Tetty
JF-Expert Member
- Jan 6, 2012
- 26,355
- 21,396
Hadi kufikia hatua ya kufuta TLS
Naona kama anajichanganya.Kama chama kiko kisheria wafute sheria kwanza.
Hadi kufikia hatua ya kufuta TLS
Naona kama anajichanganya.Kama chama kiko kisheria wafute sheria kwanza.
VIVIANET kwanini uishi kwa kuhisi? Unathubutu kupost mtandaoni mambo ya kuhisi !!!, Kama hamna chakupost bora uchukue hata maji unywe kwa vile viroba vimepigwa marufuku.
Yanayoendelea nchini kwetu yanasikitisha sana. Lissu ni mwanasheria hivyo ana haki ya kuongoza taasisi hiyo bila kuingiliwa na yeyote yule ikiwemo dikteta.
Amedai kuwa TLS wamekuwa kama chama cha siasa kwahiyo atakifuta ili kisajiliwe kama chama cha siasa
Mwakyembe atakuwa anatumia ma.ta.ko kufikria badala ya kichwa chenye ubongo. Kwani Lissu na Law wanaenda kugombea huko kama wawakilishi wa CHADEMA? Hebu atumie akili ndogo tu hata ya mtoto wa chekechea!Kuna nini nyuma ya kauli hii ya Mwakyembe kutaka kufuta chama TLs? nahisi sababu ni Lissu kugombea uenyekiti
yetu macho
Chanzo Azam two
barafu said;
Baada ya Tundu Lissu na Law Masha kuchukua form za kugombea uongozi wa Tanganyika Law Society,Waziri wa Katiba na Sheria Dr Mwakyembe,amesema wataifungia TLS na kumuomba msajili wa vyama vya siasa Jaji Mtungi aisajili kama Chama cha Siasa.
Kupitia Azam Two,Dr H.Mwakyembe anasema,endapo vuguvugu hilo la wanasiasa wa chama fulani watafanikiwa kushinda na kuiongoza TLS,basi Wizara yake itapeleka bungeni hoja ya kuifuta sheria iliyoanzisha Tanganyika Lawa Society na hivyo kuiondoa na kuacha ibaki kama NGO.
Hivyo amewaonya mawakili kutokukubali kuiingiza TLS kuwa kama chama cha siasa,ama wakubali ifutwe au iendelee kuwepo kama taasisi inayosimamia mambo ya sheria na uweledi wa wanasheria Tanzania.
Dr Mwakyembe amesema,Serikali ya awamu ya tano haiana bla bla na mizunguko,itakalolisema ndio inalolitenda,hivyo kama TLS hawatazingatia,basi serikali haitasita kuifuta na kuiondoa kabisa.
Cc: Petro E. Mselewa
Anaota! Sasa ndio ameiloga ccm mbaya kabisa. Wasomi hawa hawatakubali kuburuzwa na mtu tuuu! Hii ni movie mpya tuendelee......Amedai kuwa TLS wamekuwa kama chama cha siasa kwahiyo atakifuta ili kisajiliwe kama chama cha siasa