Baadhi ya wadada huwa mnawapoteza watu wa kuwasaidia sababu ya njaa zenu

Ulikutana na kausha damu pro, huyo ni aina ya wanawake ambao wanaamini kupewa/kupokea/kutatuliwa matatizo yao(yakiwemo ya kipuuzi) ni jukumu la lazima la wewe mwanaume as long as umeonesha nia ya kuwa nae kwenye mahusiano. Halafu mbaya zaidi hata shukrani hawanaga, siku ukiacha tu kutimiza hayo utakutana na maneno ya shombo.... na wakati wewe unafanya hayo yote unakuta kuna kijana wa ovyo hapo mtaani kwao anambinua anavyotaka bila kumsaidia chochote.
Hii nimesoma tu! Ila kuna ukwelijuu yake
 
kikawaida mwanamke hua anafanya kila namna kujiepusha na kupata shida(sometimes hata kufanya kazi anajiepusha napo)
we mpe hela tu hayo mambo ya biashara akitaka atakwambia mwenyew
usikute anafanya kaz sababu hana jinsi
 
Sina pesa ya kumpa bali ninayo ya kumfanya apate pesa yake mwnyw za kupewa kwangu hazipo mfundishe mtu kuvua samaki na uumpe namna ya kuvua akavue mwnyw kuliko ww ukavue na kumpa siku ukiwa haupo itakuwaje.
 
nhahahah.........kila la heri
 
We nungaiyembe kama ww unapata wanaume unaodhania wanaweza kukupa utakacho wako smart vle unavyodhania ukae ukijua hata vidole havilingani
By definition mimi sio nungayembe. Mume ninaye. Haya address me properly ndo tuendelee.
 
Umefanya maamuzi sahihi sana mkuu, tamaa zinawaponza dada zetu. Ulifanya vizuri sana kutokumwambia mpango wa biashara maana angekuigizia ili apate ulichomueleza.
 
Kupanga ni kuchagua

Lakin kwa uelewa wangu ukiwa na nia ya kumsaidia au kufika mbali na mtu huwez angalia mapungufu yake sana sana utamwambia abadilike au utatoa msaada zen utapita kushoto

Shida wanaume wa sku izi tumekua km mabinti vimaneno na visa kibao
 
Back
Top Bottom