Mgibeon
JF-Expert Member
- Aug 7, 2011
- 11,275
- 21,340
Anachangamsha nyumba halafu ni rahisi kumjua vizuri kuliko mkimya! Mkimya Ni Ngumu kuishi nae, Muda wote tu unakua unajishtukia.Kumbe mnawapendaga wanawake wenye midomo? Nimenote hii