herzygovina mwangosi
JF-Expert Member
- Sep 26, 2013
- 900
- 431
"Dhati pendo"...."pendo la dhati"...najaribu kufikili kwa sautiKama mnapendana Pendo la dhati mimi sioni sababu kwa nini umuache

Haya bana,sio ichi kichwa mkuu
Mkuu hukumchunguza kabla ya kumuoa? Mlikaa mda gani kabla hujamuoa? Ulishawahi kumuuliza kama ana mtoto??Mimi katika maisha yangu nilishaapa sitooa mwanamke mwenye mtoto sababu ninajua mahawala hawaachani tena kama wamezaa ndio huwezi kuzuia kwa kisingizio matunzo ya mtoto kumbe jamaa anakumbushia.
Sasa mwezi wa 3 nimeoa ila huyo msichana mama yangu alikuwa hamtaki hata kumsikia, baada ya kukomaa mama akaniruhusu.
Nimemuoa na ndani ya miezi mitatu kwenye ndoa nimegundua ana watoto wawili ila mimi bado sijachukua uamuzi.
Ninaomba ushauri wenu, nimpe talaka aende kwao maana hii harusi hakuna aliyeitaka kwenye familia yangu mimi nimelazimisha tu na bora angeniambia kabla.
Je! Uliwahi kumuuliza akakudanganya?Mimi katika maisha yangu nilishaapa sitooa mwanamke mwenye mtoto sababu ninajua mahawala hawaachani tena kama wamezaa ndio huwezi kuzuia kwa kisingizio matunzo ya mtoto kumbe jamaa anakumbushia.
Sasa mwezi wa 3 nimeoa ila huyo msichana mama yangu alikuwa hamtaki hata kumsikia, baada ya kukomaa mama akaniruhusu.
Nimemuoa na ndani ya miezi mitatu kwenye ndoa nimegundua ana watoto wawili ila mimi bado sijachukua uamuzi.
Ninaomba ushauri wenu, nimpe talaka aende kwao maana hii harusi hakuna aliyeitaka kwenye familia yangu mimi nimelazimisha tu na bora angeniambia kabla.
Fikiri haraka ili umshauri ndugu yako asije akajiua"Dhati pendo"...."pendo la dhati"...najaribu kufikili kwa sauti
Ndoa ya kikristu: kama mwenza mmojawapo hakuwahi kusema wazi ana watoto mpaka ndoa inapofungwa ndio inagundulika, basi ndoa hiyo sio halali. Hili ni kosa la kubatilisha ndoa moja kwa moja.Mimi katika maisha yangu nilishaapa sitooa mwanamke mwenye mtoto sababu ninajua mahawala hawaachani tena kama wamezaa ndio huwezi kuzuia kwa kisingizio matunzo ya mtoto kumbe jamaa anakumbushia.
Sasa mwezi wa 3 nimeoa ila huyo msichana mama yangu alikuwa hamtaki hata kumsikia, baada ya kukomaa mama akaniruhusu.
Nimemuoa na ndani ya miezi mitatu kwenye ndoa nimegundua ana watoto wawili ila mimi bado sijachukua uamuzi.
Ninaomba ushauri wenu, nimpe talaka aende kwao maana hii harusi hakuna aliyeitaka kwenye familia yangu mimi nimelazimisha tu na bora angeniambia kabla.
Mimi nina Watoto na huyo baba Watoto sina mawasiliano naye wala Watoto kwa 15 years. Kwa hivi do not generalise.Oa mwanamke mwenye mtoto ikiwa tu una uhakika 100% baba wa mtoto amekufa.
Boresha ndoa yenu tu kitanda hakizai haramu.Mimi katika maisha yangu nilishaapa sitooa mwanamke mwenye mtoto sababu ninajua mahawala hawaachani tena kama wamezaa ndio huwezi kuzuia kwa kisingizio matunzo ya mtoto kumbe jamaa anakumbushia.