Athari ya vita vya Gaza na Ukraine zaenea dunia nzima.Spain na Italy zajitenga na mpango wa EU kuisaidia Ukraine huku UK ikiipa onyo Israel

Webabu

JF-Expert Member
Apr 29, 2010
9,513
14,990
Dunia inaelekea kushika adabu yake baada ya mataifa kadhaa kuendelea kusambaratika na kufanya vituko vya kila aina.

Umoja wa NATO uliokuwa kitu kimoja kupambana na Urusi ana China kimaneno pamoja na kuzishinikiza nchi za ulimwengu wa tatu,sasa unaelekea kusambaratika kabisa.Marekani aliyekuwa mshirika mkubwa wa umoja huo anauwacha mkono kwa kasi kisa kikiwa na kushindwa kwake kugharamia umoja huo.

Umoja wa Ulaya nao haujasalimika na kusambaratika huko japo wanajikaza kutaka kuisaidia Ukraine iendeleze vita ilivyoanzisha na Urusi.

Waziri wa mambo ya nje wa Uingereza David Lammy akijibu suali na mbunge mmojawapo amekiri kuwa Israel kwa kuendelea kuipiga Gaza kinyume na makubaliano pamoja na kuzuia misaada inavunja sheria za kimataifa.Tamko hilo ni kubadilika ghafla kwa msimamo wa nchi hiyo iliyokula njama kuanzisha taifa hilo mwaka 1948

Baada ya mwaka mmoja kutoka sasa dunia inaweza ikawa imeachana na demokrasia,umoja wa Ulaya na NATO vikawa vimesambaratika sambamba na kushindwa kwa Israel kupambana na wagomvi wake walioizunguka baada ya mfadhili wake,Marekani kuishiwa nguvu na kuingia katika machafuko ya ndani nchini kwake.

UK accuses Israel of breaking international law in Gaza

Kati ya utapeli mkuu kuwahi kutokea dunia ni ukoministi wa urusi na itikadi kali ya mataifa ya kiarabu.

Pamoja respectively ndio wamekuwa visabishi wakuu wa fujo duniani
 
Inakuwa umekuwa kipofu wa kuziona Marekani ,Israel na nchi za Ulaya japo sio sana kama hao wa mwanzo.
Marekani inachofanya ni kupambana dhidi ya utapeli huu ili usienee duniani.

Nani anataka binti yake aoleewe ana miaka 9,

Nani anataka ajifunge mabomu akaone ajilipue ili aone mabikra 400

Nani anataka kila anapotaka kula kitu kichinjwe na mtu wa itikadi fulani

UPUUUZI
 
Juzi ndugu zako wamewaaua washia na wakristo huko syria. Hii ndio faraja yenu, hii ndio motivation yenu wala sio sijui palestina sijui ushetani ,blah blah

Asili yenu ni damu na ole wenu mlianzishe hapa bongo💪🏿💪🏿💪🏿💪🏿
Screenshot_20250318-171509.png

Inakuwa umekuwa kipofu wa kuziona Marekani ,Israel na nchi za Ulaya japo sio sana kama hao wa mwanzo.
 
Dunia inaelekea kushika adabu yake baada ya mataifa kadhaa kuendelea kusambaratika na kufanya vituko vya kila aina.

Umoja wa NATO uliokuwa kitu kimoja kupambana na Urusi ana China kimaneno pamoja na kuzishinikiza nchi za ulimwengu wa tatu,sasa unaelekea kusambaratika kabisa.Marekani aliyekuwa mshirika mkubwa wa umoja huo anauwacha mkono kwa kasi kisa kikiwa na kushindwa kwake kugharamia umoja huo.

Umoja wa Ulaya nao haujasalimika na kusambaratika huko japo wanajikaza kutaka kuisaidia Ukraine iendeleze vita ilivyoanzisha na Urusi.

Waziri wa mambo ya nje wa Uingereza David Lammy akijibu suali na mbunge mmojawapo amekiri kuwa Israel kwa kuendelea kuipiga Gaza kinyume na makubaliano pamoja na kuzuia misaada inavunja sheria za kimataifa.Tamko hilo ni kubadilika ghafla kwa msimamo wa nchi hiyo iliyokula njama kuanzisha taifa hilo mwaka 1948

Baada ya mwaka mmoja kutoka sasa dunia inaweza ikawa imeachana na demokrasia,umoja wa Ulaya na NATO vikawa vimesambaratika sambamba na kushindwa kwa Israel kupambana na wagomvi wake walioizunguka baada ya mfadhili wake,Marekani kuishiwa nguvu na kuingia katika machafuko ya ndani nchini kwake.

UK accuses Israel of breaking international law in Gaza

Eti machafuko wapi? Marekani!!!

Usiwe unalala mchana, unaota vibaya mno.
 
yes ningetamani sana walau iran afanye promis 3 ili galf state pavurugike na hatimaye colapse of global economic include usa ndo akili ya wazayuni itawakaa vizuri
 
Kati ya utapeli mkuu kuwahi kutokea dunia ni ukoministi wa urusi na itikadi kali ya mataifa ya kiarabu.

Pamoja respectively ndio wamekuwa visabishi wakuu wa fujo duniani
Muhimu ni kuwa itikadi ambayo ni utapeli kweli na usiokuwa na baraka za Mungu basi haichukui miaka mingi hushndwa tu baada ya Mungu kuwapa nguvu watu wadogo kuwashinikiza wanaosimamia itikadi hizo.
Urusi imedumu na itikadi ya kumkanusha Mungu kwa miaka hata 100 haikufika.Leo watu wanaswali na kula futari katikati ya jiji la Moscow na barabara zote hubidi zifungwe.Yajayo huko Marekani,mashariki ya kati na Ulaya yanafurahisha.
 
Marekani inachofanya ni kupambana dhidi ya utapeli huu ili usienee duniani.

Nani anataka binti yake aoleewe ana miaka 9,

Nani anataka ajifunge mabomu akaone ajilipue ili aone mabikra 400

Nani anataka kila anapotaka kula kitu kichinjwe na mtu wa itikadi fulani

UPUUUZI
Illa kuwaruhusu wavulana kuingiliwa kinyume na maumbile na mapadri ruksa.
 
Marekani inachofanya ni kupambana dhidi ya utapeli huu ili usienee duniani.

Nani anataka binti yake aoleewe ana miaka 9,

Nani anataka ajifunge mabomu akaone ajilipue ili aone mabikra 400

Nani anataka kila anapotaka kula kitu kichinjwe na mtu wa itikadi fulani

UPUUUZI
Nani aliyemuumba mwanamke na kumfanya awe tayari kueolewa kwa dalili maalum kuanzia miaka 9.
Na kuna mantiki gani kumwekea sheria mtoto wa umri huo kuolewa kumbe wazinifu na watu waovu wanawanyemelea kwa kufanya nao mambo ya haramu.
Binadamu anayekufa akiwa na umri wa wastani wa miaka 40 mpaka 60 anatakiwa aharakishiwe kila kitu chake kifanyike mapema kwa faida zake za akhera.Unajua kuoa/kuolewa mapema kuna matumaini ya kupata watoto mapema ambao ama watakusaidia baadae duniani au ukifa watakuendelezea ibada zako.
Kuhusu kujfunga mabomu ambapo mwenye kufanya hivyo anaweza kufa peke yake au kuua wengine wachache ni jambo dogo kuliko kutuma kombora zito likaangusha jengo la ghorofa moja au zaidi yaliyojirani yanayoweza kuwa na wakaazi wafikao 1000 na watakaobaki wamejeruhiwa hata pa kukaa wakakosa.
Wanoojifunga mabomu ni wachache sana kuliko idadi ya ndege zilizojazwa mabomu tayari kubomoa majengo.
 
Hapa nimekuelewa mkuu,wao hawataki kuelewa anaetupa mabomu pale ukrein hana shida,ila anaechinja ana shida.Dunia ajabu sana hii
 
Back
Top Bottom