Hahaha hata jamaa anayeogopa dent wake? Tendeni haki basiKuna nini nyuma ya kauli hii ya Mwakyembe kutaka kufuta chama TLS? nahisi sababu ni Lissu kugombea uenyekiti
yetu macho
Chanzo Azam two
barafu said;
Baada ya Tundu Lissu na Law Masha kuchukua form za kugombea uongozi wa Tanganyika Law Society,Waziri wa Katiba na Sheria Dr Mwakyembe,amesema wataifungia TLS na kumuomba msajili wa vyama vya siasa Jaji Mtungi aisajili kama Chama cha Siasa.
Kupitia Azam Two,Dr H.Mwakyembe anasema,endapo vuguvugu hilo la wanasiasa wa chama fulani watafanikiwa kushinda na kuiongoza TLS,basi Wizara yake itapeleka bungeni hoja ya kuifuta sheria iliyoanzisha Tanganyika Lawa Society na hivyo kuiondoa na kuacha ibaki kama NGO.
Hivyo amewaonya mawakili kutokukubali kuiingiza TLS kuwa kama chama cha siasa,ama wakubali ifutwe au iendelee kuwepo kama taasisi inayosimamia mambo ya sheria na uweledi wa wanasheria Tanzania.
Dr Mwakyembe amesema,Serikali ya awamu ya tano haiana bla bla na mizunguko,itakalolisema ndio inalolitenda,hivyo kama TLS hawatazingatia,basi serikali haitasita kuifuta na kuiondoa kabisa.
Cc: Petro E. Mselewa
Kweli Tundu Lissu ni KIBOKO!!Hii yote kumuogopa tundu lissu
Hatutaki siasa kwenye mambo ya taaluma!Hii yote kumuogopa tundu lissu