Baadhi ya wadada huwa mnawapoteza watu wa kuwasaidia sababu ya njaa zenu


Nlivoona, huyo jamaa alikuwa ana nia njema na ya kweli ya kumsaidia huyo binti, sema binti alikosea kutangaza njaa mapema, mwanaume yoyote anaetumia akili ku-reason, akiona mdada anaanza kuomba hela mapema tena kila mara, as a smart man atajua tu huyu mwanamke ni tapeli, hapa hana mtu.

Unadharau jamaa kumfungulia huyo mdada kibanda cha chipsi, ulitaka mtoa mada amfungulie huyo mdada biashara gani (kiwanda Cha mabilioni) au πŸ€”, kwasababu kama ni kibanda cha chipsi, bidada angeweza ajiri mpishi, yeye anaenda kukagua hesabu kila jioni (side hustle).

Hata kama story ya jamaa ni feki (jamaa hana hela za kumlipia kodi huyo dada) fundisho la huu uzi ni la kweli, kuwa most women wanapoteza good men/husband materials wanaojali kwasababu ya mizinga.

Mbaya zaidi, huyo mdada utakuta anatoa papuchi buure, tena kirahisi kwa mwanaume broke ambae hajawahi mpa hata senti, kisa tu mkaka ni handsome hivyo mdada wa watu kapenda.

Sad world indeed. Lamomy
 
Tusikulane kabisa Uwe kaka yangu Wa hiyari alafu Nifungulie Mimi hyo biashara ya chakula boss tugawane faida maana vyuma vimekaza. Ni mpishi mzuri tutapata wateja wengi
 
Sawa boss nitakupatia majibu soon
Ukiwa serious biashara ya chakula inalipa na unaajili watu wanapata riziki kupitia kwako.

Pale Samora avenue nyuma ya daily news kuna mama ZaΓ­ kaajiri wafanyakazi karibuni 10 na anacheza mchezo kwa siku laki moja, imagine kuna mvaa tai gani wa maofisini atamgusa?
 
Hakuna kwa kweli. Ngoja nitulize akili
 
Tusikulane kabisa Uwe kaka yangu Wa hiyari alafu Nifungulie Mimi hyo biashara ya chakula boss tugawane faida maana vyuma vimekaza. Ni mpishi mzuri tutapata wateja wengi
Mi sipo dar nipo mwanza
 
Hapo wote hawakumaanisha, wamekutana wanaviziana..!! Sasa km alikuwa na nia ya kumsaidia na alimpenda si angemwambia ukweli. Kwani angesema hawezi kufanya hivyo na wakakaa wakashauriana nini wafanye nini kingetokea?? Tatizo ww imekuuma hapo alivyoambiwa amsaidie.
Sasa mwanamke unamtumia kwanini usimsaidie?? Na alishamwambia matatizo yake.!!
 
Najua dada zetu kuteteana unajua hatukatai kuomba ela ila Sasa tatizo yaan kupata mshikaji ndo matatizo mara ooh gesi imekwisha naomba ela,mara ooh ivi mwengine inakua too much umepewa lift unataka kupiga na honi sio sahihi nafikiri dada zetu mbadilike unaomba yaan kila siku wewe tu au mwenzako unamfanya ATM machine.
 
Mbona na yeye alipewa hadi kanogewa akataka kumpangia ili aendelee kujisevia, kwanini kuombwa pesa anakuwa mkali??
Yeye atoe hayo ndo mahaba yenyewe sasa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mbona na yeye alipewa hadi kanogewa akataka kumpangia ili aendelee kujisevia, kwanini kuombwa pesa anakuwa mkali??
Yeye atoe hayo ndo mahaba yenyewe sasa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Sisi wanaume tuko hivi mwanamke tunampima kulingana na matendo yake kwenye mahusiano either ni wakupita au kujenga nae maisha jamaa kampenda huyo manzi in really baada ya matendo ya huyo dada ndio imemfanya achange gia angani
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…