Mohamed Said
JF-Expert Member
- Nov 2, 2008
- 21,902
- 31,972
- Thread starter
- #361
Gagnija,
Sifahamu nini kilimuua.
Sifahamu nini kilimuua.
Al Sady...mzee mohammad usifee moyo hao vijana waachee wapigee kelele hao ndioo wanaoendelea kufichwaa hadii leo hawatakii kubadilikaa na kuwa wadomi pia huendaa level zao za kielimu ni ndogo unapowatajia hizo harakati xako ulizopita huko vyuoni dunia kote Hawajui thamani yake na hawajui maana yake ....HAO SIO WASOME WENYE UPEO TUWAACHEE TU
Allah akubarik sana akulinde na kila ovu na akulinde na maadui wakuchuiao...Iceman,
Aziz Ali umaarufu wake uko katika utajiri wake na katika kujenga misikiti na nyumba
za watu wa Dar es Salaam akwa kama mkandarasi kwa ustaarabu sana maana inasemekana akiwafanyia wepesi kulipa na ikiwa mtu kashindwa kulipa alisamehe deni.
Hii mali yake aliyochuma katika uhai wake alirithi mwanae Dossa na Dossa alitumia mali hii katika kupigania uhuru wa Tanganyika.
Mkuu we ni muislam kabisa?? Hyo avatar yako mbona inapingana na waislam tulio wengi?? Mossad.....ya wayahudi kivp na muislam zikaiva??? Umesahau hao mossad wanachofanyia wapalestina kwenye nchi yao wenyewe kabisa??? DuuuhMohamed Said, historia zako nzuri sana tatizo haziko balanced zimeegemea sana kuonyesha ni waislam tu waliopigania uhuru wa Tanganyika kitu ambacho ni uongo! Angalizo: mimi ni muislamu..jitahidi kua fair kidogo ili hizi historia ziwe zimebalance na sio kuvutia upande mmoja tu. Thanks.
Kwahiyo aandike uongo ili mradi zibalansi?Mohamed Said, historia zako nzuri sana tatizo haziko balanced zimeegemea sana kuonyesha ni waislam tu waliopigania uhuru wa Tanganyika kitu ambacho ni uongo! Angalizo: mimi ni muislamu..jitahidi kua fair kidogo ili hizi historia ziwe zimebalance na sio kuvutia upande mmoja tu. Thanks.
Kwani hii mada ni ya Uhuru? Mi nadhani tuache tumfahamu Aziz alli alikuwa nani mi nilikuwa najua Aziz alli ni wa juzi kumbe old skulAkili zako kama za wanasiasa wapumbavu hunyima haki na walionyimwa haki wakifhadhibika husema oh watu wanataka kuvunja Amani huku wakijua Uhuru ulitafutwa kwa ajili ya Uhuru na watawala wabovu hawatakiwi... Sasa na wewe ndio kundi hilo... Mimi sijakuzuia kusikia Wala siwezi ila nachopinga ni uongo ndani ya historia ambayo unaongozwa na udini... Na kana kwamba hiyo list ndio ilihangaika pekee na Uhuru .. Na pia atambue kuwa makini kwenye maandiko yake.. Huwa simuelewi kama anatafuta changamoto au hupenda tu kunogesha wasomaji vitu ambavyo huvichomeka...
Bila shaka unaamini binadamu wa kale alikuwa nyani, hivi shule hukufundishwa hivyo?mkuu sikia mimi sina tatizo na historian wala history kitu ambacho hatuendi sawa ni style yake ya kuchomeka watu wasio na kichwa Wala mbele pengine hawakuhusika kabisa tena utakuta ndio walikuwa mashushu au wanafiki kwa wazungu katika harakati za Uhuru vibaraka huwepo... Sasa kuna walioondolewa kabisa na wengine waliostukiwa kwa sababu mbali mbali ikiwemo hiyo ya udini ambao mtoa Mada ndio msingi wake mkubwa Wa thread zake humu... Hao watu vibaraka walianzisha hadi vyama pinzani before uhuru... Ila Nyerere alikomaa na alikuwa hapendwi kwa kiswahili cha bara na kujua kwake kiingereza na ukristo wake Nyerere sasa huyu amerithi chuki tena nadhani ile misemo ya Mfumo kristo ndio Hawa walidhania Nyerere angejaza watu Wa msikitini kwenye serikali huku elimu hamna.. Hizo history za Uhuru na wapigania zipo mashuleni zimejaa waingereza wanazo Nyerere kaandika vitabu na kuna speech record TBC tele so acha uoga na story za huyu mzee hii nchi imepata Uhuru kwa kiongozi Ukristo. Yeye inamuuma. Anachofanya ni kutranslate vitabu na kuandika kwa kiswahili huku aliwachomekea sifa wahusika ambazo hazina misingi... Ati tayari akiwa mkristo oh mwafrika Wa kwanza kununua gari kujenga nyumba ya vitae n.k
Me sina chuki nae ila yeye anachuki na christian. Tulioleta Uhuru historia ndio ilivyo haibadilishiki hawezi rejesha ile hali yao ya chuki hadi wakristo kuishi kariakoo ni mission kota tu iliwezekana ila Tajili mkubwa Rupia anamuelewa
Huko tuliambiwa binaadamu alikuwa sokweUlipimaje kujua kuwa haifikii robo?
Ulichukua combination ipi Advanced level?
Inashangaza eeh?!Aisee
Kadoda11,mnakasha ulikuwa umelala,mimi nimeuamsha upya.bila shaka utaanza kuonekana ktk topic zinazo trend.
ziku za mwanzo mwanzo wakati mijadala ya aina hii ilipokuwa "hot" hapa JF,hata mimi nilikuwa mmoja ya vijana waliokuwa wanakupinga sana.nadhani unakumbuka vizuri.Kadoda11,
Uzoefu ni kuwa baada ya mjadala mkali na wakati mwingine wachangiaji
kutoka matusi ghasa wale wakaidi mmoja mmoja hujiondoa taratibu na
kupotea kabisa.
Kulikuwa na akina Mag3, Nguruvi, Mwanakijiji wote hivi sasa siwaoni
tena katika hii mijadala.
Hii ni ajabu sana kuwa historia hii lau ni ya ukweli kabisa kuna baadhi ya
watu inawachoma sana nyoyo zao kiasi wakija kuchangia wanakuja tayari
wameshaghadhibika.
Kwa kweli sijui sababu ni nini.
Hata pale utakapotoa ushahidi wao watakuwa wamesimama hapo hapo
hawatoki kwamwe.
hizi pumba ooohh! nimelelewa kkoo,gerezani ndo zinawafany mpaka leo mpo mpo tu kazi kubadilisha vibagharashia mpaka vimebadilika rangi!Zakumi,
Naona ukumbi umekuwa kimya.
Ndivyo tunavyoanza kwanza kwa vishindo na mie kushambuliwa na kuitwa
muongo, mdini na kila aina ya tuhuma na wakati mwingine matusi.
Duduwasha alidhani kuwa mimi natania katika historia hii sina ninalolijua.
Nimemuekea mengi ya ushahidi wa nyaraka, picha na historia yangu binafsi
nikilelewa katika mitaa ya Gerezani.
Duduwasha amekuwa kimya na namuuliza je angependa tuendelee na mjadala?
Hadi sasa hajanijibu yuko kimya.
Kimya kimetawala jamvi letu.
Wastawishaji baraza wote wameondoka wameniacha peke yangu jamvini.
Wanamajlis,
Nanyi hamna la kusema?
Tuufunge mjadala?
Mtanganyika...hizi pumba ooohh! nimelelewa kkoo,gerezani ndo zinawafany mpaka leo mpo mpo tu kazi kubadilisha vibagharashia mpaka vimebadilika rangi!
kama wewe unajiita msomi wa wajinga!
[HASHTAG]#mpumbavu[/HASHTAG] tu ndiye atakuamini wewe mzeze gagula!
Asili yao babu yao Alikuwa askari wa Kizulu walioletwa na Wajerumani kupigana na Wareno Tangnyika, aliloea Pangani Tanga na kuoa mwanamke wa Kiislam na ilimbidi kubadili dini.
Mtanganyika...
Sijui ni kitu gani kimekughadhibisha hadi unatukana.
Wala sijui zipi pumba katika haya ninayoandika kwani tumekuwa na mjadala
mzuri tu na wengi wamechangia mengi yenye manufaa.
Kuwa, ''tupo tupo,'' si sawa wala si kweli kusema hivyo.
Sisi tunaishi kama wanavyoishi jamii nyingine katika nchi hii.
Kuhusu kubadilisha kofia tunabadilisha kweli maana ni kivazi chetu kama watu
wa pwani na kama Waislam wala havijabadilika rangi.
Kuna wakati tunavaa kofia na kuna wakati hatuvai kofia.
Nakuwekea kofia hapo chini na hebu onyesha hiyo iliyobadilika rangi:
Ikiwa mimi unaniita ni msomi wa wajinga wewe kwa haya matusi yako na kejeli
unazotoa tukuweke katika kundi gani?
Angalia hapo chini na nionyeshe wajinga katika ya hao waliofungua milango
yao kwangu:
- PUBLICATIONS/RESEARCH PAPERS/ARTICLES
- The Life and Times of Abdulwahid Sykes 1924 –1968 The Untold Story of the Muslim Struggle against British Colonialism in Tanganyika, Minerva Press London, 1998 translated into Kiswahili as Maisha na Nyakati za Abdulwahid Sykes 1924-1968 Historia Iliyofichwa Kuhusu Harakati za Waislam Dhidi ya Ukoloni wa Waingereza, Phoenix Publishers, Nairobi, 2002.
- The Torch on Kilimanjaro, Oxford University Press, Nairobi, 2006
- Contributing author for an African anthology: The Mermaid of Msambweni and Other Stories, Oxford University Press 2007, Nairobi.
- Contributing author Dictionary of African Biography (DAB), Oxford University Press 2011, New York.
- Uchaguzi wa Busara, Abantu Publications 2008, Dar es Salaam.
- In Praise of Ancestors (1987) Africa Events (London).
- Abdulwahid Sykes: Founder of Political Movement (1988) Africa Events (London).
- Islam and Politics in Tanzania (1989) Al Haq International (Karachi)
- The Plight of Tanzanian Muslim (1993) Change (Dar es Salaam).
- Tanzania - The "Secular" Unsecular State (1995) Change (Dar es Salaam).
- The Question of Muslim Stagnation in Education in Tanzania - A Muslim Riddle (Paper presented at the Conference of the Global World of the Swahili Intercultural Dialogue on the Indian Ocean Zanzibar, February 20 - 23, 2003).
- Islamic Education and Intellectualism in Eastern Africa ‘Themes from the Pulpit in Tanganyika (Tanzania Mainland) 1800 – 2000’ (Paper presented at International Symposium on Islamic Civilisation in Eastern Africa Kampala, Uganda organised by the Islamic Conference Research Centre for Islamic History, Art and Culture (IRCICA), Istanbul and the Islamic University in Uganda, Mbale December 15th – 17th 2003).
- Sheikh Hassan bin Ameir - The Moving Spirit of Muslim Emancipation in Tanganyika (1950 – 1968) (Paper presented at Youth Camp Organised by Zanzibar University, World Assembly of Muslim Youth (WAMY) and Tanzania Muslim Students Association (TAMSA) 27th February – 4th March 2004).
- Islamic Movement and the Christian Lobby in Tanzania - the Experience of the late Prof. Kighoma Ali Malima (1938 – 1995) (Paper Presented to Tanzania Muslim Students Association (TAMSA) Sokoine University of Agriculture (SUA) Morogoro 11th April 2004).
- Terrorism in East Africa the Tanzanian Experience (Paper Presented at the Conference on Islam, Terrorism and African Development University of Ibadan, Nigeria 8th - 10th February 2006).
- Al Marhum Sheikh Kassim bin Juma bin Khamis (1940 – 1994) and the Pork Riots of 1993. (Paper Presented at the Regional Conference on Islam in Eastern Africa: Islam Encounter with the Challenges of the 21st Century 1st - 3rd August 2006, Kenyatta University, Nairobi.
- 14. Muslim Bible Scholars of Tanzania – The Legacy of Sheikh Ahmed Deedat (1918 – 2005) Paper Presented at the International Symposium on Islamic Civilisation in Southern Africa Organised by The Organisation of Islamic Conference Research Centre for Islamic History, Art and Culture (IRCICA) The National AWQAF Foundation of South Africa (AWQAF SA 1 – 3 September 2006 University of Johannesburg.
- Tanzania: A Nation Without Heroes Seminar Organised by IFRA French Institute for Research in Africa and BIEA British Institute in East Africa 23rd and 24th September 2013 at IFRA Nairobi.
- Awards: Several Awards.
- Visiting Scholar: (2011)
- University of Iowa, Iowa City, USA
- Northwestern University, Chicago, Illinois, USA
- Zentrum Moderner Orient (ZMO), Berlin.
- OTHER COUNTRIES VISITED
- Zambia, Ethiopia, Swaziland, Msumbiji, Zimbabwe, Sudan, Egypt, Saudi Arabia, United Arab Emirates, Oman, Yemen, Uganda, Switzerland, Iran, France, Netherlands, Turkey and Abu Dhabi.