamu na wakristo wanaamini eti mwili wa Firauni (Farao) upo Misri
Najua mjinga atapinga Lakini akija kuniamini atakuwa amechelewa sana!
internal organs huwa zinaondolewa wakati wa mummificationHapana, kila kitu kinabaki vile vile japo mleta uzi hajasema hizo suti nazo ni zile zile au wanambadilishaga?