Kuna watu hawana aibu....Mara nyingi vijijini wanaambizana. Akija wa kwanza tena kwa kuomba na kwa mawasiliano. Basi anafanya kuwasimulia alivyofaidi, na ndo unakuwa mwanzo wa watu kuja kwako.
Mdogo wangu yalimkuta hayo.
Kaolewa chumba na sebule lakini watu walikuwa wanajaa hata pa kuwalaza akikosa anawalipia guest.
Ndo wakazidi. Alipoanza kuwa pangia kazi tu wote wakaondoka. Ila ndo amechelewa kujenga sababu matumizi yalikuwa Makubwa awali.
Watu wanarundikana mpaka wenyenyumba wanashindwa kujambraaaa pyeeeeKuna muda nyumba inatakiwa muwe wawili Kuna raha flani hivi,sio kila siku wamerundikana watu
Watu wanarundikana mpaka wenyenyumba wanashindwa kujambraaaa pyeeee
Mie niliishi maisha haya zamani kwa wazazi...... ndugu hawakauki..halafu hawana shukrani.....mnajinyima halafu hawaridhiki wanaona kama ni haki yao.... mwisho wa siku tuliungana timua wooooooooooooooooooooooooooteee
Hahaha nimependa hapo pa wabebaji mimba......yaan sio kwamba hatupendi wageni ila wakizidi ni kero,mfano wale wabebaji WA mimba wanakuja kujifungulia kwako na kila akibeba mimba aje kwako ajifungue,wenye wagonjwa hospital wanafikia kwako na wakati mwingine kwa pamoja hivi utajigawaje jamani umsaidie yupi umuache yupi,
wazungu walijua kila mtu akae kwao ni kutembeleana na kuondoka ,sisi tumezidi jamani na hapo hata uwafanyie nini utasemwa Una roho mbaya,bora kusaidiana kila mtu akae kwake kabisa
kama ashaanza kujitegemea kimaisha
Hahaha nimependa hapo pa wabebaji mimba......
Ukifanya masikhara wanajifungua...unawahudumiaa..na wanapata nyingine hapo hapo
Huu upuuzi umeigharimu familia yangu,mzee wangu alijiingiza humo miaka zaidi ya 10 hakuna alicho pata. zaidi ameuza nyumba 2,viwanja na mashamba ya kutosha kimya kimya bila ya familia kujua. mpaka sasa ni mgogoro mkubwa mbaya zaidi ujinga huu umelamba mpaka pensheni yake yote [million 96].Alafu sijawahi sikia mtu yoyote kapata hicho Cha mjerumani hehehehehe
Subiri TBC wataaanza kuonesha bunge live ataondoka tuWadau nawasalimu,
Wakati nikiwa kwenye nyumba ya kupanga chumba na sebule sikua nikipata wageni kabisa, ilipita miezi kabla ya kupata mgeni, wageni ninaowazungumzia ni wa kutoka kijijini kwetu na mikoani
Mwaka jana nilihamia kwenye nyumba yangu baada ya ujenzi wa muda mrefu, sasa nimeshangazwa sana na trend ya wageni kutoka mkoani wanaokuja kwangu, january pekee walipishana ndugu waliokua wakileta watoto wao boarding wakati shule zinafunguliwa hadi nilichanganyikiwa, haikushia hapo hali imeendelea hivyo hadi sasa, wapo wanaokuja kwenye biashara hawataki kulala gesti, na kadhalika
Yote tisa, kumi, yupo mmoja mjomba wangu, yy tangu january yupo hapa, watu wanakuja na kuondoka yy yupo, kilichomleta dar hakieleweki, anashinda hapo anapika asubuhi hadi jioni pamoja na utu uzima alionao, maana sijaoa na maid sina, anadai kaja kutafuta sarafu za wajeremani hadi azipate ndipo arudi
Sasa wadau nifanyeje hawa wageni wasije kwangu? Nataka warudi huko walikokua wanafikia zamani, au nirudi kupanga chumba na sebule, then nyumba niipangishe?
Na huyu mjomba nimtoeje hapa kwangu, maana gharama zimekua kubwa, kila mara anaomba nauli kwenda na wenzie kutafuta sarafu za wajeremani mapangoni kisarawe, na juzi nimemsikia kwenye simu akiita mkewe nae aje dar kuwa yy atachelewa kurudi kijini
Any ideas?
Mkuu mbona hiyo ni kinyume chake. Akiwapo mwanamke wageni wanaongezeka labda awe mkorofi.Tafuta mwanamke wa kuoa ili watu waondoke wenyewe,nyumba ikiwa haina mke huwa ni jamvi la wageni
Kuna meed mmoja walimla pesa yote kama unavoeleza hapo, hadi nahisi alichanganyikiwa, ni huzuni sana, wanakua kama hawajitambui kabisa na hiyo pesaHuu upuuzi umeigharimu familia yangu,mzee wangu alijiingiza humo miaka zaidi ya 10 hakuna alicho pata. zaidi ameuza nyumba 2,viwanja na mashamba ya kutosha kimya kimya bila ya familia kujua. mpaka sasa ni mgogoro mkubwa mbaya zaidi ujinga huu umelamba mpaka pensheni yake yote [million 96].
Sisemi hili kwa ubaya unaweza kuwa unatoa pesa wewe unajua ya nauli kumbe mwenzako anifanyia kazi kwenye huo ujinga na mwisho wa siku unadhurumiwa kipato chako.
Wacha kuwa na roho ya ubinafsi hizo ndiyo baraka zenyewe watu wanatafuta wewe unazikimbia....Kama wagEni wanakuja na unaweza kuwa-afford kuna shida gani maana hujasema unashindwa kwa ajili ya budget ya chakula ila unalalamika tu hataki watu kwako...Na amini hao ndugu zako wanakuwa proud sana na wewe kuweza kuwahifadhi kumbe wewe roho inakuuma...
Best Idea ever! Hata kwangu nitaitekeleza hiiWeka mifugo kila wakiamka ni kuihudumia majani usafi na mengineyo watakimbia wenyewe
Wadau nawasalimu,