Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 20,694
- 32,498
Ukitaka kumsaidia mtu usiweke masharti mengi
😂😂😂 ndio, sasa ww huoni hapo km kuna tatizo? Huyo anajimwambafai anataka kumpa maisha binti, binti naye kaanza kuleta changamoto zake. Lkn matokeo yake jamaa kala kona. Halafu amtoe mwenzie kwenye duka akamfungulie banda la chipsi kweli?? Hapo ni yeye alitaka apate kupiga free P huku anajichukulia posho za kwenye chipsi. Huyo binti alikuwa anaenda kupoteza.
Tusikulane kabisa Uwe kaka yangu Wa hiyari alafu Nifungulie Mimi hyo biashara ya chakula boss tugawane faida maana vyuma vimekaza. Ni mpishi mzuri tutapata wateja wengiWakuu people's
Yale majizi 👉 kidumu
Aisee nilikwenda duka moja kupata huduma nikamkuta mdada mmoja tukazungumza hapa na pale nikaomba namba basi tukaanza mawasiliano na nikamuweka wazi kwamba nimempenda na akanielewa.
Akaanza kunishirikisha mambo yake kwamba alikuwa na mume wametengana sababu mumewe hamataki tena na ameoa mke mwingine na alimtesa sana.
Hapo dukani kaajiliwa tu na anaishi kwa bosi wake nikaamuliza wanakulipa shs ngapi akasema elfu 40 nikamwambia si mbaya sn sababu anaishi kwa bosi wake.
Nikamshauri kama kweli anania ya kusonga mbele basi anatakiwa apange room yake mi tamsaidia kodi ya miezi mitatu na baadhi ya vitu kama godoro akasema sawa ngoja ajipange.
Nikapata wazo nyumbani kwangu kuna vitu kibao vya kufanyia biashara kama ya chips au mama ntilie nk nikawaza atakapokuwa tayari kupanga room nimfungulie biashara mojawapo ili aachane na hiyo kazi ya kulipwa elfu 40 kwa mwezi hili skumgusia ili nilimwambia kama anaweza kufanya biashara akasema anaweza kabisa.
Sasa kilichonileta hapa ni kwamba siku moja usiku tukiwa tuna-chat akasema ooh hana amani nikamuuliza kwanini akajibu ooh mama yake amekabwa na watu wasiojulikana na wamenyang'anya kila kitu pamoja na pesa ya kikundi na anatakiwa alipe pesa za watu 😀 na yeye ndo wa kumsaidia kuilipa mi nikawapa pole kisha nikamwambia utawezaje kulipa hiyo hela kwa mshahara huo sasa akasema hata hajui afanyaje mi nikamwambia bnafsi siwezi kumsaidia hilo ukizngatia ndo kwanza tumeanza mahusiano kisha nikalipotezea hilo.
Zikapita kama siku 2 tukawa tunawasiliana vzuri tu sasa juzi namsalimia ananambia ooh leo hata sijui takula nn nikamuuliza kwann akajibu ooh hela ya mboga ameisahau nyumbani na hapo hana hela ya mboga 😀 mkumbuke alinambia anaishi kwa bosi wake. Mi nikamuliza ww ulisema unaishi kwa bosi wako sa mambo ya mboga na wewe wapi na wapi wakati wewe mambo hayo hayakuhusu unaishi kwenye mji wa watu.
Akasema kwani kakosea kuniambia nikamjibu hapana ila mi ninashangaa unaishi kwa bosi halafu wewe ndo unatakiwa utoe hela ya mboga 🤣. Hilo nikalipotezea akili ikakaa sawa kwamba huyu mdada hamna kitu anataka kunivuna tu hakuna jipya hapo nikamblock na nikaachana naye.
Sasa enyi wadada wakati mwingine mpunguze njaa na vibomu visivyo na kichwa wala miguu aisee mnapoteza watu wa muhimu sana kwenu wa kuwatoa hatua 1 kwenda nyingine ila njaa zenu zinawaponza sana. Huyu nilikuwa na nia ya kumsaidia kabisa ila kwa upuuzi huo wa kujaribu kunipiga vibomu nani anaweza wanaweza mambwiga tu.
NB: wale wanaoona eti namind vihela vidogo kama hivyo ni wao na akili zao tu mimi hata shs 50 ina thamani kubwa maana kwenye bil 1 ukitoapo shs 50 tayari siyo bil 1 tena.
Je, wakuu maamuzi yangu ni sahihi au si sahihi.🤔
Tafuta location niambie.Tusikulane kabisa Uwe kaka yangu Wa hiyari alafu Nifungulie Mimi hyo biashara ya chakula boss tugawane faida maana vyuma vimekaza. Ni mpishi mzuri tutapata wateja wengi
Sawa boss nitakupatia majibu soonTafuta location niambie.
Ukiwa serious biashara ya chakula inalipa na unaajili watu wanapata riziki kupitia kwako.Sawa boss nitakupatia majibu soon
Hakuna kwa kweli. Ngoja nitulize akiliUkiwa serious biashara ya chakula inalipa na unaajili watu wanapata riziki kupitia kwako.
Pale Samora avenue nyuma ya daily news kuna mama Zaí kaajiri wafanyakazi karibuni 10 na anacheza mchezo kwa siku laki moja, imagine kuna mvaa tai gani wa maofisini atamgusa?
Hapo wote hawakumaanisha, wamekutana wanaviziana..!! Sasa km alikuwa na nia ya kumsaidia na alimpenda si angemwambia ukweli. Kwani angesema hawezi kufanya hivyo na wakakaa wakashauriana nini wafanye nini kingetokea?? Tatizo ww imekuuma hapo alivyoambiwa amsaidie.Nlivoona, huyo jamaa alikuwa ana nia njema na ya kweli ya kumsaidia huyo binti, sema binti alikosea kutangaza njaa mapema, mwanaume yoyote anaetumia akili ku-reason, akiona mdada anaanza kuomba hela mapema tena kila mara, as a smart man atajua tu huyu mwanamke ni tapeli, hapa hana mtu.
Unadharau jamaa kumfungulia huyo mdada kibanda cha chipsi, ulitaka mtoa mada amfungulie huyo mdada biashara gani (kiwanda Cha mabilioni) au 🤔, kwasababu kama ni kibanda cha chipsi, bidada angeweza ajiri mpishi, yeye anaenda kukagua hesabu kila jioni (side hustle).
Hata kama story ya jamaa ni feki (jamaa hana hela za kumlipia kodi huyo dada) fundisho la huu uzi ni la kweli, kuwa most women wanapoteza good men/husband materials wanaojali kwasababu ya mizinga.
Mbaya zaidi, huyo mdada utakuta anatoa papuchi buure, tena kirahisi kwa mwanaume broke ambae hajawahi mpa hata senti, kisa tu mkaka ni handsome hivyo mdada wa watu kapenda.
Sad world indeed. Lamomy
Nimeshapata muwekezaji boss.Mi sipo dar nipo mwanza
Najua dada zetu kuteteana unajua hatukatai kuomba ela ila Sasa tatizo yaan kupata mshikaji ndo matatizo mara ooh gesi imekwisha naomba ela,mara ooh ivi mwengine inakua too much umepewa lift unataka kupiga na honi sio sahihi nafikiri dada zetu mbadilike unaomba yaan kila siku wewe tu au mwenzako unamfanya ATM machine.Hapo wote hawakumaanisha, wamekutana wanaviziana..!! Sasa km alikuwa na nia ya kumsaidia na alimpenda si angemwambia ukweli. Kwani angesema hawezi kufanya hivyo na wakakaa wakashauriana nini wafanye nini kingetokea?? Tatizo ww imekuuma hapo alivyoambiwa amsaidie.
Sasa mwanamke unamtumia kwanini usimsaidie?? Na alishamwambia matatizo yake.!!
Mbona na yeye alipewa hadi kanogewa akataka kumpangia ili aendelee kujisevia, kwanini kuombwa pesa anakuwa mkali??Najua dada zetu kuteteana unajua hatukatai kuomba ela ila Sasa tatizo yaan kupata mshikaji ndo matatizo marq ooh gesi imekwisha naomba ela,mara ooh ivi mwengine inakua too much umepewa lift unataka kupiga na honi sio sahihi nafikiri dada zetu mbadilike unaonba ela utafukiria wenzenu wana mifere
Elewa kuwa kichwani vizuri hakumaanishi hadi kuwa na degree au kusoma sn. Au umesomea darasani kuwa kichwani vizuri ni kuwa wa kwanza darasani.Swali kwa nini uzidiwe akili na muhuni tu? Unadhani wanawake wana shida na degree yako?
Sisi wanaume tuko hivi mwanamke tunampima kulingana na matendo yake kwenye mahusiano either ni wakupita au kujenga nae maisha jamaa kampenda huyo manzi in really baada ya matendo ya huyo dada ndio imemfanya achange gia anganiMbona na yeye alipewa hadi kanogewa akataka kumpangia ili aendelee kujisevia, kwanini kuombwa pesa anakuwa mkali??
Yeye atoe hayo ndo mahaba yenyewe sasa 😂😂😂
Unavosema kuwa "namtumia mwanamke" unamaanisha nini? Mimi Ku-sex na mwanamke inamaanisha namtumia?Sasa mwanamke unamtumia kwanini usimsaidie??