Baada ya kujenga, kijiji kizima sasa kinafikia kwangu

Haaaaaa! sifa zimempoza! ila huyu mjomba ameniacha hoi anapotaka alete na mke kabisa,Kweli mjini kutamu.
 
Kuna watu hawana aibu....

Wanajazana wakati mwenzao ana chumba na sebule????

Mfyuuuuuu

Wakati wa mahaba wangekuwa wanapiga mikelele ili wakome
 
Kuna muda nyumba inatakiwa muwe wawili Kuna raha flani hivi,sio kila siku wamerundikana watu
Watu wanarundikana mpaka wenyenyumba wanashindwa kujambraaaa pyeeee

Mie niliishi maisha haya zamani kwa wazazi...... ndugu hawakauki..halafu hawana shukrani.....mnajinyima halafu hawaridhiki wanaona kama ni haki yao.... mwisho wa siku tuliungana timua wooooooooooooooooooooooooooteee
 

yaan sio kwamba hatupendi wageni ila wakizidi ni kero,mfano wale wabebaji WA mimba wanakuja kujifungulia kwako na kila akibeba mimba aje kwako ajifungue,wenye wagonjwa hospital wanafikia kwako na wakati mwingine kwa pamoja hivi utajigawaje jamani umsaidie yupi umuache yupi,
wazungu walijua kila mtu akae kwao ni kutembeleana na kuondoka ,sisi tumezidi jamani na hapo hata uwafanyie nini utasemwa Una roho mbaya,bora kusaidiana kila mtu akae kwake kabisa
kama ashaanza kujitegemea kimaisha na wangejua watu hawapendi kabisa
 
Hahaha nimependa hapo pa wabebaji mimba......

Ukifanya masikhara wanajifungua...unawahudumiaa..na wanapata nyingine hapo hapo
 
Hahaha nimependa hapo pa wabebaji mimba......

Ukifanya masikhara wanajifungua...unawahudumiaa..na wanapata nyingine hapo hapo

na hapo utabeba lawama juu ,bora ukae mbali na ndugu yaan akitaka kuja anawaza nauli ilivyo ndefu anaghairi,lakin ukikaa karibu kila siku kesi
 
Alafu sijawahi sikia mtu yoyote kapata hicho Cha mjerumani hehehehehe
Huu upuuzi umeigharimu familia yangu,mzee wangu alijiingiza humo miaka zaidi ya 10 hakuna alicho pata. zaidi ameuza nyumba 2,viwanja na mashamba ya kutosha kimya kimya bila ya familia kujua. mpaka sasa ni mgogoro mkubwa mbaya zaidi ujinga huu umelamba mpaka pensheni yake yote [million 96].

Sisemi hili kwa ubaya unaweza kuwa unatoa pesa wewe unajua ya nauli kumbe mwenzako anifanyia kazi kwenye huo ujinga na mwisho wa siku unadhurumiwa kipato chako.
 
Subiri TBC wataaanza kuonesha bunge live ataondoka tu
 
Kero sana hiyo sasa hiyo sarafu ya ujerumani ataipata lini kama sio gia ya kuishi. Mwambie aondoke kama la pata safari ya muda na umwambie huwezi kumwacha pekee yake hapo home
 
Hiyo ni fursa umepata nguvu kazi hapo kwako.Wapigishe kazi wazalishe.
 
Kuna meed mmoja walimla pesa yote kama unavoeleza hapo, hadi nahisi alichanganyikiwa, ni huzuni sana, wanakua kama hawajitambui kabisa na hiyo pesa
 

Hayajakukuta!, hata kama uwezo unao hauwezi kuishi maisha ya kuvuruga mipango yako kwa maisha ya watu wengine! Kwa kifupi wageni wanakufanya wewe daraja la kutekeleza mipango yao huku yako inalala!
 
 
Maisha yanaendelea hata kijiji kihamie kwako, so hakuna shida we mshukuru Mungu kwa yote sababu sababu riziki anatoa yeye
 
wema ukizidi ni mateso! umeendekeza ww mwenyewe kwa kutaka wakusifie kwenu! MWAMBIE UKWELI KUWA HUWEZI HIZO GHARAMA ZA KUMTUNZA. unaweza kupunguza huduma kwake mfn mpe andazi moja na kikombe 1 cha chai kila cku na mlo 1 wa jioni tu! ww kula hotel
 
Watu wengine sijui wakoje, maisha yenyewe magumu haya aah kila mtu abebe mzigo wake hayo mambo ya kujazana mahali bila mpango wala kazi hapana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…