Mimi Bibi Yenu Mpambanaji
Senior Member
- Oct 6, 2024
- 124
- 278
- Thread starter
- #41
Kulipa ni wajibu. OYA wanasifika kwa uhuni na tabia mbayaKukopa harusi kulipa matanga.

Rushwa ndio adui namba moja wa hakiHao wanapewa licence na TIN na mamlaka za serikali, revoke license yao then freeze account zao zote, kamata wamiliki wake, anza kesi, tatizo waliopewa mamlaka ya kusimamia ni wazembe na wala rushwa wakubwa
Nimelewa nini?mnakopa mnaenda kulewa kwa hali hy lazima mlie lie *****
Changamoto wateja wao hawakopesheki bank, bank wanafuata utaratibu yaani kuwa na dhamana sio kigezo pekee cha kukopa bali uwe na mzunguuko wa biashara unaoshabihiana na kiwango unachokopa. Hawa kina Oya wao wanakopesha tu, hujawahi kushika hata 1 million lakini ukitaka 3 millions wanakupa tu na shida ndo inaanzia hapo. Wanatoa mikopo wababe na wanaokopa wana historia mbaya ya kukopa hivyo kinaumana.Pole sana,Sasa jamanii hizi kampuni za mifukoni tuzisusie kukopa!Kuna banki zetu zinajua customer care,mfno:ipo sitazitaja maana nitakuwa nawafanyia promotion isiyonilipa.
Kwa uchungu naskitika kukumwambia live bila chenga kwamba Mwanangu we ni mfitinishaji mkuu.Dah kuna watu wako juu ya sheria.aise na serikali ya ccm na mama samia wameiweka mfukoni ni mwendo wa ubabe km una chapa.KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI.CCM OYEE MAMA OYEEEE
Kesho yake asubuhi tukawepo kituoni, tukamchukua na kurudi naye nyumbani. Uhuni wa kampuni wa OYA haufai, ni lazima ukomeshwe mara moja.,Kampuni ya OYA inayotoa huduma za ukopeshaji wa fedha wamekuwa wakitenda uovu na udhalimu mwingi katika operation zake za kudai madeni.
Miingoni mwa udhalimu wanaoufanya, ni pamoja na kupiga, kutesa, kutekwa nyara kwa muda na kisha kwenda kukubwaga mbali na eneo lako la makazi.
Binti ya wangu wa mwisho kuzaliwa, alikuwa amekopa huko OYA kiasi cha 2.5 mil.
Basi siku hiyo wakamvamia nyumbani usiku wa saa tatu, alikuwa amebakiza marejesho matatu amalize deni lake. Basi akawaomba awapelekee kesho yake hela zilizobakia, wakakataa katakata. Wampiga sana, wakambeba msobe msobe na kumwingiza kwenye Gari. Wakamzungusha usiku kucha, kutoka Boko Magengeni njia ya Mbweni, wakaenda kumbwaga Mbagala shule ya msingi Jaribu akiwa Hana shilingi hata moja wala simu.
Basi hapo kulikuwa na walinzi wa shule ndio wakamsaidia kumpa simu kutujulisha yaliyomkuta, tukawaomba walinzi wampeleke kituo cha Polisi Mbagala Zakhem kwa ajili ya usalama wake.
Kesho yake asubuhi tukawepo kituoni, tukamchukua na kurudi naye nyumbani. Uhuni wa kampuni wa OYA haufai, ni lazima ukomeshwe mara moja.
Juzi wamempiga MTU hadi kumuua huko Mlandizi, wakikaliwa kimya hawa wataua watu wengi sana directly and indirectly.
Pia soma
- Pwani: Wafanyakazi wa kampuni ya mikopo ya OYA, mbaroni kwa tuhuma za mauaji
Acheni kukopa taasisi hizo tofauti na bank@KUKOPA SHEREHE KULIPA MAJANGAKampuni ya OYA inayotoa huduma za ukopeshaji wa fedha wamekuwa wakitenda uovu na udhalimu mwingi katika operation zake za kudai madeni.
Miingoni mwa udhalimu wanaoufanya, ni pamoja na kupiga, kutesa, kutekwa nyara kwa muda na kisha kwenda kukubwaga mbali na eneo lako la makazi.
Binti ya wangu wa mwisho kuzaliwa, alikuwa amekopa huko OYA kiasi cha 2.5 mil.
Basi siku hiyo wakamvamia nyumbani usiku wa saa tatu, alikuwa amebakiza marejesho matatu amalize deni lake. Basi akawaomba awapelekee kesho yake hela zilizobakia, wakakataa katakata. Wampiga sana, wakambeba msobe msobe na kumwingiza kwenye Gari. Wakamzungusha usiku kucha, kutoka Boko Magengeni njia ya Mbweni, wakaenda kumbwaga Mbagala shule ya msingi Jaribu akiwa Hana shilingi hata moja wala simu.
Basi hapo kulikuwa na walinzi wa shule ndio wakamsaidia kumpa simu kutujulisha yaliyomkuta, tukawaomba walinzi wampeleke kituo cha Polisi Mbagala Zakhem kwa ajili ya usalama wake.
Kesho yake asubuhi tukawepo kituoni, tukamchukua na kurudi naye nyumbani. Uhuni wa kampuni wa OYA haufai, ni lazima ukomeshwe mara moja.
Juzi wamempiga MTU hadi kumuua huko Mlandizi, wakikaliwa kimya hawa wataua watu wengi sana directly and indirectly.
Pia soma
- Pwani: Wafanyakazi wa kampuni ya mikopo ya OYA, mbaroni kwa tuhuma za mauaji
DUh Mikopo Hii Tazama Huyu Aliekopa kwa mamaye kilichomkuta Bonyeza hapa Instgram Habari & UdakuKampuni ya OYA inayotoa huduma za ukopeshaji wa fedha wamekuwa wakitenda uovu na udhalimu mwingi katika operation zake za kudai madeni.
Miingoni mwa udhalimu wanaoufanya, ni pamoja na kupiga, kutesa, kutekwa nyara kwa muda na kisha kwenda kukubwaga mbali na eneo lako la makazi.
Binti ya wangu wa mwisho kuzaliwa, alikuwa amekopa huko OYA kiasi cha 2.5 mil.
Basi siku hiyo wakamvamia nyumbani usiku wa saa tatu, alikuwa amebakiza marejesho matatu amalize deni lake. Basi akawaomba awapelekee kesho yake hela zilizobakia, wakakataa katakata. Wampiga sana, wakambeba msobe msobe na kumwingiza kwenye Gari. Wakamzungusha usiku kucha, kutoka Boko Magengeni njia ya Mbweni, wakaenda kumbwaga Mbagala shule ya msingi Jaribu akiwa Hana shilingi hata moja wala simu.
Basi hapo kulikuwa na walinzi wa shule ndio wakamsaidia kumpa simu kutujulisha yaliyomkuta, tukawaomba walinzi wampeleke kituo cha Polisi Mbagala Zakhem kwa ajili ya usalama wake.
Kesho yake asubuhi tukawepo kituoni, tukamchukua na kurudi naye nyumbani. Uhuni wa kampuni wa OYA haufai, ni lazima ukomeshwe mara moja.
Juzi wamempiga MTU hadi kumuua huko Mlandizi, wakikaliwa kimya hawa wataua watu wengi sana directly and indirectly.
Pia soma
- Pwani: Wafanyakazi wa kampuni ya mikopo ya OYA, mbaroni kwa tuhuma za mauaji
DUh Mikopo Hii Tazama Huyu Aliekopa kwa mamaye kilichomkuta Bonyeza hapa Instgram Habari & UdakuSasa Mungu amejibu vip dua na sala? Nilijua umeenfa kuwashitaki???.... hahahahaha, aisee watanzania tupo na matatozo mengi ya akili
Rushwa ndio adui namba moja wa haki
Kumbe OYA ndiyo wanateka watu, sasa uchunguzi unanzia hapa, police wamesingiziwa sana! Pole Bibi kwa madhira hayo Mungu akufanyie wepesi!!Kampuni ya OYA inayotoa huduma za ukopeshaji wa fedha wamekuwa wakitenda uovu na udhalimu mwingi katika operation zake za kudai madeni.
Miingoni mwa udhalimu wanaoufanya, ni pamoja na kupiga, kutesa, kutekwa nyara kwa muda na kisha kwenda kukubwaga mbali na eneo lako la makazi.
Binti ya wangu wa mwisho kuzaliwa, alikuwa amekopa huko OYA kiasi cha 2.5 mil.
Basi siku hiyo wakamvamia nyumbani usiku wa saa tatu, alikuwa amebakiza marejesho matatu amalize deni lake. Basi akawaomba awapelekee kesho yake hela zilizobakia, wakakataa katakata. Wampiga sana, wakambeba msobe msobe na kumwingiza kwenye Gari. Wakamzungusha usiku kucha, kutoka Boko Magengeni njia ya Mbweni, wakaenda kumbwaga Mbagala shule ya msingi Jaribu akiwa Hana shilingi hata moja wala simu.
Basi hapo kulikuwa na walinzi wa shule ndio wakamsaidia kumpa simu kutujulisha yaliyomkuta, tukawaomba walinzi wampeleke kituo cha Polisi Mbagala Zakhem kwa ajili ya usalama wake.
Kesho yake asubuhi tukawepo kituoni, tukamchukua na kurudi naye nyumbani. Uhuni wa kampuni wa OYA haufai, ni lazima ukomeshwe mara moja.
Juzi wamempiga MTU hadi kumuua huko Mlandizi, wakikaliwa kimya hawa wataua watu wengi sana directly and indirectly.
Pia soma
- Pwani: Wafanyakazi wa kampuni ya mikopo ya OYA, mbaroni kwa tuhuma za mauaji
Kampuni ya mikopo ya OYA itakuwa na mwisho mbaya sana kama ilivyokuwa kampuni ya udalali ya MAJEMBE
Utu ni jambo muhimu sana kwenye huu uumbaji wa Mwenyezi Mungu Kampuni ya mikopo midogomidogo ya OYA si kampuni rafiki na yenye UTU kwa wakopaji wake. Pamoja na kuwa na vibali halali vya kuendesha hiyo biashara lakini matendo ya wafanyakazi wake kwa wakopaji wanaoshindwa kurejesha kwa wakati...www.jamiiforums.com
Kabisa ndugu, mswahili ni mtu asiyejua kabisa kuheshimu mkataba.Ndio maana hii biashara ya kukopesha hela siitaki kabisa,watanzania wengi sio walipaji,kumkopesha mswahili bila ya dhamana ya kueleweka utaishia jela usipoangalia...